Napenda "Ufundi KAZI yangu"

Napenda "Ufundi KAZI yangu" Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Napenda "Ufundi KAZI yangu", Marketing Agency, Lindamanruhangisa@gmail. com, Karagwe.

Ezekieli 18
20 Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu uta

Matunda yako hutokana na bidii💪💪💪 yako......🤜🤛
24/09/2023

Matunda yako hutokana na bidii💪💪💪 yako......🤜🤛

12/05/2023
28/09/2022

Yeremia 1
5 Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

6 Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto.

Zaburi 1501 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.2 Msifuni kwa matendo yake...
28/09/2022

Zaburi 150
1 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.

2 Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.

3 Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;

4 Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi;

5 Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.

6 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.

Ahbarin za muda huu wapendwa wasomaj wa ukurasa wangu wa  Mnaozod kunifuatlia nawakarbisha Tena   ukurasa wangu tukapige...
23/09/2022

Ahbarin za muda huu wapendwa wasomaj wa ukurasa wangu wa
Mnaozod kunifuatlia nawakarbisha Tena ukurasa wangu tukapige kazi siku zijazo nakuletea ki2 muhimu Sana kwa wale wanaomiliki
Amina ya
Karibu Sana ...

Neema ya bwana iwe mwanga wako asubuh ya leo....
16/09/2022

Neema ya bwana iwe mwanga wako asubuh ya leo....

1 Timotheo 410 kwa maana twajitaabisha na kujitahidi kwa kusudi hili, kwa sababu tunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwo...
14/09/2022

1 Timotheo 4
10 kwa maana twajitaabisha na kujitahidi kwa kusudi hili, kwa sababu tunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwokozi wa watu wote, hasa wa waaminio.

14/09/2022
Shughuli ipo K**a hivo. Hapo Ni kdogo tu...  mteja wang
29/08/2022

Shughuli ipo K**a hivo. Hapo Ni kdogo tu... mteja wang

Yajayo yanafurahisha...tupo Muda wote kujuletea new design za vitu K**a hivo....karibu
16/08/2022

Yajayo yanafurahisha...tupo Muda wote kujuletea new design za vitu K**a hivo....karibu

Address

Lindamanruhangisa@gmail. Com
Karagwe

Telephone

+255621924486

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Napenda "Ufundi KAZI yangu" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Napenda "Ufundi KAZI yangu":

Share