09/03/2024
Habari za humu?
Nimeskia maoni ya baadhi yetu wanasema hatuna members wa kutosha hivyo mimi sina namna kwenye hili zaidi ya kushirikiana wote ni
Fanya ku share link 👇
https://t.me/matangazoonline
Tupate wafuasi wengi ili biashara zetu ziweze kuwafikia watu wengi. Hatuwezi kusogea k**a kilasiku tupo walewale. NB: Tangaza chochote chamsingi usivunje sheria za nchi tuu. Asanteni!
Uza na kununua hapa bila kuvunja sheria za nchi.