Tancom

Tancom Tunawasaidia Wajasiriamali kupata wateja kwa njia ya mtandao wa Intanet Tancom was established with the goal to empower businesses to go digital.

We want to help small companies open themselves up to a wide world of possibilities with the power of the internet and social media. We want to help brands dominate the industry by taking full advantage of the digital era. Tancom Business Solutions has become a go-to in the tourism/travel, real estate and insurance industry on how to strategize for the best results.

30/08/2024

Check out Fadho Bm’s video.

Tunawatakia kheri ya siku kuu ya Wakulima
08/08/2022

Tunawatakia kheri ya siku kuu ya Wakulima


Tumekuja kivingine, sasa ni bomba zaidi
09/06/2022

Tumekuja kivingine, sasa ni bomba zaidi

Kuwa na Uhakika wa kupata wateja wapya.!!
06/08/2021

Kuwa na Uhakika wa kupata wateja wapya.!!



KWANINI HAUTA FANIKIWA KTK BIASHARA, SOMA HAPA👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽.. Tujikumbushe; Mzee Mengi alikuwa na gazet...
12/06/2021

KWANINI HAUTA FANIKIWA KTK BIASHARA, SOMA HAPA👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽..
Tujikumbushe; Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk. Akaachana nayo.

Afu wewe eti unataka ufundishwe biashara ambayo hutaki kupoteza hela. Kaa na hela zako tu kwa kweli. Hivi unadhani Novida imeenda wapi. K**a Coca Cola wanakosa soko la bidhaa yao wewe je? Lakini CocaCola wamefilisika?

Okay, tufanye hivi, ule ukumbi wa Sinema pale Mwenge ITV ulikufa kifo cha fasta. Competition. Century Cinemax ilileta upinzani. Wenye mradi wakajifunza.

Kuna matajiri wengi tu walipoteza sana pesa. Mabasi ya Scandinavia yapo tena? Kuna maduka mengi tu Kariakoo yamefungwa kipindi hiki.
Ni kawaida kwenye ulimwengu wa biashara. Si uliona Landmark Hotel Ubungo ilibadilishwa ikawa hostel. Umeona jinsi ambavyo tayari amerejea na kuwa hoteli ya kisasa zaidi. Alishajifunza. Sijui unaelewa?

Dar Village hapo Rose Garden Kijitonyama haijajengwa hadi leo. Mradi wa mabilioni uliingia mdudu miaka zaidi ya 9 sasa. Wewe unataka utakachoanza nacho kisife. Hela zako hutaki zipotee. Aisee you're not an entrepreneur. Kaa tu na hela zako.

Bora ukazinywee Pepsi au serengeti baridi au kula nyama choma k**a unataka. Umekuwa mtu wa kutaka mafanikio yasiyo na changamoto yoyote. Ndo maana unasubiri ukiambiwa aisee biashara ya Matikiti inalipa hatari huyo umo. Ukiambiwa mayai ya kware yanalipa huyo. Hutaki kutulia kwanza ujifunze.

Hakuna biashara isiyolipa. Ila kuna akili zisizo za kibiashara ambazo lazima kuzibadili zijue biashara ni faida na hasara ni kawaida kabisa. Wanasema SOMETIMES YOU WIN AND SOMETIMES YOU LEARN.

Sasa wewe hutaki kulearn utafikaje kwenye mafanikio kibiashara?

Hivi huna habari Bakhressa kuna biashara alishafanya na akaachana nazo. Una habari Dangote kuna wakati alipoteza dola bilioni 10 in one year? ($10 billion lost in a year!)

Trump mwenyewe aliwahi kufilisika kabisa. NIL. Zero.
Rock bottom.
Licha ya kuanza kwa mtaji mkubwa wa $1 million. K**a haupo tayari kupoteza pesa basi kazinunulie nguo mpya za sikukuu zikifika uvae upendeze.

Sisemi LAZIMA pesa ipotee. No. Ila nasema k**a hauko tayari kupoteza you are not ready for the business world.

Na hiyo ndo maana kuna matajiri wachache. Wenye moyo wa UTHUBUTU na utayari wa kupoteza katika jamii huwa ni wachache tu.

Narudia sisemi uwe careless, No do your research. But uwe tayari kupoteza hela licha ya research zako. Kwani wewe unaweza kufanya research zaidi kuliko Dangote?

If you're afraid to lose money NEVER INVEST.

Baki na hela zako Bank.







Creative Ideas to market your Destination.
09/06/2021

Creative Ideas to market your Destination.



We have creative Ideas to market your Destination
04/06/2021

We have creative Ideas to market your Destination



27/05/2021
11/05/2021

TUMIA MB-3 ZA BUNDLE LAKO UFAIDIKE MARADUFU

Hauhitaji pesa ili kuanza Biashara, unahitaji pesa ili kukuza Biashara. Anza sasa kutumia fursa za Masoko ya Kidigitali.

👊🙏🏽

10/05/2021

Je umeshafikiria kuanza Biashara kwa kidogo ulicho nacho ? tazama Video hii

Mwenyezi Mungu akuongoze 🙏🏽
19/03/2021

Mwenyezi Mungu akuongoze 🙏🏽

Tangaza Digital, Inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti ...
18/03/2021

Tangaza Digital, Inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM.

R.I.P Mr President

Address

Dar Es Salaam
15109

Telephone

+255769727219

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tancom posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share