Mk Production

Mk Production Video shooting, Photograph, Graphic & Design

Mk Production ni studio ijihusishayo na upigaji wa picha za matukio mbalimbali. Pia inafanya kazi ya kushoot video. Bei ...
06/06/2021

Mk Production ni studio ijihusishayo na upigaji wa picha za matukio mbalimbali. Pia inafanya kazi ya kushoot video. Bei zetu ni poa kabisa. Kwa maelezo zaidi, Tupigie 0624717038

Kwa Mahitaji ya picha & video shooting, Piga 0624717038. MK PRODUCTION,
03/06/2021

Kwa Mahitaji ya picha & video shooting, Piga 0624717038. MK PRODUCTION,

Mambo ni 📸📸🔥🔥🔥
21/05/2021

Mambo ni 📸📸🔥🔥🔥

Kwann uhangaike na wapiga picha wasio na kiwango? Njoo Mk Production tukupige picha bomba. Pia tuna~shoot video kwa kiwa...
07/05/2021

Kwann uhangaike na wapiga picha wasio na kiwango? Njoo Mk Production tukupige picha bomba. Pia tuna~shoot video kwa kiwango cha juu. Tunapatikana mkoa wa Kigoma katika wilaya ya Kasulu. Piga 0757078076 au 0624717038

02/05/2021

Tupigie sasa 0624717038 upate offa kabambe!!

Studio inajihusisha na kushuti video za:-✔️harusi,✔️mahafali,✔️Sendoff,✔️Birthday,✔️Kipaimara/komonio/ubatzo✔️Documentar...
08/04/2021

Studio inajihusisha na kushuti video za:-
✔️harusi,
✔️mahafali,
✔️Sendoff,
✔️Birthday,
✔️Kipaimara/komonio/ubatzo
✔️Documentary,
✔️Kwaya,
✔️Sollo artists,
✔️Bongo fleva,
✔️Maigizo, na
✔️Sherehe mbalimbali.

PIA UKIHITAJI PICHA ZA MNATO SIZE UNAYOTAKA UTAHUDUMIWA.

Studio inasainisha pia wasanii wachanga kuwa chini ya Lebo za MK Production kwa ajili ya kuwainua na kuwa wasanii wakubwa Tanzania na duniani kwa ujumla.

Studio hii ni miongoni mwa studio kubwa ukanda wa Tanzania magharibi yaani Shinyanga, Tabora na Kigoma.
Pia ina vifaa vinavyojitosheleza kwa ajili ya kutoa kitu kilichobora. Kuna camera zaidi ya tatu zenye kiwango kikubwa kabisa pamoja na drones.

Aidha, kuna directors wenye uzoefu mkubwa na ujuzi wa kutosha.

Studio inapatikana kanisa la Moravian Kasulu mjini karibu na stendi ya mabasi.
Tupigie kwa 0624717038/0769175050
instagram ,
Facebook Productiontz ,
Twitter
youtube productiontz au fika kanisani ukutane na crew ya MK Production kwa mazungumzo zaidi.

Karibu tukuhudumie.

PRODUCTION

08/04/2021
Karibu tukuhudumie kwa Video na picha za viwango vya hali ya juu k**a hizi.tunapatikana kanisa la Moravian Kasulu Mkabal...
08/04/2021

Karibu tukuhudumie kwa Video na picha za viwango vya hali ya juu k**a hizi.tunapatikana kanisa la Moravian Kasulu Mkabala na stend mpya ya mabasi tufollow katika mitandao ya kijamii Youtube, Instagram na Tweeter.

Ndio sisi wapiga picha na video katika ubora wake. Piga 0624717038. Tunapatikana katika instagram, you-tube na twitter k...
13/03/2021

Ndio sisi wapiga picha na video katika ubora wake. Piga 0624717038.

Tunapatikana katika instagram, you-tube na twitter kwa jina la

Tupo mkoa wa Kigoma katika kanisa la Moravian Kasulu Mjini karibu kabisa na stand ya mabasi yaendayo mikoani.

MK Production ndio baba lao.
08/03/2021

MK Production ndio baba lao.

Happy hour., happy Sunday, happy Valentine Day na MK Production - wapiga picha za mnato na mjongeo (video) wenye ubobezi...
14/02/2021

Happy hour., happy Sunday, happy Valentine Day na MK Production - wapiga picha za mnato na mjongeo (video) wenye ubobezi wa hali ya juu. Tupigie 0624717038

AU

We are reachable via instagram , telegram

KARIBU TUKUHUDUMIE.

Video shooting,  Photograph, Harusi, Sendoff, Graphic&Design Tupo kanisa la Moravian Kasulu mkabala na stend mpya ya mab...
07/02/2021

Video shooting, Photograph, Harusi, Sendoff, Graphic&Design Tupo kanisa la Moravian Kasulu mkabala na stend mpya ya mabasi tupigie 0753724316, 0624717038.

Address

Murusi
Kasulu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mk Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share