VIWANJA NA MAJUMBA

VIWANJA NA MAJUMBA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VIWANJA NA MAJUMBA, Marketing Agency, wilsonmagessa@gmail. com, Dodoma.

06/09/2021

Sqm 600, milion 6, sqm 400, milion 5. Nzuguni B, Dodoma mjini.

Huduma zote zipo km unavyoona. simu 0627022407.

TUNAVIUZA HIIVYO VIWANJA VIZURI VIPO MIYUJI DODOMA MJINI.SQM MOJA NI ELFU KUMI TATU.SIMU 0715941717/ 0752330352WHATSAPP.
26/03/2020

TUNAVIUZA HIIVYO VIWANJA VIZURI VIPO MIYUJI DODOMA MJINI.

SQM MOJA NI ELFU KUMI TATU.

SIMU 0715941717/ 0752330352WHATSAPP.

Tunauza kiwanja kina ukubwa wa Sqm 720, DODOMA mjini Michese bei milion 3. Kiwanja kipo pazuri ukishuka kwenye daladala ...
25/01/2020

Tunauza kiwanja kina ukubwa wa Sqm 720, DODOMA mjini Michese bei milion 3. Kiwanja kipo pazuri ukishuka kwenye daladala ktk senta ya michese unatembea kidogo unakuwa umefika site.

Umeme maji vipo barabara nzuri ya mtaa kwenda kwenye kiwanja pamepimwa pamishawekewa bikoni ramani ya mabarabara ipo.

Kwa kifupi kiwanja bei yake ni rahisi na ni pazuri ajabu. Simu 0752330352/0715941717.

MASHAMBA YA BEI RAHISI YAPO LAKI 7, HEKA 1. VIWANJA VYA BEI YA KAWAIDA VIPO PIA.
22/12/2019

MASHAMBA YA BEI RAHISI YAPO LAKI 7, HEKA 1. VIWANJA VYA BEI YA KAWAIDA VIPO PIA.

Hbr za leo tunauza maeneo mashamba kila heka laki 7. Ni Vijiji ambavyo vipo karibu kabisa na mjini au Jiji la Dodoma. Kw...
21/12/2019

Hbr za leo tunauza maeneo mashamba kila heka laki 7. Ni Vijiji ambavyo vipo karibu kabisa na mjini au Jiji la Dodoma.

Kwa wale wasioijua Dodoma ni kwamba ni mji unakuwa kwa kasi sana ila Dodoma ni mji mkubwa ila haujapanuka ila kwasasa unapanuka kwa haraka sana.

Maeneo haya wanayouza heka laki saba si mbali sana. Tunatumia NUSU saa kufikapo kutoka katikati ya mji wa Dodoma.

Pia Serikali inapima Jiji lote la Dodoma mwaka jana kuna watu walinunua Vijiji vilivyotangulia kwa laki saba na laki 8, kwa heka mwaka huu pakapimwa pamepanda thamani mara dufu maana pamekuwa Viwanja ambavyo mpk sasa milion hakuna mtu anaekuuzia heka.

Eneo lenyewe ni zuri kwa sababu lina mchanga mwekundu wenye rutuba unawez lima mahindi mtama uwele maharage.

Km unajua Ardhi haimtupi mtu na Ardhi ni mali karibu nunua leo bei ndogo kesho uza mamilion au wekeza baada ya mda mfupi ujikute upo katikati. Simu0752330352/0715941717.

TUNAUZA ENEO LA KUJENGA KIWANDA, HEKA 5. NALA DODOMA MJINI.BEI, MILION 130. SIMU 0715941717, 0752330352.
17/07/2019

TUNAUZA ENEO LA KUJENGA KIWANDA, HEKA 5. NALA DODOMA MJINI.

BEI, MILION 130. SIMU 0715941717, 0752330352.

Tunauza Kiwanja, hiki chenye sqm, 720, kipo mbele kidogo ya Makazi, ya Waziri mkuu mlimwa C, mjini Dodoma.Hapa ni pazuri...
27/01/2019

Tunauza Kiwanja, hiki chenye sqm, 720, kipo mbele kidogo ya Makazi, ya Waziri mkuu mlimwa C, mjini Dodoma.

Hapa ni pazuri pana huduma zote km bara bara umeme maji, vyote vipo Kiwanja, kipo ktk Majumba sehemu iliyoendelea san na kujengwa Majumba, ya Kisasa km unahitaji hiki Kiwanja karibu. Pia tuna Viwanja, vilivyomalizwa kupimwa hapo Mlimwa C, pamoja na kwa Mwatano.
Viwanja, vikubwa sana kuanzia sqm, 123... Na maeneo mazuri hakun milima barabara maji yapo umeme bei hutofautian kulingan na ukubwa wake kun Million 12. Million 15 na kuendelea km unahitaji maelezo tupgie simu 0752330352 / 0657354023.

Hapa ndio panajengwa mji wa Serikali Kikombo Ihumwa Viwanja vinapatkana hapa kwa bei rahisi kw sasa maana ndio wameanza ...
08/01/2019

Hapa ndio panajengwa mji wa Serikali Kikombo Ihumwa Viwanja vinapatkana hapa kwa bei rahisi kw sasa maana ndio wameanza kuvipima km unahitaji Kiwanja eneo hili karibu tunavyo Viwanja vingi.
Ila km unahitaji kiwanja Dodoma mjini pia tunavyo pamoja Nyumba za kipanga Appartments.
Simu 0752330353 / 0657354023.

Address

Wilsonmagessa@gmail. Com
Dodoma
255

Telephone

+255786022407

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VIWANJA NA MAJUMBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to VIWANJA NA MAJUMBA:

Share