Ngorongorocorridorlodge

Ngorongorocorridorlodge Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngorongorocorridorlodge, Marketing Agency, Pobox 37, Karatu.

Habari Ndugub Zangu Wadau Wa Utalii na Washirika Wangu Kwenye Biashara Matumaini Hamjambo Nyote,Najua Mnajiuliza Kwa Nin...
24/07/2024

Habari Ndugub Zangu Wadau Wa Utalii na Washirika Wangu Kwenye Biashara Matumaini Hamjambo Nyote,

Najua Mnajiuliza Kwa Nini Niko Kimya Sana Situmi taarifa Zinazohusu Kazi Zangu Nilizofanya Au Ninazofanya Na Wateja Wangu,Nichukue Nafasi Hii Kuwaambi Kwamba Sipo Kimya Bali Sote tunaelewa Kipindi Hichi Ni Kipindi Cha Kazi Nyingi tupo Kwenye Msimu Wa Kazi Hivyo Naendelea Kukusanya Taarifa Mbali Mbali Hasa Kupitia Vidoe Clip Au Photo Picture Ninazochukuaga Na Wageni Wanaofika Kwangu Kwa Ajili ya Chakula Na Malazi Kwenye Moja ya Lodge Ninayofanyia Promotions.

Endeleeni Kunifuatilia Kupitia Social Network Zangu,WhatsApp Groups Zangu Na Bila Kusahau Kuniletea au Kunitumia Wageni Kwa Ajili ya Kuwahudumia.

Kipindi Cha Law_season Nitaanza Kurusha Kazi Zangu Zote Nilizozifanya Ndani Ya msimu Mzima Nikiwa Na Wageni Wangu Kutoka Kwenye Kampuni tofauti tofauti Ndani Na Nje ya Nchi,Endeleeni kunifuatilia.

Nawashukuru Nyote Kwa Ushirikiano Mlionionyesha Na Mnaoendelea Kunipa Kwa Kuniamini Na Kunitumia Wageni Kwa Ajili Ya Chakula Na Malazi Hapa Wilayani Karatu na Hifadhi Ya taifa Ya Serengeti.

We Are Going to Keep Up Karatu District through Tourism Industry,We Need Your Supports to Promote,And Market Tanzania To...
24/07/2024

We Are Going to Keep Up Karatu District through Tourism Industry,We Need Your Supports to Promote,And Market Tanzania Tourism Sector Inbound And Outbound the Country.

All Karatu,s Residents Please You,re Welcome to Support Us And We Wait For Your Support Concerning Our Activities.

I And My Friend We Plan to Open Travel Company Our Company Will Located In Mianzini,Arusha_Tanzania Mainland We think ti...
24/07/2024

I And My Friend We Plan to Open Travel Company Our Company Will Located In Mianzini,Arusha_Tanzania Mainland We think till On September this Year We Will Have Been Opened the Company For Wildlife Safari tour,Mt Kilimanjaro trekking Without Forget Mt Meru In Arusha.

We Need A Supports From Karatu,s Citizens Especially Tourism Stakeholders From Karatu, We Keep Up Karatu District through Tourism Industry.

If Anyone Would like to Know More About Our Services And Project Please WhatsApp Me On +255753917200

For Reservation And Booking Call+255781506084

Send Me An Email at [email protected]

Thanks And You,re Welcome All the Best Friends.

Regards

Mr,Deus W. Kamara

The Company's Marketer.

*BOOK YOUR ROOM WITH DEUS KAMARA FROM KARATU, ARUSHA _TANZANIA*AM DEALING WITH LODGES LOGISTICS AND ROUND TRIPS SAFARIS*...
11/01/2024

*BOOK YOUR ROOM WITH DEUS KAMARA FROM KARATU, ARUSHA _TANZANIA*

AM DEALING WITH LODGES LOGISTICS AND ROUND TRIPS SAFARIS*

YOU CAN CONTACT WITH ME ON MY WHATSSAP NUMBER+255753917200

OR EMAIL ME at;[email protected]

FOR ACCOMODATION AND MEALS PLEASE VISIT US ON;
Www.Enyatilodgetz.com
[email protected]

AM LOOKING TOUR AGENCY AND BUSINESS PERTNERSHIP AROUND THE WORLD.

