Digital skills

Digital skills Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Digital skills, Advertising/Marketing, Dar es Salaam.

Empowering and Helping Youth In Sponsored ads | Digital Marketing Skills | Social Media Skills | Social Media Management | Business Consultation
Call/WhatsApp +255 622 245 928

Je, unapata shida kupata wateja sahihi na mauzo kuwa madogo ijapokua unaweka BUDGET kubwa..? Njoo tukupe ujuzi na mbinu ...
08/10/2024

Je, unapata shida kupata wateja sahihi na mauzo kuwa madogo ijapokua unaweka BUDGET kubwa..?

Njoo tukupe ujuzi na mbinu sahihi za ku set matangazo ya kulipia ya Sponsored ads uone mafuriko ya wateja sahihi kwenye Inbox yako ya WhatsApp

Call/WhatsApp +255 622 245 928

Kuna mbinu na njia nyingi sana za kujenga NETWORK  bora na sahihi...lakini mbinu bora zaidi ni KUHUDHURIA MATUKIO NA MIK...
08/10/2024

Kuna mbinu na njia nyingi sana za kujenga NETWORK bora na sahihi...lakini mbinu bora zaidi ni KUHUDHURIA MATUKIO NA MIKUTANO MBALIMBALI YA KITAALUMA.

Kushiriki kwenye mikutano, semina, groups nakadhalika, kunakupa fursa nzuri za kukutana na watu wapya kwenye sekta yako. Matukio haya ni maeneo bora ya kujenga mtandao na kubadilishana mawazo.

Mimi natumia mbinu hii kujenga NETWORK wewe je unatumia mbinu gani kujenga NETWORK yako..?

JINSI YA KUJUA FAIDA NA HASARA KATIKA BIASHARA 1. Orodhesha gharama za manunuzi ya mzigo 2. Orodhesha gharama za kufikis...
07/10/2024

JINSI YA KUJUA FAIDA NA HASARA KATIKA BIASHARA

1. Orodhesha gharama za manunuzi ya mzigo
2. Orodhesha gharama za kufikisha mzigo ofsini kwako (K**a nauli,usafiri, uchukuzi, ushuru nk)
3. Orodhesha mauzo ya siku kwa kila bidhaa/huduma
4. Funga hesabu ujue mauzo ya siku/wiki/mwezi/mwaka
5. Toa gharama zote pamoja za ununuzi wa bidhaa(Kodi,chakula,maji,umeme nk)
6. Kinachobakia ndio faida yako
7. Unaweza kutumia electronic systems za kukokotoa

NB:
Usitumie mauzo katika biashara bali tumia faida, kwasababu katika mauzo ya 200,000/= ukikokotoa vizuri utakuta faida yako ni 20,000/= na wewe umetumia 50,000/=
Kwamaana hiyo utakua umepunguza mtaji 30,000/=
Baada ya muda fulani utaona biashara inaporomoka na huo ndio mwanzo wa kufa kwa biashara

Tuambie wewe unatumia njia gani kujua faida na hasara kwenye biashara zako?...Comment

Matangazo ya kulipia yanahitaji maudhui yanayovutia, yanayofikisha ujumbe kwa haraka, na yenye kuhimiza hatua ya haraka....
06/10/2024

Matangazo ya kulipia yanahitaji maudhui yanayovutia, yanayofikisha ujumbe kwa haraka, na yenye kuhimiza hatua ya haraka.

Hakikisha tangazo lako linakuwa na

1. Kichwa cha kuvutia
2. Faida za Bidhaa au Huduma
3. Ofa Maalum
4. Wito wa Hatua (Call To Action /CTA)

Je, wewe ni miongoni mwa wanaopata changamoto katika matangazo ya kulipia?

Wasiliana nasi tukupe mbinu na maarifa sahihi kupata mafuriko ya wateja

Call/WhatsApp +255 622 245 928

Haya ni baadhi ya makosa ambayo yanawafelisha wafanya biashara wengi...Tuambie kwenye haya makosa wewe umewahi kufanya k...
03/10/2024

Haya ni baadhi ya makosa ambayo yanawafelisha wafanya biashara wengi...Tuambie kwenye haya makosa wewe umewahi kufanya kosa gani?

