Luge Philipo

Luge Philipo Luge Philipo is a quiet and focused person who can work swiftly and effectively either alone or as part of a team.

He is a nice fun and friendly person; he is honest and punctual with good listening and communication skills.

Ulishawahi kuwa na jambo likakupa mawazo mengi kwa muda mrefu halafu nafsi ikakuelekeza kwa mtu fulani kwamba ndo ana ma...
15/05/2024

Ulishawahi kuwa na jambo likakupa mawazo mengi kwa muda mrefu halafu nafsi ikakuelekeza kwa mtu fulani kwamba ndo ana majibu ya jambo lako? Nimepitia kipindi hicho ambapo imenichukua miaka kadhaa kuanzia kunuia hadi kuomba appointment kuonana na mkongwe kazini kaka

Kaka natumia nafasi hii kukushukuru kwa muda wako kujibu maswali yangu juu ya mambo ya industry na . Ahsante kwa ushauri wa kiupendo na wenye ukweli mchungu. Story na ucheshi wako vilifanya siku yangu iwe na maana sana. Naendelea kujifunza kuwa bora zaidi.

Brother ahsante kwa kuchagiza mazungumzo haya. Uelewa wako ni wa kisomo kikubwa sana. Ni jambo jema sana kuwa karibu wanaoijua kazi na kuifanya vyema!

Tumepambana sana, tumeumizwa na  tumefanikisha mengi kwa muda sasa. Pamoja tumefanikiwa kuifanya  ijipatie hisia chanya ...
01/05/2024

Tumepambana sana, tumeumizwa na tumefanikisha mengi kwa muda sasa.

Pamoja tumefanikiwa kuifanya ijipatie hisia chanya kwa wateja wake.

Utayari, bidii, unyenyekevu na uvumilivu wako unazidi kufanya maisha yangu yawe na maana zaidi.

Birthday ndugu yangu , mtu wa maana kabisa🫡

MAAJABU 4 YA ROLL UP BANNER USIYOYAJUA.Itakusaidia kuvutia investors katika biashara yako kwa kuandika vision, mission n...
18/04/2024

MAAJABU 4 YA ROLL UP BANNER USIYOYAJUA.
Itakusaidia kuvutia investors katika biashara yako kwa kuandika vision, mission na core values za ofisi/biashara/huduma yako kwenye roll up banner. Iweke reception ili kila anayeingia aione.
Wavutie wateja wako wapya kwa kuweka “success story” ya mteja wako mmojawapo katika roll up banner ili wajue biashara yako ina wateja wengine wenye mafanikio.
Ongeza visibility ya brand yako kila unapopiga picha au kuchukua video za kupost online.
Hakikisha roll up banner yenye ujumbe unaoiuza vizuri biashara yako ikiwemo logo vinaonekana kwenye picha/video pindi unapojirekodi.
Roll up banner utaiweka k**a background.
Orodhesha huduma, bidhaa na shughuli zako zote kwenye roll up banner ili kuwapa wepesi wateja kuelewa unajishughulisha na nini
Unaweza kuiweka roll up hiyo ofisini au katika maonesho mbali mbali.
Sasa basi kwa nini uichague DP Promotions Limited kupata huduma hii?
Hapa utaipata kwa bei ya punguzo kwa Tsh. 140,000/=.
Ukiweka order leo, utaipata leo
Tutakushauri namna nzuri ya kuitumia roll up banner yako ili ikupe matokeo mazuri katika biashara.
Ukiwa miongoni mwa wateja 10 wa kwanza tutakufanyia free delivery. .
Tupigie kupitia namba za simu 0713671487 sasa hivi tuanze kazi.

16/12/2023
Jinsi ya kupiga Kura👉 Tembelea tovuti www.teya.or.tz/login 👉 Jisajili kupitia email yako ya gmail 👉kisha rudi nyuma na t...
23/10/2023

Jinsi ya kupiga Kura

👉 Tembelea tovuti www.teya.or.tz/login

👉 Jisajili kupitia email yako ya gmail

👉kisha rudi nyuma na tembelea tovuti www.teya.or.tz/vote au kwa njia nyingine nenda kwenye kitufe cha vote.

