Kurya Film

Kurya Film film production and distribution

Mwendo WA kazi zenye viwango vyenye ubora inatoka jumatatu usiikose
27/04/2018

Mwendo WA kazi zenye viwango vyenye ubora inatoka jumatatu usiikose

Haya sasa Kwa kwenye mapenzi mema Na Kazi zangu piga kura tupate ushindi filamu Yangu ya Mchezo Wa Usiku IPO kwenye tuzo...
26/02/2018

Haya sasa Kwa kwenye mapenzi mema Na Kazi zangu piga kura tupate ushindi filamu Yangu ya Mchezo Wa Usiku IPO kwenye tuzo za Sinema zetu

Habari zenu wadau wangu kaeni mkao wa kazi mpya baada ya wiki mbili
05/01/2018

Habari zenu wadau wangu kaeni mkao wa kazi mpya baada ya wiki mbili

Habari zenu tunafurahia kuuona mwaka na pia tunaenddelea kumshukuru mungu kwa shangwe na vifijo
03/01/2018

Habari zenu tunafurahia kuuona mwaka na pia tunaenddelea kumshukuru mungu kwa shangwe na vifijo

Wewe ni mtu muhimu kwangu bila ww mm si lolote naomba ucoment ni movie gani uliyo ipenda kuliko zote nilizocheza.
30/12/2017

Wewe ni mtu muhimu kwangu bila ww mm si lolote naomba ucoment ni movie gani uliyo ipenda kuliko zote nilizocheza.

Ee mwenyezi mungu nashukuru kwa mwaka 2017 naomba mafanikio yazidi  2018 Amina. share na coment
30/12/2017

Ee mwenyezi mungu nashukuru kwa mwaka 2017 naomba mafanikio yazidi 2018 Amina. share na coment

FILAMU MPYA, FILAMU MPYA, FILAMU MPYA ,  Ipo madukani kote na library na si nyingine ni  ''MCHEZO WA USIKU''  Kutoka kur...
09/12/2017

FILAMU MPYA, FILAMU MPYA, FILAMU MPYA , Ipo madukani kote na library na si nyingine ni ''MCHEZO WA USIKU'' Kutoka kurya film. Ni yule yule mkurya alietamba na filamu ya ''PENZI LA MKURYA NA MZARAMO , KONDA MTATA NA 7 GIRLS. yaani madada saba na nyingine nyingi sasa anakuletea kitu kipya MCHEZO WA USIKU. Na pia wenye vipaji vya kuigiza, dancing na kuimba naafasi zinapatikana fika ofisini upate maelezo zaidi au piga simu no. +255 0713519122 au njoo whatsap. tupo ukonga mombasa panda gari la gongo la mboto shuka mombasa piga simu utapokelewa. USISAHAU KULIKE KUSHARE NA COMENT

Ili kuweza kutazama movie hii piga simu au njoo whatsapp namba +255 713 519 122 Upewe maelekezo USISAHAU KULIKE PAGE YET...
29/11/2017

Ili kuweza kutazama movie hii piga simu au njoo whatsapp namba +255 713 519 122 Upewe maelekezo USISAHAU KULIKE PAGE YETU, share and coment na pia wale wote wenye vipaji form zinapatikana hapa ni kazi tu hapana kupoteza muda karibu kurya film

14/10/2017

kurya film inakuletea kazi mpya jitahidi upate nakala yako ujionee

NJOO MPENZI - TAZAMA UPATE JIFUNZA USISAHAU KU like page yetu pia bonyeza link hiyo upate kuitazama wale wote wenye vipa...
14/09/2017

NJOO MPENZI - TAZAMA UPATE JIFUNZA USISAHAU KU like page yetu pia bonyeza link hiyo upate kuitazama wale wote wenye vipaji vya kuigiza karibuni form zipo hapa sisi ni kazi tu siku haipiti bure.

NJOO MPENZI - Ni season inayohusu mahusiano ya mke na mume katika tendo la ndoa

K**a wewe ni shabiki wangu katika bongo movie  taja moja filamu zangu ulizoisha wahi ziona na toa maoni yako juu ya kazi...
06/08/2017

K**a wewe ni shabiki wangu katika bongo movie taja moja filamu zangu ulizoisha wahi ziona na toa maoni yako juu ya kazi hizo pia k**a hujaona kazi yoyote lakini unanikubali kwa mwonekano unaweza pia kutoa maoni usisahau ku like na kucoment pamoja na kushare picha hii pia tuma namba yako nikuunge kwenye group langu. Namba yangu ya simu 0713519122 pia usisahau kulike page yangu

Address

Mbezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kurya Film posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share