Shefa Kampuni

Shefa Kampuni SHEFA
K.U product,music,movie,clothes,host,banana, product all product offer under shefa company LTD market and supplies.advertising and promotion

09/03/2024
09/03/2024

Mzigo huo friji kali press order

Ukihitaji utengenezaji wa kalasha like page hii tupo makongolosi karibu na shule ya msingi makongolosi

Huyu ndo mkubwa wao
07/03/2024

Huyu ndo mkubwa wao

Mwanamuziki wa Bongofleva Herry Sameer Rajab almaarufu k**a Mr. Blue amefanya mahojiano na BBC na kufunguka kuwa kuna kipindi alipotea kwenye muziki kutokana na starehe na kujiingiza kwenye dimbwi la matumizi ya dawa za kulevywa huku akimtaja mke wake kuwa ndiye aliyemsaidia kumtoa kwenye changamoto hiyo.

“Mimi mke wangu namshukuru sana kwani yeye ndio amechangia kwa kiasi kikubwa mimi kubadilika, alikuwa ananiambia taratibu vitu vya kufanya na badaye aliposhika ujauzito ndio nikagundua naenda kuwa na familia” – ameelezea Mr. Blue.

“Mimi wakati naanza muziki nilikuwa mtoto na sikuwa na rafiki lakini watu walikuja wakijifanya wananijua wamesoma na mimi kwahiyo ule ushkaji mtu akichoma na mimi nachoma, mara pombe nikawa siendi studio, mimi nimeharibiwa na watu waliokuja baada ya mimi kuwa staa” – Mr.Blue.

  Mwanamuziki wa Bongofleva Herry Sameer Rajab almaarufu k**a Mr. Blue  amefanya mahojiano na BBC na kufunguka kuwa kuna...
07/03/2024

Mwanamuziki wa Bongofleva Herry Sameer Rajab almaarufu k**a Mr. Blue amefanya mahojiano na BBC na kufunguka kuwa kuna kipindi alipotea kwenye muziki kutokana na starehe na kujiingiza kwenye dimbwi la matumizi ya dawa za kulevywa huku akimtaja mke wake kuwa ndiye aliyemsaidia kumtoa kwenye changamoto hiyo.

“Mimi mke wangu namshukuru sana kwani yeye ndio amechangia kwa kiasi kikubwa mimi kubadilika, alikuwa ananiambia taratibu vitu vya kufanya na badaye aliposhika ujauzito ndio nikagundua naenda kuwa na familia” – ameelezea Mr. Blue.

“Mimi wakati naanza muziki nilikuwa mtoto na sikuwa na rafiki lakini watu walikuja wakijifanya wananijua wamesoma na mimi kwahiyo ule ushkaji mtu akichoma na mimi nachoma, mara pombe nikawa siendi studio, mimi nimeharibiwa na watu waliokuja baada ya mimi kuwa staa” – Mr.Blue.

Cautious
07/03/2024

Cautious

Shefa Kampuni NOTE
Hakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara kwamba idadi ya magari yanayonunuliwa na kuingizwa Tanzania inazidi kuongezeka mara dufu siku hadi siku na wengi wetu tunafahamu kwamba Japan ndiko magari 'used' yanakonunuliwa kwa wingi kwenye minada.

Kwa kuwa idadi kubwa ya magari yanayonunuliwa na Watanzania ni yale yaliyokwisha tumika (used), haya ni mambo matano ambayo tunatakiwa tuyazingatie sana kwenye karatasi hii maalum ya ukaguzi (auction sheet) kabla ya kununua gari iwe unalinunulia hapahapa Tanzania au umeliagiza Japan ambapo karatasi hii itakusaidia kufahamu umenunua gari likiwa katika hali gani.

1. Jambo la kwanza ni kwamba karatasi hii ( auction sheet) ina madaraja au auction grade kuanzia 0 hadi 5 zikiwa ni alama zinazokuonesha gari hilo liko vizuri kiasi gani ambapo 5 ndio alama ya juu zaidi ya ubora.

2. Kitu cha pili karatasi hii pia inaonesha grade au madaraja ya ukaguzi kuonesha hali ya ndani ya gari na hali ya nje ya gari hivyo kukupa mwanga k**a utatakiwa kupita kwa Fundi rangi au Fundi wa interior.

3. Jambo la tatu ni ukaguzi wa mileage unaoonesha gari limetembea kilometa ngapi, hiki ni kipengele kingine muhimu sana unapaswa kukizingatia ili kuepuka baadhi ya Wafanyabiashara wasio waaminifu ambao huzichezea kilometa kwa kuzishusha ili kulifanya gari lionekane jipya zaidi na kumtaka Mteja alipe pesa nyingi zaidi.

4. Kipengele cha nne kinaonesha chassis number, ukubwa wa injini na k**a iliwahi kubadilishwa rangi ya gari pamoja na maelezo maalum kutoka kwa Muuzaji kufafanua k**a aliwahi kufanya modifications au mambo mengine.

5. kipengele cha tano ni Repair History, maelezo yanayoonesha k**a gari limewahi kurekebishwa popote au kufanyiwa ukarabati bila kusahau kipengele cha Diagram, mchoro wa gari ukiwa na alama zinazoonesha sehemu zilizoharibiwa au zilizowahi kukarabatiwa ili upate mwanga.

Swali kwako uliyewahi kununua gari 'used', Je ulipewa hii karatasi na kuisoma kabla ya kulinunua ndinga lako ? YES au NO ?

Shefa Kampuni NOTEHakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara ...

M 12 ISTPress order
07/03/2024

M 12 IST
Press order

Shefa Kampuni powed by jp mabati na subfresh cakes
07/03/2024

Shefa Kampuni powed by jp mabati na subfresh cakes

TOYOTA ISTMODEL 2006ENGINE 1NZ CC 1490LOW MILAGENEW TYRESSPORTS RIMSANDROID RADIOVERY MINT CONDITIONBEI 13.8M
07/03/2024

TOYOTA IST
MODEL 2006
ENGINE 1NZ CC 1490
LOW MILAGE
NEW TYRES
SPORTS RIMS
ANDROID RADIO
VERY MINT CONDITION
BEI 13.8M

Address

1820 Mbeya
Ilomba

Telephone

+255755551430

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shefa Kampuni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shefa Kampuni:

Share