👉Tafuta DP PROMOTIONS LIMITED kwenye list kwenye box la ku search category

👉 Bofya kitufe cha Vote na utakuwa umefanikiwa kupiga kura yako.

Asanteni

Thanks to .me.desserts.cafe

15/09/2023

Endelea kutia bidii mzee tumetoka mbali na tunaenda mbali sana…. nakukubali mzee   Team   , Ndugu jamaa na Marafiki🫡   W...
07/06/2023

Endelea kutia bidii mzee tumetoka mbali na tunaenda mbali sana…. nakukubali mzee Team , Ndugu jamaa na Marafiki🫡 Wakuu!

Kwako kijana mwenzangu unayejitahidi kukuza biashara yako na kusaidia familia yako, ningependa kukupa moyo na kukuambia ...
27/05/2023

Kwako kijana mwenzangu unayejitahidi kukuza biashara yako na kusaidia familia yako, ningependa kukupa moyo na kukuambia kuwa una nguvu ya kufanya mambo makubwa! Safari ya kujenga biashara yako na kusaidia familia yako ni mchakato wa kujifunza na ukuaji, na nina imani kuwa unaweza kuvuka vikwazo vyovyote vinavyojitokeza.

Inaweza kuwa ngumu mara kwa mara, kuna nyakati ambazo zinaweza kutokea hofu na wasiwasi, lakini usikate tamaa! Hapa nimeandaa ujumbe wa kukupa moyo kusonga mbele zaidi:

âś…Weka Lengo Lako Wazi:

Weka malengo yako wazi na jua ni kwa nini unafanya bidii. Kuwa na maono ya wapi unataka kufika na biashara yako na jinsi unavyotaka kusaidia familia yako, jamii na Taifa lako kwa ujumla. Lengo lako litakusaidia kuwa na mwongozo na kujitahidi kila siku.

âś…Amini Uwezo Wako:

Jiamini na thamini uwezo wako. Unayo talanta, ubunifu na ujasiri wa kufanya mambo makubwa. Tumia ujuzi wako na fanya kazi kwa bidii, na utaona matokeo mazuri yakija.

âś…Jifunze kutoka kwa Wengine:

Chukua muda wa kujifunza kutoka kwa wengine waliofanikiwa katika biashara na maisha. Soma vitabu, sikiliza , au jiunge na vikundi vya kujifunza. Maarifa ni ufunguo wa ukuaji wako na itakusaidia kufanya maamuzi sahihi katika safari yako ya biashara.

âś…Fanya Kazi kwa Kujituma:

Biashara ni kazi ngumu na inahitaji juhudi na uvumilivu. Jiwekee ratiba ya kazi, fanya mipango na toa maamuzi yenye busara. Kuwa tayari kujifunza, kubadilika, na kuboresha mbinu zako.

âś…Umuhimu wa Branding:

Kumbuka umuhimu wa katika kukuza biashara yako. Branding inakuza utambulisho wako, inakupa hadhi na inakuweka mbali na washindani wako. Ili kufikia mafanikio, wasiliana na kwa simu +255 672 268112. Wao ni wataalamu wa branding na wanaweza kukusaidia kufikia lengo lako.

đź’­Nikusisitize tu siku zote kwamba safari yako ya biashara ni ya thamani na inaweza kuwa chanzo cha mafanikio na furaha. Kuwa na subira, jiamini, na ukumbuke daima kuwa unaweza kufanya mambo makubwa!

Kutumia roll-up banners nzuri kwenye biashara yako kuna faida kadhaa ambazo zinaweza kusaidia kuongeza ufanisi na kuvuti...
16/05/2023

Kutumia roll-up banners nzuri kwenye biashara yako kuna faida kadhaa ambazo zinaweza kusaidia kuongeza ufanisi na kuvutia wateja. Hapa kuna faida tano za kutumia roll-up banners nzuri kwenye biashara yako!

Swipe kuona zaidi:

Address

Dar Es Salam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luge Philipo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Luge Philipo:

Share