PataWateja

PataWateja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from PataWateja, Advertising agency, Dar es Salaam.

Leo Saa 2 Usiku
03/04/2024

Leo Saa 2 Usiku

Test
03/04/2024

Test

08/03/2024
Aweza Kuongeza Mauzo Kutoka 50,000 kwa mwezi mpaka kufikia Faida ya Tsh 143,000 kwa Wiki baada ya kufanyia kazi masomo y...
29/03/2023

Aweza Kuongeza Mauzo Kutoka 50,000 kwa mwezi mpaka kufikia Faida ya Tsh 143,000 kwa Wiki baada ya kufanyia kazi masomo yetu.

Nitakuonesha namna ya kupata wateja wengi Instagram.

Nitumie neno "WATEJA" WhatsApp 0743 200 738.

Mambo 3 Ya Kuzingatia Kabla Hujatangaza Biashara Yako Instagram.1. Mjue Mteja Wako Kiundani.Mjue mteja wako anachangamot...
21/01/2022

Mambo 3 Ya Kuzingatia Kabla Hujatangaza Biashara Yako Instagram.

1. Mjue Mteja Wako Kiundani.

Mjue mteja wako anachangamoto gani?

Sio kila mwenye uzito mkubwa uzito ndio unaomkera hapa.

Mwingine kinachomkera ni shape yake kuahiribika.

Mjue mteja wako anahitaji utatuzi wa namna gani?

Sio kila mmoja anataka kufanya mazoezi ili apunguze uzito wake.

Mjue mteja wako yuko tayari kuwekeza kiasi gani kutatua changamoto yake.

2. Uza Bidhaa / huduma Inayotatua Changamoto za Wateja Wako.

Ukifanya hivi itakuwa rahisi zaidi kwako kuuza.

Kwasababu utakuwa huangaiki kutafuta wateja bali wateja watakutafuta wewe.

3. Jua Wateja Wako Wanatumia Muda Mwingi Zaidi Wapi.

Instagram?

Facebook?

Twitter?

LinkedIn?

Kwenye TV?

N.k

Kisha angalia namna sahihi ya kufikisha ujumbe wako kwao kuhusiana na utatuzi unaoutoa.
_______

K**a wewe ni mfanyabiashara wa Fashion au Electronics na unahangaika kutafuta wateja Instagram...
..Na unahitaji kujifunza namna sahihi ya kupata wateja wengi katika biashara yako Instagram ndani ya masaa 72 au pungufu basi tuma neno "WATEJA"

Kwenda WhatsApp 0743 200 738

[Video BURE] Jinsi Ya Kubrand Instagram Account Yako Ili Uweze Kuvutia Wateja.Je wewe ni mfanyabiashara ambaye unataka k...
22/03/2021

[Video BURE] Jinsi Ya Kubrand Instagram Account Yako Ili Uweze Kuvutia Wateja.

Je wewe ni mfanyabiashara ambaye unataka kuvutia wateja zaidi kupitia Branding?

K**a jibu lako ni NDIO basi hii video ni maalum kwaajili yako.

Baada ya kuwasaidia mamia ya wafanyabiashara kuweza kubrand Instagram account za biashara zao vizuri...
..na kuweza kuvutia wateja zaidi tumeandaa video ya bure kukufundisha kuhusu hilo.

K**a utapenda upate video hii BURE

Tuma neno BRANDING

Whatsapp

0743 200 738

Tukutane Whatsapp

Cc:

Wafanyabiashara wa bidhaa za fashion...Natumai unawajua wateja unaowalenga.....unajua aina ya bidhaa wanazotaka ili kuta...
17/03/2021

Wafanyabiashara wa bidhaa za fashion...

Natumai unawajua wateja unaowalenga...
..unajua aina ya bidhaa wanazotaka ili kutatua changamoto zao.
..na unazo bidhaa nzuri wanazozitaka tena kwa bei ambayo ni rafiki kwako.

Kiufupi una biashara nzuri na unachohitaji ni Wateja wengi zaidi kupitia mtandao.

K**a huyu ni wewe tuma neno "WATEJA" Whatsapp 0743 200 738

Nikushauri nini unatakiwa ufanye ili upate wateja wengi Instagram.

Faida 3 Kubwa Za SMS Marketing Usizozijua.Habari za leo,Natumai uko poa na unaendelea vizuri.Karibu tuweze kujifunza kuh...
05/03/2021

Faida 3 Kubwa Za SMS Marketing Usizozijua.

