Kaka Wanted

Kaka Wanted Miliki YouTube channel yako ikuingizie pesa. WhatsApo me +255656781501

22/12/2025

Hebu Watag Wanawake halafu kimbia

07/03/2025

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA PESA YOUTUBE!

Je, unataka kuwa na YouTube channel inayolipa? 🚀

Tarehe 17 Machi, nakuletea Darasa la YouTube Marketing Masterclass ndani ya WhatsApp Group!

✅ Utajifunza:
✔️ Jinsi ya kufungua YouTube channel ya kulipwa
✔️ Mbinu za kukuza channel yako haraka
✔️ Jinsi ya kutengeneza pesa na YouTube
✔️ Njia sahihi za kutoa pesa zako benki

⏳ Nafasi ni 50 Tu Jiunge sasa!
💰Darasa Linagharimu Tsh. 40000/= Tu badala ya 70000/=

📩 Jinsi ya kujiunga: Bonyeza hapa Link hapo chini au wasiliana nami WhatsApp 0656781501

Hii ni fursa ya kipekee kwa wale wanaotaka kutengeneza kipato cha kudumu mtandaoni! 🚀

MAISHA YETU NI MAGUMU SABABU NI HII👇Kila mtu Anatambua ssbabu ya maisha kuwa Magumu ni kukosa pesa...Ila kiuhalisia saba...
03/11/2023

MAISHA YETU NI MAGUMU SABABU NI HII👇

Kila mtu Anatambua ssbabu ya maisha kuwa Magumu ni kukosa pesa...

Ila kiuhalisia sababu inayopelekea maisha kutupigisha kwata ni VILE VITU MUHIMU VINAVYOENDESHA MAISHA YETU KUHITAJI FEDHA

kuna Chakula,
Mavazi,
Ugonjwa,
Makazi,
Dharula

Na gharama nyingine nyingine...

Ndio maana mtu akianza kujitambua tu mpaka anafikisha miaka 60 huko kila siku ni kuitafuta pesa Tu...

Swali ambalo huwa najiuliza anaitafuta miaka yote hiyo lakini mbona haionekani, inamaana anaitafuta tu na kuitumia iishe yote?

Nikaja kugundua Wengi wetu hawawekezi wakiamini maisha yenyewe mafupi wawekeze ili aje ale nani😂

Lakini pia nikagundua wengi hawajui Njia Rasmi za kuingiza Kipato Kwa kutumia Mfumo wa kuingiza pesa bila hata uwepo wao... Yaani passive Income..

Hivyo basi ikanipelekea kila wiki niwe nina mafunzo ya kusanua watu Njia 10 za kutengeneza pesa Mtandaoni..

Njia hizi ni msaada mkubwa wa kutengeneza pesa maana hazihitaji hata mtaji wowote kikubwa uwe na maarifa Tu😊

Je na wewe unahitaji kushiriki??

Basi wasiliana nami whatsapp 0656781501 ili ujiunge leo

Je Unahitaji Smartphone Yako ikuingizie kipato?Nafahamu unajaza bando mara nyingi, lakini mwisho wa mwaka ushawahi kufan...
02/11/2023

Je Unahitaji Smartphone Yako ikuingizie kipato?

Nafahamu unajaza bando mara nyingi, lakini mwisho wa mwaka ushawahi kufanya tathmini umetumia kiasi gani kwenye vocha Tu?..

Actually ni maokoto mengi sana😀

Nimekuandalia Darasa La BURE la siku 3 litakalokufundisha Njia 10 za Kutengeneza kipato Mtandaoni.

ili kushiriki Bonyeza Link kwenye Bio au hapa Chini ya picha Ili nikuunge kwenye group muda huu

LEO NDIO MWISHO SASA KUPOTEZA VOCHA!!!Leo Ndio Mwisho kujaza Vocha kwenye simu halafu simu haikuingizii chochote kile......
01/11/2023

LEO NDIO MWISHO SASA KUPOTEZA VOCHA!!!

Leo Ndio Mwisho kujaza Vocha kwenye simu halafu simu haikuingizii chochote kile...

Vijana wachache 30 Tu nawakaribisha Kwenye Darasa hili la BURE litakalofanyika Kwenye group la whatsapp kwa Muda wa Siku Tatu..

Usipange kukosa kabisa

Mada itakayofundishwa ni; NJIA 10 ZA KUINGIZA KIPATO Kupitia Mitandao ya kijamii.

Ili kushiriki bonyeza Link kwenye bio Au chini ya picha hii ili nikuunge kwenye group Muda Huu

VITU UNAVYOWEZA KUVIFANYA YOUTUBEAngalia nini unapenda kufanya kisha hicho unachopenda kiweke kwenye video sasa... Ndio ...
01/11/2023

VITU UNAVYOWEZA KUVIFANYA YOUTUBE

Angalia nini unapenda kufanya kisha hicho unachopenda kiweke kwenye video sasa... Ndio maana kuna watu wanachora, wanadance,wanaimba cover, wanafundisha jinsi ya kusuka nk.

