21/09/2021
MFUKO WA RIWAYA WA UWARIDI (UWARIDI RIWAYA FUND) UNAWALETEA KITABU KIPYA CHA "TURUFU", KILICHOANDIKWA NA ELIADO TARIMO.
Mwandishi ELIADO TARIMO, ametuletea kitabu hiki cha TURUFU, chini ya udhamini wa MFUKO WA RIWAYA WA UWARIDI.
Kitabu kinapatikana kwa bei ya shilingi ELFU KUMI TU (10,000/-), kwenye vituo vifuatavyo:
DAR ES SALAAM
1) Duka la Kona ya Riwaya, Kinondoni Block 41 (0655 428085).
2) Posta Mpya "Kwa George", jirani na sanamu ya askari (0755 454152).
3) Elite Bookshop, Tangi Bovu (0767 740 363).
4) Duka la vitabu "Come & read Bookstore", Ununio (0717 978 899).
5. Switch Movies Store, Shekilango (0719 221 092).
6. Sayansi Kijtonyama, Jengo la TTCL (0714 555 195).
DODOMA —ELITE Bookstore, Shopper's Plaza ( 0745 199 860).
MOSHI — APE Bookshop, Mtaa wa Rindi Line Karibu na Kilimanjaro Hospital na KCB Bank (0755 239911)
ARUSHA — Nje ya jengo la KIMAHAMA - Kwa Ally Saidi (0686965223)
MWANZA — Nyerere road, Mbele ya msikiti wa Ijumaa - Kwa Yussuph (0762 002 992)
MOROGORO — Kituo cha daladala, Bima, karibu na baa ya Facebook - Kwa Markus (0719 226 293)
TANGA — Karibu na Duka la Dawa Mkwakwani Pharmacy NMB Madaraka - Kwa Isamail (0655 173 115)
Maeneo memgine nje ya haya, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba (0714 555 195).
Vitabu vitaanza kupatikana Jumanne (September 21), kwa gharama ya TZS 10,000/=.