Dodoma MPYA

Dodoma MPYA helo
Karibu katika page maalumu itakayokujulisha kuhusu mji mkuu wa dodoma, fursa zilizopo pamoja m

17/02/2021
https://youtu.be/EDW5r3ibj8Q
05/09/2018

https://youtu.be/EDW5r3ibj8Q

Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi ameanza ziara ya kutatua kero na matatizo mbalimbali katika kata za jiji la Dodoma huku akiapa kusimamia haki za wa...

https://youtu.be/Xvfg1ynEECc
18/08/2018

https://youtu.be/Xvfg1ynEECc

Maandalizi ya kufungua barabara ya mzunguko wa nje (Mlimwa Outer Ring Road), Wavamizi wa eneo la barabara mitaa mbalimbali ya jiji waondelewa.

https://youtu.be/5SRBmKVFNPE
16/08/2018

https://youtu.be/5SRBmKVFNPE

Upanuzi wa Kituo Cha Daladala eneo la Sabasaba unaendelea jijini Dodoma na daladala zote zinazofanya safari

https://youtu.be/Y1hQbGLCi_k
25/07/2018

https://youtu.be/Y1hQbGLCi_k

Jiji la Dodoma limeingia mkataba na Kampuni ya Green Waste kwa ajili ya kufanya usafi wa jiji kwa majaribio katika kata sita zilizopo katikati ya jiji.

MATIBABU YA KIBINGWA HOSPITALI TEMBEZI YAANZA LEO JUNI 25 JIJINI DODOMAHalmashauri ya Jiji la Dodoma imeanza rasmi zoezi...
25/06/2018

MATIBABU YA KIBINGWA HOSPITALI TEMBEZI YAANZA LEO JUNI 25 JIJINI DODOMA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeanza rasmi zoezi la siku 5 la kutoa huduma ya matatibu kwa wagonjwa mbalimbali kwa mfumo wa Hospitali Tembezi linalofanyika katika Hospitali Teule ya Wilaya Mtakatifu Gemma iliyopo Kata ya Miyuji Jijini humo.

Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma Hamad Nyembea amesema huduma ya Hospitali Tembezi ni jukwaa linalowakutanisha madaktari Bingwa wa fani mbalimbali za utabibu k**a mgonjwa ya akina mama na watoto, Figo, Moyo, Koo na Pua, Kinywa na Meno, Shinikizo la Damu, Sukari, Tezi Dume, Shingo ya Kizazi, Macho, Masikio, pamoja na upasuaji wa mifupa na wa kawaida.

Ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Dodoma na Wilaya za jirani hususan wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali kutumia fursa hiyo vizuri.

"Kuna wagonjwa wengine ambao wameandikiwa rufaa kwenda Hospitali za mbali k**a Muhimbili Dare es Salaam na hawana uwezo, hii ni fursa kwao kwani hapa kuna madaktari Bingwa wa fani zote na watahudumia kwa muda wa siku tano kuanzia leo, mpaka Ijumaa Juni 29.

Alifafanua kuwa utaratibu wa matibabu ni wa kawaida ambapo wagonjwa wenye Bima za Afya za NHIF na CHF watatibiwa kwa kutumia kadi zao na wale wasio na Bima watachangia Shilingi elfu 5 k**a gharama ya kuonana na Daktari, na kwa huduma ya upasuaji mgonjwa atachangia Shilingi elfu 30 tu.

09/06/2018

Karibu dodomaMpya page! Mahali ambapo utapata fursa ya kujua shuhuli za uchumi na maendeleo zinazoendelea katika jiji jipya la Dodoma. Karibu kutangaza biashara yako bure kabisa. Hii ni offer ya mwezi wa sita tu. Piga simu zifuatazao kwa maelezo zaidi.
0717143050
0625472151
0755250452

Address

Iringa Road
Dodoma
123

Opening Hours

Monday 09:00 - 15:00
Tuesday 09:00 - 15:00
Wednesday 09:00 - 15:00
Thursday 09:00 - 15:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

255768828279

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma MPYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share