mentor_azum

mentor_azum Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mentor_azum, Internet Marketing Service, Dodoma.

26/05/2026

Unachohitaji sio fundi tu… unahitaji Subaru specialist. Karibu upate huduma yenye uhakika na uaminifu. 🤝

📍 Location: Dodoma, Mnada Mpya
📞 Contact: 0767-199-760 / 0769-939-596

23/05/2026

Kutumia oil feki kwenye Subaru yako kunaweza kusababisha matatizo makubwa ikiwemo
. Injini kupiga kelele
. kuziba machujio ndani ya injini
. Kuaribika kwa injini Araka
. Kuongezeka kwa matumizi ya mafuta ya injini
. Kupunguwa kwa oil

Dalili za oil feki
. Bei ni ndogo sana kuliko kawaida
. Rangi na harufu si za kawaida
. Oil inaonekana nyeusi sana baada ya kuwekwa
Ushauri
Karibu kwa Devi Subaru Automotive Garage! Huduma za Kiufundi, Urekebishaji wa Kina, na Matengenezo ya Subaru kwa Ubora wa Juu. Hapa ni Subaru Centre, na hii ni Garage ya Uhakika

Location: Dodoma, Mnada Mpya
Contact: 0767-199-760 / 0769-939-596

Devi Subaru ni Uhakika na Ubora kwa Subaru Yako! 😊

21/05/2026

Huyu dogo kazid 🤘🤘😂
1.2M

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mentor_azum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share