17/08/2024
*Kwa wenye kujali au kusumbuliwa na shida ya ngozi iwe wewe au mtoto au mwenza basi usisite kutumia tiba hii ya sabuni (Anatic Herbal essence soap) Bora kabisa yenye kusaidia...*
❇️Kufanya ngozi iwe nyororo iwe Kwako au mtoto.
❇️Kuondoa madoa au Chunusi au rangi nyeuso kwenye ngozi iwe kwako au mtoto.
❇️Kuondoa vipele vitokanavyo na bacteria au vimelea mbalimbali.
❇️Kuondoa shida ya fangasi wa ngozi iwe fangasi kwako wa mapajani, chini ya maziwa, fangasi Kwa mwenza k**a fangasi wa sehemu za Siri (ngozi ya korodani).
❇️Kuboresha ngozi iliopauka kutokana na jua au baridi au kutokana na mafuta.
❇️Husaidia Kuondoa miwasho na ukavu wa ngozi.
❇️Kutibu allergies au uzio wa ngozi kutokana na Kinga za mwili lakini hapa utapewa na dawa nyingine.
❇️Hutumika k**a mbadala wa mafuta Kwa watoto ambao mafuta yote yamewakataa.
Agiza Leo Kwa manufaa ya ngozi Yako kugh'arisha, kufanya iwe nyororo na kuvutia.
Kwa 15,000 tu unapata na unatumia zaidi ya miezi miwili bila kuisha na matokeo makubwa...🧑⚕️
Epuka kutumia mafuta ya kuchubua ngozi Ili kugh'aa au Kuondoa madoa au Chunusi ni hatari Kwa ngozi.
na Raphael #
bora #