05/11/2018
calls/whatsApp 0769092544.
karibu ujipatie street light.
jipatie taa za solar zenye automatic switch za watts 60 au watt 40 LED.
BEI YA OFA 230,000/= kwa watt 60 na TZS 190,000/= kwa watt 40.
wahi kabla ya OFA kuisha kwa kua Mzigo ni kidogo.
SIFA ZA TAA HII
1.Taa hii ni automatic ina sensor hujiwasha giza likiingia na hujizima asubuhi
2.ina Watts 60 LED mwanga huu husambaa kwa umbali wa Mita 45 radius.
3.Ina warranty ya mwaka mmoja.
4.taa hii ni waterproof haiathiriwi na Mvua.
5.taa hizi ni kwa matumizi ya nje mfano Yard za magari,fensi,sheleni na godown
LOCATION.
Tunapatikna kariakoo mtaa wa Nyamwezi na Amani karibu na msikiti wa Makonde.
Huduma ya Delivary ni Buree kwa Dar essalaam. mikoani tuna tuma na mteja atachangia usafiri.