Dar Online Market

Dar Online Market Tunawasaidia wajasiliamali na wafanyabiashara mbinu za kunasa wateja na kukuza biashara kwenye mtand

"Mchicha ugonjwa kifo humuumbua".⁣⁣Je!⁣unapata wateja wangapi mtandaoni kwa mwezi.?⁣⁣Comment hapa chini usaidiwe.⁣⁣Tag w...
01/10/2020

"Mchicha ugonjwa kifo humuumbua".⁣

Je!⁣
unapata wateja wangapi mtandaoni kwa mwezi.?⁣

Comment hapa chini usaidiwe.⁣

Tag wafanya biashara wengezo nao wafaidike.⁣

21/09/2020

Tunahitaji mtaalamu wa kudesign na kutengeneza graphic.

Awe na uzoefu binafsi na mbunifu na awe anajituma.

Uwe tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote yale bila shida.

Umli kuanzia miaka 20 - 45

Uwe unapatikana Dar es salaam
Na ukiwa maeneo ya tabata kipaumbele

K**a una vifaa vyabkazi itakupa kipaumbele zaidi

K**a una vigezo tuma taarifa zako

1. Jina lako.
2. Mahali ulipo
3. Baazi ya kazi zako ulizofanya

Tuma kwa WhatsApp namba 0622578977
(Utajibiwa kwa haraka zaidi)

16/09/2020

hilo ndilo swali ambalo liliulizwa jana.

na leo nimelijibu hapa.

Nawe pia unaweza kuuliza swali lako.
au ukaniambia changamoto yako kwenye biashara upande wa masoko mtandaoni.

nami nitalijibu kwa upana zaidi

⁣SWALI:⁣Namna ya kukuza account ya biashara ya Instagram. ⁣⁣Leo nitajibu swali ambalo liliulizwa na mmoja kati ya wafuas...
16/09/2020


SWALI:⁣
Namna ya kukuza account ya biashara ya Instagram. ⁣

Leo nitajibu swali ambalo liliulizwa na mmoja kati ya wafuasi wangu.⁣

Na k**a nilivowaahidi nimelijibu kwa njianya podcast (sauti)⁣

Saa 6:00pm nitaipost hapa hap na kwenye platform nyingine. ⁣

Usiache kuwatag watu wengine kwenye comment na ku share na marafiki.⁣
















🇹🇿

Timu nzima ya  .Tunawatakia sabato njema.
05/09/2020

Timu nzima ya .
Tunawatakia sabato njema.

⁣⁣Sahau kuhusu ya jana weekend now fikiria ni jinsi gani unakuza biashara yako. ⁣⁣Nikurakie kazi njema.⁣________________...
24/08/2020

⁣⁣
Sahau kuhusu ya jana weekend now fikiria ni jinsi gani unakuza biashara yako. ⁣

Nikurakie kazi njema.⁣
______________________________________⁣
⁣⁣
Bila kusahau kuanzia tarehe 27/08/2020⁣⁣
Tutakua na darasa la BUREE kabisa kwa WhatsApp group. ⁣⁣
⁣⁣
Na tutaongea sababu za msingi zinazokufanya usipate wateja mtandaoni. ⁣⁣
⁣⁣
Kujiunga darasa hili buree DM nikutumie link.⁣⁣
______________________________________⁣
⁣⁣
Wasiliana na kwa msaada zaidi kuhusu Online Sales and Marketing. ⁣⁣
⁣⁣
DM/Call/WhatsApp 0689667786⁣⁣
______________________________________⁣
⁣⁣
Sponsored by ⁣⁣

Kwa bidhaa bora za usafi na huduma za usafi.⁣⁣
⁣⁣

Kwa huduma zote design (matangazo ya kisasa, website design nk⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
🇹🇿 digital eup ada bbath dpost s

⁣Tunawarakia Sabato njema.
22/08/2020


Tunawarakia Sabato njema.

⁣⁣⁣Team nzima ya  tunawatakia "SABATO NJEMA"⁣⁣⁣⁣"Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; ⁣⁣⁣⁣lakini siku ya saba n...
15/08/2020


⁣⁣
Team nzima ya tunawatakia "SABATO NJEMA"⁣⁣
⁣⁣
"Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; ⁣⁣
⁣⁣
lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. ⁣⁣
⁣⁣
Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa." ⁣⁣
⁣⁣
Kutoka 20:9-11.⁣⁣
Tukutane tena kesho jumapili.⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
⁣⁣
🇹🇿

⁣Team nzima ya  tunawatakia "SABATO NJEMA"⁣⁣"Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; ⁣⁣lakini siku ya saba ni Saba...
15/08/2020


Team nzima ya tunawatakia "SABATO NJEMA"⁣

"Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; ⁣

lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. ⁣

Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa." ⁣

Kutoka 20:9-11.⁣
Tukutane tena kesho jumapili.




































🇹🇿

14/08/2020



😂😂😂😂😂😂⁣


Hilo ni vibe la Friday⁣
Watu na mziki wao⁣



































#⁣tangazo
🇹🇿

Nawatakia SABATO NJEMA.
08/08/2020

Nawatakia SABATO NJEMA.

Address

Biashara Digital
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:30
Tuesday 09:00 - 21:30
Wednesday 09:00 - 21:30
Thursday 09:00 - 21:30
Friday 09:00 - 21:30
Sunday 09:00 - 20:30

Telephone

+255622578977

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dar Online Market posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dar Online Market:

Share