Dfmtz_events

Dfmtz_events Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dfmtz_events, Advertising agency, Plot no 224, Mwai Kibaki Road, Bahari Beach Street, Dar es Salaam.

Ni siku moja tu imebaki jisajili sasa kwenye programu hii ili ubadili maisha yako
02/08/2018

Ni siku moja tu imebaki jisajili sasa kwenye programu hii ili ubadili maisha yako

Kijana wa kitanzania ni wakati wako sasa, hakuna kulia tena kwa kukosa ajira, jisajili kwenye program hii.
01/08/2018

Kijana wa kitanzania ni wakati wako sasa, hakuna kulia tena kwa kukosa ajira, jisajili kwenye program hii.

A + B/ Ds =  MAFANIKIO YA KITAALUMA NA KIBIASHARA Wow.....unataka kujua A, B na Ds nini?Usijali zimebaki siku 4 tu  kuan...
31/07/2018

A + B/ Ds = MAFANIKIO YA KITAALUMA NA KIBIASHARA

Wow.....unataka kujua A, B na Ds nini?
Usijali zimebaki siku 4 tu kuanza Program yetu ya YOUNG AND POTENTIAL MENTORSHIP (Tarehe 4 August (J'mosi wiki hii).Bado nafasi 11 tu
Jisajili hapa
http://www.event.dfm.co.tz/register-now

Kwa maelezo zaidi hii hapa video
https://youtu.be/EdP6yYzlk2Q

BADO SIKU 4 TUJe ungependa kuwa na thamani katika ajira yako, kutambulika na kuleta matokeo chanya kwenye kazi yako? Au ...
31/07/2018

BADO SIKU 4 TU

Je ungependa kuwa na thamani katika ajira yako, kutambulika na kuleta matokeo chanya kwenye kazi yako? Au kutengeneza fursa kabla hujahitimu chuo?
Haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Unahitaji mbinu kadhaa na kujenga mfumo wa kuzitumia kila siku
YOUNG AND POTENTIAL MENTORSHIP PROGRAM itakufungulia ukurasa wa kufanya mambo kwa njia tofauti na kuvuta matokeo makubwa.
Jisajili sasa
http://www.event.dfm.co.tz/register-now

BADO SIKU 11 TUJe ungependa kuwa na thamani katika ajira yako, kutambulika na kuleta matokeo chanya kwenye kazi yako? Au...
24/07/2018

BADO SIKU 11 TU

Je ungependa kuwa na thamani katika ajira yako, kutambulika na kuleta matokeo chanya kwenye kazi yako? Au kutengeneza fursa kabla hujahitimu chuo?
Haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Unahitaji mbinu kadhaa na kujenga mfumo wa kuzitumia kila siku
YOUNG AND POTENTIAL MENTORSHIP PROGRAM itakufungulia ukurasa wa kufanya mambo kwa njia tofauti na kuvuta matokeo makubwa.
Jisajili sasa
http://www.event.dfm.co.tz/register-now

Mwalimu mahiri na mwenye uzoefu atakuepo kukuelekeza
24/07/2018

Mwalimu mahiri na mwenye uzoefu atakuepo kukuelekeza

MUNGU AMESIKIA KILIO CHA VIJANAJe wewe ni kijana? Je unatafuta mwelekeo wa hatma yako? Umemaliza form six hujui ukasome ...
16/07/2018

MUNGU AMESIKIA KILIO CHA VIJANA
Je wewe ni kijana? Je unatafuta mwelekeo wa hatma yako? Umemaliza form six hujui ukasome nini elimu ya juu? Je umehitimu elimu ya juu na hujapata kazi uipendayo? Je unatamani kutoka kimaisha na kibiashara lakini hujui uanzie wapi? Usiogope. Mungu ameweka kitu ndani yetu kwa ajili yako. Karibu katika Young and Potential mentorship Program, inayoletwa kwako na DFM - Transforming your destiny. Usikose program hii itakayokuandaa kukabiliana na kesho yako bila hofu. Jisajili kupitia tovuti ya http://www.event.dfm.co.tz/ unaweza pia kupiga simu namba 0769269980. Walimu wabobevu na wenye mzigo na vijana wa kitanzania watakuwepo kukuhudumia. Ni Program endelevu kuanzia tarehe 04 Agosti 2018. Ni saa nne kamili asubuhi hadi saa nane kamili mchana, katika ofisi za DFM zilizopo Plot number 224, Bahari Street, Mbezi Beach Dar es Salaam. Karibu sana. Mjulishe na mwingine.

Address

Plot No 224, Mwai Kibaki Road, Bahari Beach Street
Dar Es Salaam
78533

Telephone

+255 687 222 197

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dfmtz_events posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share