Habari za leo,

Natumai uko poa na unaendelea vizuri.

Karibu tuweze kujifunza kuhusu SMS Marketing.

SMS Marketing ni njia ya kufikisha taarifa kwa HARAKA na kwa URAHISI kwa wateja kwa kutumia SMS Hatak**a una wateja zaidi 100,000+

NB: Lazima tayari uwe na mawasiliano ya wateja wako.

Ok natumai umenipata kuhusiana na maana ya SMS.

Twende kwenye faida zake zake sasa.

1. Kufikisha taarifa kwa wateja wako wengi kwa UFANISI Mkubwa.

Kwanini nasema kwa UFANISI Mkubwa?

Kwasababu watu wengi hivi sasa wana simu.

Ila issue ni kwamba sio kila mmoja ana SMARTPHONE.

Ila ukitumia SMS Marketing utamfikia kila mmoja kwakuwa kupokea na kusoma SMS hakuitaji DATA.

So una uhakika wateja wako wengi wataona ujumbe wako.

2. Kufikisha taarifa kwa HARAKA ZAIDI.

Kulingana na utafiti uliofanywa inasemekana 90% ya SMS Husomwa ndani ya dakika 3 baada ya kutumwa.

Hii inamaana kuna uwezekano k**a una wateja 100.

Ukituma SMS kwao wote, wateja 90 watakuwa wameshafungua na kusoma SMS yako ndani ya dakika 3.

3. Fursa ya kuset meseji ziende AUTOMATIC kulingana na muda unaotaka.

Mfano wewe wateja wako mara nyingi ni rahisi kufanyabiashara na wewe weekend

Unaweza kuset meseji automatic ziwaendee kila weekend.

BONUS: 4. Gharama ni nafuu sana.

Kwa Tsh 30 unaweza kutuma SMS Moja inamaana ukiwa na wateja 100 inakugharimu Tsh 3000 Tu! kuwafikishia taarifa.

Ina maana ukiwa na wateja 100 utatumia Tsh 3000 kuwafikia.

Na k**a kila mteja anakupa faida ya Tsh 5,000 kwa wastani ina maana k**a una biashara nzuri katika Wateja 90 watakanosoma SMS yako ndani ya dakika 3.

Kuna uwezekano 3 wakafanyabiashara na wewe siku hiyo.

Watatu wakifanyabiashara na wewe siku hiyo 3 x 5,000 = 15,000

Chukua Tsh 15,000 - 3,000 = 12,000 (Faida)

So ni nafuu sana na ya uhakika huduma hii.

K**a utapenda nikupatie USHAURI WA BURE Kuhusu namna ya kuwasiliana na wateja wako wengi kwa urahisi kupitia Mfumo huu wa SMS Marketing.

Tuma neno "SMS MARKETING" Whatsapp 0743 200 738

Ofa hii ni kwa watu 5 wa kwanza siku ya leo.

Mambo 3 Makubwa Yakuzingatia Unapotangaza Instagram na Facebook.1. Lenga watu sahihi kulingana na Mikoa/Nchi, Umri, Jins...
05/03/2021

Mambo 3 Makubwa Yakuzingatia Unapotangaza Instagram na Facebook.

1. Lenga watu sahihi kulingana na Mikoa/Nchi, Umri, Jinsia na Interest.

2. Weka bajeti sahihi kulingana na thamani ya Faida unayotegemea kupata kutoka kwa mteja mmoja.

Unategemea Faida ya Tsh 50,000 kutoka kwa mteja mmoja sasa inakuwaje una weka Tsh 2,500 kutangaza kwa siku ili upate mteja mmoja?

So hakikisha unaweka bajeti sahihi.

3. Tumia video kuliko picha, kupitia video mteja mtarajiwa anokuona wewe na pia anaona bidhaa/huduma unayotoa, hii itakusaidia kuweza kujenga kuaminika kwa wateja wako.
K**a wewe ni mfanyabiashara wa fashion...

Unauza nguo / viatu / pochi n.k

Unajua unalenga wateja gani,

Unajua wateja unaowalenga wanachangamoto / matatizo gani.

Unajua wateja unaowalenga wanahitaji nini hasa ili watatue changamoto / matatizo yao.

Kiufupi una biashara nzuri na unachohitaji ni Kupata Wateja Wengi zaidi.

K**a wewe NDIO huyo niko hapa kukusaidia kufikia malengo yako.

Leo nimetenga Lisaa 1 nitoe Ushauri wa BURE kwa wafanyabiashara 3 wa aina yako.