Unaweza kuongeza makosa mengine nje ya haya kwenye comment

'swintogether

Kabla haujaanza biashara waondoe hawa watu na usiweke matarajio kwao waje kuwa wateja wako.  1. NDUGU  2. JAMAA  3. MARA...
30/09/2024

Kabla haujaanza biashara waondoe hawa watu na usiweke matarajio kwao waje kuwa wateja wako.

1. NDUGU
2. JAMAA
3. MARAFIKI
4. ULIO SOMA NAO
5. JAMII INAYOKUZUNGUKA

Hawa watu hawawezi kuwa wateja wako, kwasababu asilimia kubwa huwa hawapendi kuona unafanya jambo au unafanikiwa, wanahisi watakapo LIPIA kwako huduma au bidhaa wewe utawazidi au utakua juu yao. Ondoa matarajio kwa hawa watu.

Kutokana na hili ndipo mitandao ya kijamii (Instagram, Facebook, WhatsApp na Tiktok) wakaja na kipengele cha matangazo ya kulipia ya Sponsored ads/Advertisng. Tumia hii mbinu kuwafikia walengwa wako sahihi.

Njoo tukupe ujuzi, maarifa na mbinu sahihi za kufanikisha biashara yako kukua zaidi.

Call/WhatsApp +255 622 245 928

Hakikisha umepitia post hii...Ni muhimu sana kujua aina za maudhui na jinsi yanavyofanya kazi ili uweze kukua mtandaoni....
29/09/2024

Hakikisha umepitia post hii...Ni muhimu sana kujua aina za maudhui na jinsi yanavyofanya kazi ili uweze kukua mtandaoni.

Usipozingatia haya kwenye mitandao ya kijamii utapigwa za uso. Swipe....  Hizi ndio sababu 5 zinazopelekea Account zako ...
27/09/2024

Usipozingatia haya kwenye mitandao ya kijamii utapigwa za uso. Swipe....

Hizi ndio sababu 5 zinazopelekea Account zako kufungiwa .

Janga gani limekukuta kati ya haya
1. Restrictions
2. Disabled
3. No permission
4. Verify your account

Tuambie kwenye comment .....

Mabadiliko ya Instagram Algorithm mwaka 2024...Hizi ndio sababu ya kuona mabadiliko ya kutoona baadhi ya post za watu ul...
26/09/2024

Mabadiliko ya Instagram Algorithm mwaka 2024...Hizi ndio sababu ya kuona mabadiliko ya kutoona baadhi ya post za watu ulio follow.

Tunatumai post hii imefungua akili yako na kujibu maswali yako uliokuwa ukijiuliza kutokuona baadhi ya post.

Drop your comment endapo tumekusaidia kujibu maswali yako

Follow us for more social media tips

Hizo ndiyo miongoni mwa sababu chache zinazo sababisha wewe mfanya biashara kupata changamoto nyingi kwenye biashara yak...
24/09/2024

Hizo ndiyo miongoni mwa sababu chache zinazo sababisha wewe mfanya biashara kupata changamoto nyingi kwenye biashara yako ya mtandaoni.

Tuambie kwenye comment wewe unapitia changamoto gani kwenye biashara mtandaoni na unakumbana na ugumu upi wakati wa kufanya matangazo ya kulipia ya Sponsored ads ?

#

Je, wewe ni miongoni mwa wanaorusha matangazo ya kulipia ya Sponsored, hupati matokeo mazuri, unaingia kwenye deni, Acco...
23/09/2024

Je, wewe ni miongoni mwa wanaorusha matangazo ya kulipia ya Sponsored, hupati matokeo mazuri, unaingia kwenye deni, Account inakua Restricted and Disabled..?

Hujui ufanye nini na unakaribia kukata tamaa na kuachana na biashara mtandaoni?

Basi tumekuandalia Full Package ya mitandao yote 4 utajifunza kinagaubaga kuhusu mbinu na njia sahihi za kurusha matangazo ya kulipia.

Call/ WhatsApp + 255 622 245 928

Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuelewa maana ya Cost Per Click na Cost Per Message unapofanya matangazo ya kulipia ya Spons...
18/09/2024

Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuelewa maana ya Cost Per Click na Cost Per Message unapofanya matangazo ya kulipia ya Sponsored ads

Swipe kujua maana ya CPC na CPM ...fatilia post inayofata kujua kwanini gharama za CPC/CPM zinabadilika kwa kupanda na kushuka ?

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Digital skills posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share