Ikiwa unachopenda kukifanya bado hukitambui basi unaweza amua kuchukua kitu kimojawapo hapa chini na ukaamua kujifunza ukakijua nje ndani kisha ukaanza kutengeneza video zake... Baadhi ni
✅channel ya mapishi
-bites,
-Cakes,
-Juices,
-foods
✅Channel ya elimu
Fundisha chochote
✅uchambuzi wa michezo
✅Channel ya Urembo&make up
✅channel ya uchambuzi wa vitabu
✅uchambuzi wa mpira
✅uchambuzi wa movie
✅Channel ya reviews
-electronic gadgets
-magari nk.
✅ufugaji(mifugo yote au mmojammoja)
✅kilimo... (mazao yote au moja moja)
✅Online tv(news etc.)
✅Comedy
✅buses updates
✅siasa
✅Fedha na biashara
✅uwekezaji
✅fundisha watu lugha
✅fashion&Design
✅Afya&Magonjwa
✅Utalii
✅graphics
✅ufundi

orodha ni ndefu mnooo

Andika chini hapa kitu gani kingine unachoweza kufanya YouTube👇

LEO NDIO MWISHO SASA!!!Leo Ndio Mwisho kujaza Vocha kwenye simu halafu simu haikuingizii chochote kile...Vijana wachache...
26/10/2023

LEO NDIO MWISHO SASA!!!

Leo Ndio Mwisho kujaza Vocha kwenye simu halafu simu haikuingizii chochote kile...

Vijana wachache 30 Tu nawakaribisha Kwenye Darasa hili la BURE litakalofanyika Kwenye group la whatsapp kwa Muda wa Siku Tatu..

Usipange kukosa kabisa

Mada itakayofundishwa ni; NJIA 10 ZA KUINGIZA KIPATO Kupitia Mitandao ya kijamii.

Ili kushiriki bonyeza Link kwenye bio ili nikuunge kwenye group Muda Huu👇

25/10/2023

LEO NDIO MWISHO SASA!!!

Leo Ndio Mwisho kujaza Vocha kwenye simu halafu simu haikuingizii chochote kile...

Vijana wachache 30 Tu nawakaribisha Kwenye Darasa hili la BURE litakalofanyika Kwenye group la whatsapp kwa Muda wa Siku Tatu..

Usipange kukosa kabisa

Mada itakayofundishwa ni; NJIA 10 ZA KUINGIZA KIPATO Kupitia Mitandao ya kijamii.

Ili kushiriki bonyeza Link hii kuingia kwenye group Muda Huu👇

https://chat.whatsapp.com/FNzF0aeZh6lJLheSZGrfE8

Kila Mtu ana Nafasi Yake Hapa Duniani... Usiogope Ushindani👌Wewe anza tu kufanya hicho unachokitamani kuna kundi la watu...
19/09/2023

Kila Mtu ana Nafasi Yake Hapa Duniani... Usiogope Ushindani👌
Wewe anza tu kufanya hicho unachokitamani kuna kundi la watu ambalo litajitokeza tu na kufanya biashara nawe..

Hata mimi wakati naanza niliogopa sana maana walionitangulia Ni Wengi na wana wafuasi wengi.. Lakini nilipoanza tu kuchukua hatua ya kwanza, the rest is History

Vigezo Vya Kulipwa Ukiwa na Youtube channel.Ili uweze kulipwa kupitia Matangazo yanayowekwa juu ya video zako kwenye mta...
06/09/2023

Vigezo Vya Kulipwa Ukiwa na Youtube channel.
Ili uweze kulipwa kupitia Matangazo yanayowekwa juu ya video zako kwenye mtandao wa YouTube ni lazima
1.Ufikishe Subscribers 1000
2.Ufikishe masaa ya watazamaji 4000 ndani ya miezi 12
3.Maudhui yasiyo na janja janja au yaliyokopiwa kutoka kwa wengine

Ushamiliki youTube channel au bado upoupo kwanza?😄

UNATAKA KUUZA SANA? SOMA KITABU HIKI.ebook(softcopy-Kurasa 157)Kitabu hiki kinawalenga wafanyabiashara wote ambao wanaji...
05/09/2023

UNATAKA KUUZA SANA? SOMA KITABU HIKI.

ebook(softcopy-Kurasa 157)

Kitabu hiki kinawalenga wafanyabiashara wote ambao wanajitangaza kwenye mitandao Ya kijamii...

Iwe huduma au bidhaa...

Kitabu hiki ni msaada wa kuandika Caption/andiko/tangazo ili bidhaa au huduma iuzike kiurahisi baada ya kusoma tangazo la mfanyabiashara yoyote yule au mteja achukue hatua aliyoambiwa bila kulazimishwa kwa kusoma kilochoandikwa kwenye Tangazo.

Lakini pia kitabu hiki ni msaada kwa wanaotengeneza matangazo ya video kwani kitawasaidia kuandika script inayoshawishi ili kutengeneza Matangazo yao.

Na mwisho kitabu hiki ni msaada mkubwa kwa watengenezaji wa maudhui(Videos)Kwenye mtandao wa Youtube na mitandao mingine yenye matumizi ya video kwani kinakurahisishia kuandika Title/kichwa cha habari yenye mvuto ya kufanya kila anayekutana na video yako imshawishi kuitazama

kitabu hiki kina thamani ya 50000 ila sada unaweza kukipata kwa bei ya OFA YA MUDA MFUPI TSH. 13900/= Unaweza fanya malipo kupitia 0656781501(Ezrah Mhonda) na kuja whatsapp kupitia namba 0656781501 ili nikutumie kitabu chako

Ukisoma halafu ukiona hupati matokeo kwa miezi 6 mfululizo basi nitakurudishia pesa zako zote bila kukuuliza swali

Address

Mkolani
Iringa

Telephone

+255656781501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaka Wanted posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kaka Wanted:

Share