Ino Comunications Limited

Ino Comunications Limited We deals with Public Relations and Stationary services

Tupigie 0613212450
24/03/2026

Tupigie 0613212450

23/03/2026

We deals with Public Relations and Stationary services

Mwalimu Gloria Hamis wa Shule ya Msingi Brookside Academy iliyopo Kimara S**a, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, ki...
21/03/2026

Mwalimu Gloria Hamis wa Shule ya Msingi Brookside Academy iliyopo Kimara S**a, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, kizungumza na Waandishi wa Habari hivi karibuni kwenye maonyesho ya shule hiyo Mlimani City Mwenge Jijini Dar Salaam ,pamoja na mambo mengine aliwataka wananchi kupeleka watoto wao shuleni hapo kwa elimu bora,malezi bora na mafunzo ya lugha za kimataifa k**a vile Kifaransa na Kichina.Pia alisema kwa miaka mingi shule hiyo imekuwa na matokeo bora kabisa kwenye mitihani ya Kitaifa.KWA MAWASILIANO WAPIGIE 0742 100 790,au Fika shuleni kwao Kimara S**a.

17/03/2026
15/10/2025

Shule ya sekondari Sega

Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Sega wakicheza muziki kwenye mahafali yao shuleni hapo Morogoro
12/10/2025

Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Sega wakicheza muziki kwenye mahafali yao shuleni hapo Morogoro

11/10/2025

Wanafunzi wa Sega Sekondari ya Morogoro wakati wa Mahafali ya kidato cha 4

Address

Mtaa Wa Arusha
Ilala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ino Comunications Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ino Comunications Limited:

Share