12/01/2018
*TANGAZO* *TANGAZO* Ambalo ni Muhimu sana kwako wewe na wengine uki share kwenye magroup mengine au watu wengine n.k!!!
*NYUMBA YA BIASHARA YENYE FREM ZA BIASHARA NA WAPANGAJI INAUZWA KIGOGOFRESH- PUGU- GONGOLAMBOTO- ILALA- DAR ES SALAAM,*
UKUBWA WA NYUMBA NI *UREFU wa FUTI 66, UPANA wake ni FUTI 22,* pia ina VYUMBA VITATU vya MASTER, choo cha public, FREM 2 za duka/biashara, SEBURE NA CHUMBA KIMOJA, Pia ina maji ya kisima na *uwanja mkubwa sana sana*! GARI ZINAFIKA!!!!
*ENEO LA UWANJA NI UREFU MITA 50 NA UPANA MITA 30---pia PANAFAA KUWA SHULE, CHUO, KANISA, BAR, HOTEL N.K!*
*UMBALI TOKA BARABARANI NI CHINI YA MITA 500 (NUSU KILOMITA), pia ina maji*
*BEI IMESHUKA KUTOA market price ya 100 MILIONI NA SASA INAUZWA KWA OFA YA 75 MILIONI ILA MAONGEZI KIDOGO YAPO na unaweza lipia nusu halafu inayobaki ukaendelea kulipa kidogo kidogo kwa makubaliano ya muda maalum*
*karibu sana sana na tena wahi k**a KWELI unahitaji wewe binafsi, kikundi, ndugu, marafiki, majirani, kampuni, shirika, taasisi, n.k. kabla wanaojua bei za nyumba zenye eneo KUBWA uwanja wa viwanja zaidi ya sita (6) vyenye ukubwa wa zaidi ya mita 15 kwa mita15 kwa thamani ya zaidi ya milion 7 kwa kila kimoja na ukiongeza nyumba hiyo ya biashara/kuishi ambayo thamani yake inaongezeka kila siku kwa vile ina frem za biashara, vyumba vya kupangisha/kuishi, maji n.k tena ipo karibu na business area ya soko la kigogofreshi au railway stesheni ya kigogoFresh!
- Pugu, Dar es salaam!*
*Wahi mapema k**a unataka kuongeza thamani ya hela yako kupitia kuwekeza kwenye nyumba na viwanja vya biashara ya kupangisha, shule, kanisa,msikiti, chuo, ufugaji ng'ombe/kuku/mbuzi/bata/samaki n.k*!
*Plz! kwa mtu binafsi au kikundi au taasisi au kampuni n.k anayehiyaji au wanaohitaji na kuonw fursa hii ya kuongeza thaman za hela kuliko kuiweka tu pesa benki tuwasiliane kwa call/text/inbox only *0713952266*au *0765154244*.
au
*Tutembelee ofsini kwetu mawasiliano- Stendi ya Daladala Ubungo- Dar es salaam kuanzia saa 1asubuhi mpaka saa 11jioni!*
*karibu sana Mtu wa Mungu tufanye biashara, usiogope hatutashindwana, tutakusikiliza na tutakuwezesha ulipe kulingana na uwezo wako*!!!