Kanoshytown

Kanoshytown TUNAPATIKANA DAR FREEMARKET MALL, KINONDONI na kwa mikoani tunatuma bidhaa kwa order na gharama nafuu

Kanoshytown inakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA NANE NANE!
08/08/2026

Kanoshytown inakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA NANE NANE!

07/08/2026

Business Card si karatasi tu, bali ni utambulisho wa biashara yako.

Tunakutengenezea design za kisasa, zenye mvuto na zinazobeba hadhi ya brand yako.

πŸ“Œ Business Cards πŸ“Œ Logo Design πŸ“Œ Flyers & Posters πŸ“Œ Stickers πŸ“Œ Banners πŸ“Œ Branding Solutions

πŸ“© Wasiliana nasi leo tukusaidie kuitangaza biashara yako kwa ubora unaostahili.

Ukishaanza kula, hutatamani kuacha! Kila punje ya Korosho za KANOSHYTOWN imeandaliwa kwa ubora  ili kukupa ladha halisi ...
05/08/2026

Ukishaanza kula, hutatamani kuacha!

Kila punje ya Korosho za KANOSHYTOWN imeandaliwa kwa ubora ili kukupa ladha halisi unayoistahili.

✨ Crispy. ✨ Tamu. ✨ Zenye virutubisho. ✨

Bora kwa familia, ofisini, safarini na muda wa mapumziko.

Usikubali kukosa snack bora inayochanganya ladha na afya. Ndo maana tunasema "Kula, Furahia na Jenga Afya Yako."

31/07/2026

Karibu KANOSHYTOWN! Tunatoa huduma za embroidery za kisasa kwa mashati ya Serikali, taasisi, mashirika, kampuni na biashara za aina zote.

Ongeza hadhi ya taasisi yako kwa nembo na maandishi yaliyoshonwa kwa ustadi na ubora wa kudumu.

πŸ“ž Piga simu: 0658 559 529
πŸ’¬ WhatsApp: +255 756 890 126

KANOSHYTOWN – Tunashona Ubora, Tunajenga Utambulisho Wako.

13/07/2026

πŸŽ¨πŸ‘• Print yako, Ubora wetu!

Unatafuta T-shirt zenye print zinazovutia na kudumu? Umefika sehemu sahihi! Tunatumia teknolojia ya DTF

kuhakikisha kila print inatoka ikiwa na rangi kali, muonekano wa kuvutia na ubora wa hali ya juu.
Iwe ni kwa:

✨ Biashara ✨ Kampuni ✨ Events ✨ Vikundi ✨ Birthday ✨ Brand yako binafsi
Sisi tunakuletea matokeo yanayozungumza yenyewe! πŸ”₯

πŸ“ž Call: 0658 559 529
πŸ’¬ WhatsApp: +255 756 890 126

KANOSHYTOWN – Your Trusted Branding & Printing Partner.

πŸ₯œ JE, UMEWAHI KUONJA KOROSHO ZA KANOSHYTOWN? 😍Tunataka kusikia maoni yako! πŸ’¬πŸ‘‰ Ni flavour ipi imekukonga moyo zaidi?❀️ RO...
09/07/2026

πŸ₯œ JE, UMEWAHI KUONJA KOROSHO ZA KANOSHYTOWN? 😍

Tunataka kusikia maoni yako! πŸ’¬
πŸ‘‰ Ni flavour ipi imekukonga moyo zaidi?

❀️ ROASTED – Zilizokaangwa na chumvi, zenye ladha ya kipekee na tayari kwa kufurahia.

πŸ’™ RAW – Asili kabisa, safi na bora kwa matumizi mbalimbali.

Tuandikie kwenye comments: ❀️ Andika ROASTED k**a ndiyo unayoipenda zaidi. πŸ’™ Andika RAW k**a ndiyo chaguo lako.

Na k**a umeshawahi kuonja zote mbili, tuambie kwanini umechagua hiyo flavour. Maoni yako yanatusaidia kuboresha bidhaa zetu na kuwahudumia vizuri zaidi. πŸ™

πŸ“ž Order sasa: ☎️ 0658 559 529 πŸ“± WhatsApp: +255 756 890 126

πŸ“ Follow: Kanoshytown

09/07/2026

Mwonekano wa kitaalamu huanza na maelezo madogo yanayovutia. Tunajivunia kutengeneza Name Tags zenye ubora wa hali ya juu, zinazodumu na kuongeza hadhi ya kampuni au taasisi yako.

Tunatengeneza Name Tags kwa: βœ… Kampuni βœ… Taasisi βœ… Shule βœ… Hospitali βœ… Hoteli βœ… Maduka na biashara mbalimbali
Karibu KANOSHYTOWN kwa huduma za kitaalamu za Branding, Printing na Signage. Tupo tayari kubadilisha mawazo yako kuwa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu.

πŸ“² WhatsApp: +255 756 890 126
πŸ“ž Call: 0658 559 529

KANOSHYTOWN – We Brand Your Vision.

Tunawatakia watanzania wote Sabasaba Njema,
07/07/2026

Tunawatakia watanzania wote Sabasaba Njema,

01/07/2026

Vitambulisho vya ubora vinavyoakisi hadhi ya taasisi au biashara yako!

Tunatengeneza na kuprint vitambulisho vya aina mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu, ikiwemo PVC ID Cards zenye muonekano wa kisasa, uimara na finishing ya kuvutia.

βœ… PVC ID Cards
βœ… Staff IDs
βœ… Student IDs
βœ… Membership Cards
βœ… Access Cards na zaidi...

Tupo tayari kukusaidia kuipa taasisi au kampuni yako utambulisho wa kipekee na wa kitaalamu.
Wasiliana nasi leo tuanze kazi yako.

Address

Dar Free Market Mall
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 10:00 - 15:00

Telephone

+255658559529

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanoshytown posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kanoshytown:

Shortcuts

Share