UTU NA WATU

UTU NA WATU ni Kwa namna Gani umekutana au umemfanyia binadamu mwenzako jambo ambalo utalikumbuka maisha yote.

ama umekua ukitafuta Jamaa, ndugu au marafiki kwa mda bila mafanikii
shrieking nasi kwa namba 0622154546

With Simba Queens Tanzania – I just got recognized as one of their top fans! 🎉
31/01/2026

With Simba Queens Tanzania – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

With Maisha Magic Bongo – I just got recognized as one of their top fans! 🎉
31/01/2026

With Maisha Magic Bongo – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

11/01/2026

Exercises

11/01/2026

Conserve it

11/06/2025

Tuitunze itututunze
Joram mkumbi

10/06/2025

Nchi 10 Afrika zenye Maendeleo zaidi kwa miaka ya karibuni.

1. Afrika Kusini 🇿🇦
2. Misri 🇵🇾
3. Algeria 🇩🇿
4. Ethiopia 🇪🇹
5. Morocco 🇦🇱
6. Nigeria 🇳🇬
7. Kenya 🇰🇪
8. Angola
9. Ivory Coast 🇨🇮
10. Tanzania 🇹🇿

16/07/2022
MASHINDANO YA MISS NAMNA YALIVYOANZAHapa chini ni mionekano ya miss Tanzania na miss Kenya Kwa miaka tofauti k**a ilivyo...
09/07/2022

MASHINDANO YA MISS NAMNA YALIVYOANZA

Hapa chini ni mionekano ya miss Tanzania na miss Kenya Kwa miaka tofauti k**a ilivyobainishwa,

Kwa Hali ilivyo wenzetu Kenya sijajua walikua wanachagua Kwa vigezo Gani, lakini pia Tanzania sijajua tulitumia vigezo Gani .

Una mtazamo Gani ukiangalia picha hizi mbili hapa chini.....???

NINI SASA MAANA YA PESAK**a Haina uwezo wa kuokoa maisha katika Hali ya mwisho kabisa ?????Picha hii ilipigwa katika Hos...
09/07/2022

NINI SASA MAANA YA PESA

K**a Haina uwezo wa kuokoa maisha katika Hali ya mwisho kabisa ?????

Picha hii ilipigwa katika Hospitali moja. Mgonjwa wa saratani akiwa amebeba begi lililojaa pesa alimwomba daktari afanye anachojua kuokoa maisha yake na ana pesa nyingi za kumlipa.
Lakini daktari alisema hawezi kufanya lolote kwani saratani yake iko katika hatua ya mwisho.

Mgonjwa alikasirika na kufadhaika sana alitupa pesa zilisambaa kwenye korido nzima ya hospitali.
Akapiga kelele "nini maana ya kuwa na pesa" "kuna umuhimu gani wa kuwa na pesa."
"Pesa haiwezi kununua afya, pesa isiyoweza kununua wakati, pesa haiwezi kununua maisha."

Tuombe mwenyezi mungu asitupime kwa magonjwa yasiyopona ...... sema Amen

NA WATU #

Address

Mbezi DSM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UTU NA WATU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to UTU NA WATU:

Share