KC + I

KC + I Swahili Greeting Cards + bespoke custom wedding invitations + paper stationery. Bulk and wholesale. KKC started way back in 2005 with my own wedding invitations.

I started this line because I saw a need that was not being met by stock invitations saturating the marketplace. I'm a strong believer of good design that you can make your own. And an invitation speaks volumes about the event and ocassion you invite your guests to. So gone are the days when your only option was to choose from everyone elses picking. There no longer is a reason for not paying extr

a special attention to this detail. No longer should your invitation have to comform to whatever stock available out there. For this reason my cards are hand crafted and locally inspired. You have a voice, and choice, in what your card should say to your guest.

31/10/2023

Sikukuu raha mambo mapya!Mambo mapya bila Ofa, ni k**a vile pilau bila kachumbari!Wape raha wateja wako, wavute kwa Ofa ...
20/08/2023

Sikukuu raha mambo mapya!
Mambo mapya bila Ofa, ni k**a vile pilau bila kachumbari!
Wape raha wateja wako, wavute kwa Ofa kabambe, wafurahi, upate zaidi.

Msimu mkubwa wa pili wa biashara unalaribia - msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Jipange mapema kuteka akili za...
13/08/2023

Msimu mkubwa wa pili wa biashara unalaribia - msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Jipange mapema kuteka akili za wateja. Warushie matangazo na taarifa mbalimbali kuhusu huduma na bidhaa zako waikusahau. Warahisishie namna ya kukupata, uwe suluhu ya tatizo lao.

Trendi ya sasa tunaelekea zaidi kwenye video, na kutoka kwenye picha mnyato.Ila trendi ya kidigitali isikutishe. Canva i...
06/08/2023

Trendi ya sasa tunaelekea zaidi kwenye video, na kutoka kwenye picha mnyato.
Ila trendi ya kidigitali isikutishe. Canva inarahisisha sana matumizi ya graphic design na pia hata kutengeneza video fupi kwa kutumia picha mnyato.
Wateja watafurahia utofauti wa mawasiliano yako nao na watatazamia ujumbe kutoka kwako.

Watu wengi sasa ni watumizi wa e-mail. E-mail (electronic mail) inasaidia kufikisha ujumbe wako kwa wateja na wausome kw...
30/07/2023

Watu wengi sasa ni watumizi wa e-mail. E-mail (electronic mail) inasaidia kufikisha ujumbe wako kwa wateja na wausome kwa muda wao.
Wajengee faida wateja na wateja watarajiwa kwa kuwatumia taarifa mbalimbali kuhusu huduma na bidhaa zako kupitia e-mail.

Sababu mmoja kuu napenda kutumia Canva ni, urahisi wa kujifunza. Kwa kutumia templates, nakuwa na uhakika kwamba nachoki...
26/07/2023

Sababu mmoja kuu napenda kutumia Canva ni, urahisi wa kujifunza.
Kwa kutumia templates, nakuwa na uhakika kwamba nachokitengeneza kinafaa kwa kusudio.

Video! Zinasaidia sana kuelezea kuhusu sifa za bidhaa (au suluhu kwa wateja). Ila tusisahau, mandhari nayo inasaidia.   ...
09/07/2023

Video! Zinasaidia sana kuelezea kuhusu sifa za bidhaa (au suluhu kwa wateja). Ila tusisahau, mandhari nayo inasaidia.
🇹🇿

Je, vipeperushi vinaweza kukuongezea kujulikana zaidi kwa wateja wengine?Una suluhu gani ya msingi sana kwa wateja wako?...
02/07/2023

Je, vipeperushi vinaweza kukuongezea kujulikana zaidi kwa wateja wengine?
Una suluhu gani ya msingi sana kwa wateja wako? Wanaifahamu?
🇹🇿

Waulize wateja wako, wangependa bidhaa gani zingine dukani kwako ili kuwapunguzia usumbufu wa kutafuta kila duka?
25/06/2023

Waulize wateja wako, wangependa bidhaa gani zingine dukani kwako ili kuwapunguzia usumbufu wa kutafuta kila duka?

Kwahiyo... kazi yet iwe na hadhi ya michango ya watu. Wanasema Cheap is Expensive, hivyo, sio kila king'aracho ni dhahab...
18/06/2023

Kwahiyo... kazi yet iwe na hadhi ya michango ya watu. Wanasema Cheap is Expensive, hivyo, sio kila king'aracho ni dhahabu. Sio kila chenye bei chee kina ubora. Tuthamini wateja wetu. Tuthamini kazi zetu.

Kazi njema!

🇹🇿

Address

Salasala Kilimahewa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 15:00
Tuesday 09:00 - 15:00
Wednesday 09:00 - 15:00
Thursday 09:00 - 15:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KC + I posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share