K**a unataka kupata wateja wengi zaidi tuma neno "WATEJA ZAIDI"

Whatsapp

0743 200 738

Nikupatie Ushauri BURE Kuhusu Namna ya Kupata Wateja Wengi zaidi kupitia mtandao wa Instagram.

Ushauri huu wa bure ni kwa wafanyabiashara 3 wa mwanzo.

Kila atakayezidi atalipia Tsh 10,000 Tu!

Tukutane Whatsapp.

Kwa sababu ya kukosa elimu ya masuala ya kifedha, ndoa nyingi na familia nyingi sana zimeishia katika maisha ya kimaskin...
14/02/2021

Kwa sababu ya kukosa elimu ya masuala ya kifedha, ndoa nyingi na familia nyingi sana zimeishia katika maisha ya kimaskini, ugomvi wa kifamilia na kupoteza upendo kati ya wanandoa.

Kwa mujibu wa taasisi ya SunTrust, changamoto za kifedha ndizo zinazoongoza kuleta migogoro ya kifedha katika familia kwa sasa.

Uchunguzi uliofanywa na Institute for Divorce Financial Analysis umeonyesha kuwa 22% ya wanandoa wanaoachana sababu kubwa ni masuala ya mambo ya pesa.

Bila kujali umri wa wanandoa husika, pesa huwa ina nafasi kubwa sana katika mahusiano ya wanandoa.

Ili kuondoa changamoto za kifedha katika ndoa yenu, ni lazima mfanye juhudi za makusudi zitakazoshughulikia vyanzo vya matatizo ambavyo tumevizungumza kwenye sura ya tatu.

Jambo la muhimu la kulielewa hapa, ni kuhakikisha kuwa kila mmoja wenu anahusika kwa 100% na anakuwa tayari kubadilisha hali ambayo hamuipendi
kwa sasa.

Mbinu ya kwanza: Kukubaliana Falsafa Yenu Ya Pesa.

K**a tulivyoona hapo mwanzoni kuwa, falsafa yenu kuhusu pesa huwa ni muhimu sana katika mafanikio yenu.

Kujua falsa yako ya fedha na ya mwenza wako ujiulize maswali ya msingi yafuatayo:

• Alilelewa kwenye familia yenye uwezo kiasi gani kipesa?

Aidha zilikuwa zinapatikana sana au hazipatikani, zote kuna mitazamo huwa inajengwa.

• Alikuwa anaambiwa nini kuhusiana na pesa akiwa mdogo?

• Anaamini nini kuhusiana na pesa?

• Alipitia changamoto gani za kifedha ambazo zimempa mtazamo fulani wa pesa?

Baada ya kuzijua falsa zote mbili ya kwako na ya mwenza wako kuna maswali yafuatayo unatakiwa kujiuliza:

i. Kuna tofauti gani kati ya falsafa yangu ya kifedha na ile ya mwenzangu?

ii. Ni maeneo gani makubwa ambayo hasa tunatofautiana mitazamo yetu kuhusu pesa?

iii. Je, tunaweza kufanya nini ili kupata maelewano na kuunganisha falsafa zetu?

Majibu ya maswali haya yatakusaidia kujua maeneo makubwa ambayo hasa mnatofautiana na ambayo mnataka kujenga makubaliano ili muweze kufanikiwa kwa haraka kwenye eneo la pesa.

Itakuwa ni vizuri sana k**a maswali haya mtayajibu kwa pamoja ili kutengeneza mkakati wenye nguvu utakaowasaidia.

Mbinu ya pili: Kuwa na Maono Ya Pamoja Kuhusu Pesa.

Hapa k**a wanandoa mnatakiwa mkae chini na mjiulize, hivi sisi maono yetu kuhusu pesa ni yapi?

K**a utapenda kujifunza kwa kina nashauri ujinyakulie VALENTINE'S DAY eBook Bando kwa Tsh 12,000 Tu! Badala ya Tsh 60,000+

Kupata bando hili

Tuma Tsh 12,000 Tu!

Kwenda M-PESA

0756 094 875 (Ipyana Mwangoka)

Kisha tuma UTHIBITISHO WA MUAMALA WHATSAPP 0756 094 875

NB: NDANI YA MASAA 24 UTATUMIWA eBook Yako.

See You At The Top

Joel Nanauka.

PS. OFA Hii Inaisha Ndani Ya Masaa 72 Tu! (Inaisha Tarehe 17/02/2021) Na Baada ya hapo Bei Itapanda.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PataWateja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share