Dream Big

Dream Big If opportunity doesn't knock, build a door

17/10/2020

Amna mtu anaruhusiwa kupost kitu chochote bila ruhusa humu ,,, kuna mtu amepost vitu vya ajabu duh😒😠

Anaehtaj kujfunza graphic designe kutumia cm join iyo link apo chini my watsap group🀳
15/09/2020

Anaehtaj kujfunza graphic designe kutumia cm join iyo link apo chini my watsap group🀳

WhatsApp Group Invite

12/09/2020

Tangaza biashara yako kwa mabango mazurii =bureee
Karibu sana 🀝🀝
designs πŸ“·πŸοΈ

Hello friends     Kwa anaehtaj kudizainiwa mabango nchek inbox chap πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
12/09/2020

Hello friends
Kwa anaehtaj kudizainiwa mabango nchek inbox chap πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kwa mahtaj ya,, LOGO,BUSINESS CARDna kuedit picha inbox meWelcome friends pia kwa anaehtaj kujfunza na kutoa ushaur karb...
08/09/2020

Kwa mahtaj ya,,
LOGO,
BUSINESS CARD
na kuedit picha inbox me

Welcome friends pia kwa anaehtaj kujfunza na kutoa ushaur karbu🀝🀝

13/08/2020

Learn how to create wonderful logo and edit attractive photo

Designer Kwa anaehtaj kujfunza inbox meπŸ’₯🌷
12/08/2020

Designer
Kwa anaehtaj kujfunza inbox meπŸ’₯🌷

πŸ’₯πŸ™
11/08/2020

πŸ’₯πŸ™

Never give up!!   Always keep on trying one you will be the best,,,πŸ’ͺRead this,, it's fun but ina ujumbe ndani yake,,,πŸ‘‡πŸ‘‡U...
10/08/2020

Never give up!!
Always keep on trying one you will be the best,,,πŸ’ͺ

Read this,, it's fun but ina ujumbe ndani yake,,,
πŸ‘‡πŸ‘‡
Ukiwa na kiu ya kufika sehemu fulani ni lazima utafika tu but you have to be patient and make strong efforts on your plan ,,,, napenda kutoa mfano mdogo tuu kuna wimbo nlikua naupenda sana unaitwa queen of my heart wa west life nliupenda huo wimbo nkiwa mdogo so nilipenda kuusikiliza but sikua naelewa kitu zaidi ya lile neno queen of my heart pekeake bt sikuacha kuusikiliza but ili fikia wakati nlikua nauimba wotee but sikua najua naimba nini ata maneno sikua naelewa natamka nn bt nlikua naimba vzur t mwanzo mpka mwisho bt kadri siku zlivoendelea nkawa napata neno moja moja then hadi now nina uwezo wa kutamka maneno yake vzur nkiwa naimba ... So unapo taman mafanikio yoyote hutakiw kukata tamaa wala kukatishwa tamaa cz nakumbuka kuna siku nlikua naimba huo wimbo nkiwa celew kabx natamka nini kuna mtuu alnambia ww unaimba nn? km huwez acha wanaojua waimbe ,, so katka vituu km ivo unatakiwa kua strong as long as you know your plan na uko correct with your choice so keep on struggling polepole tu utaanza ona matumain ya kufkia malengo yako

I really like this ,, anza sasa usijiulize ivi mtu fulani atanionaje don't bother on that kila mtu ana mambo yake na malengo yake ,, katika kujaribu ndipo tunagundua makosa bila hivyo huwezi kujua ni wap unakosea
Lovee you all ,, usisahau kulike , kufollow na kushare
Thank you πŸ’–

Address

Dodoma

Telephone

+255678848092

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dream Big posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share