THANKS AND YOUR WELCOME

06/01/2024

A Farm trees
This is a good special Area to visit.

Ni maua gani jamani?zawadi kwa Atakayepata jibu sahihi.
06/01/2024

Ni maua gani jamani?zawadi kwa Atakayepata jibu sahihi.

*JAMANI UTAALAM NA MASWALA YA LICATION HAPA NI WAPI*?
06/01/2024

*JAMANI UTAALAM NA MASWALA YA LICATION HAPA NI WAPI*?

26/12/2023

Afisa habari wa Club ya Soka ya Young Africans akitoa ushauri kw Meneja wa habari na mawasiliano wa Club ya Simba Ndugu Ahmed Ally.

"Shida ni kwamba .. Timu inaposhinda Msemaji unajimilikisha ushindi huo. Unatamba nao na kujipa kila aina ya majina kuonyesha kwamba Wewe ni KILA KITU kwenye Ushindi.

Lakini timu inapopata matokeo mabaya, Unajitenga nayo. Unaanza kutupa lawama hadharani kwa wachezaji kuwa hawana Ubora na Uchu wa kuipa Timu mafanikio.. Huku ni KUKOSA HESHIMA.

Ni Ubinafsi na unaonyesha ni kwa kiasi gani Msemaji upo kwa ajili ya kulijenga jina lako na sio kuijenga Taasisi yako. Na hii ni mbaya pindi Interest binafsi zinapotangulia kuliko Interest za Taasisi.

Jambo moja ambalo inatupasa tuelewe, Nyakati nzuri na mbaya ni kwa ajili ya wote. Hakuna mchezaji anayekwenda uwanjani ili apoteze mchezo.

Kuwazodoa na kuwasema hadharani wachezaji wako ni kutaka kuwachonganisha na mashabiki. Ni ishara pia ya kutoheshimu kazi yao.

Na hata inapobidi, wachezaji wakatakiwa kusemwa, mwenye jukumu hilo ni Mkuu wa Benchi la Ufundi, Sio msemaji wa Timu.

Makocha wamekaa Darasani na wakafundishwa jinsi ya kuishi na kuwaelekeza wachezaji. Tuache wafanye kazi yao.

Kuwa Msemaji haimaanishi Wewe Unajua kila kitu. Haimaanishi una nguvu na uwezo wa kukosoa wapambanaji wako Public. Tujue mipaka yetu.

Kesho na keshokutwa wachezaji wakianza kutukanwa mitandaoni na kupigwa mawe na mashabiki barabarani, Tutaanza kusema kuwa tuna mashabiki wapuuzi.. Kumbe ‘Upuuzi’ tunaujenga kwa vinywa vyetu wenyewe..

Huwezi kuonekana Smart kwa kukosoa na kuwasema wachezaji hadharani .. ili kufurahisha kikundi cha watu wachache..

Hii ni mbaya sana, utamalizana na wachezaji kisha kesho utawakosoa viongozi wenzako na kisha utahamia kwa mashabiki.. Mwisho wake huwa mbaya sana.

Tubadilike .. Kinachotupa Umaarufu na majina makubwa mjini ni TIMU sio Vinywa vyetu .. Tujifunze kuheshimu na kuwalinda wachezaji wetu"

Mwenyekiti wa Wasemaji Hapa , Ally Kamwe

Welcome to ngorongoro corridor lodge at karatu in arusha tanzania for accomodation,meals,and breakfast.Wonderfull place ...
03/09/2023

Welcome to ngorongoro corridor lodge at karatu in arusha tanzania for accomodation,meals,and breakfast.
Wonderfull place to stay is only this

03/09/2023
Upi mfumo mzuri wa uongozi kwenye nchi kati ya hizi:Dictatorship government,Democracy government,and Armies systems.Toa ...
18/08/2023

Upi mfumo mzuri wa uongozi kwenye nchi kati ya hizi:Dictatorship government,Democracy government,and Armies systems.
Toa maoni tujue mfumo sahihi

Address

Pobox 37
Karatu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngorongorocorridorlodge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ngorongorocorridorlodge:

Share