MUNAH Designer

MUNAH Designer Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MUNAH Designer, Graphic designer, kigamboni Ferry, Kigamboni.

DESIGN | BRANDING | PRINTING
LARGE FORMAT | DIGITAL PRINTING
PLOTTER | SCREEN PRINTING | EMBROIDERY
�FERRY - KIGAMBONI _ DSM
�+255716251719
[email protected]

04/09/2026

Mteja akifika dukani kwako, anahitaji kujua huduma unazopatikana nazo kabla hata hajauliza. 👀🔥

Hii signage tumeitengeneza kwa ajili ya kuonyesha huduma mbalimbali kwa muonekano unaoonekana kirahisi na unaovutia.

Kwa biashara inayotaka kuonekana, signage nzuri sio mapambo tu — ni sehemu ya biashara yako. 💯

📲 0787 794 793 / 0716 251 719
Munah Design & Printing
Change your idea into reality.

DarEsSalaam Kigamboni

SEPTEMBER — USIKATE TAMAA. ❤️Huenda mpaka sasa malengo uliyoweka hayajatimia.Huenda bado unapitia changamoto ambazo huku...
01/09/2026

SEPTEMBER — USIKATE TAMAA. ❤️

Huenda mpaka sasa malengo uliyoweka hayajatimia.
Huenda bado unapitia changamoto ambazo hukuzitarajia.
Huenda umechoka kuanza upya kila mara…

Lakini usiache safari yako kwa sababu tu njia imekuwa ngumu.

Kumbuka, hakuna giza linalodumu milele.
Kila changamoto ina mwisho, na kila usiku una asubuhi yake. 🌅

Endelea kusonga.
Endelea kuamini.
Endelea kufanya kazi hata k**a matokeo bado huyaoni.

Mungu anaweza kuwa hajakukatalia… anakutengenezea wakati sahihi. 🤲❤️

Usijilinganishe na wengine.
Safari yako ni yako.

Mwezi huu, anza tena.
Panga tena.
Omba tena.
Jitume tena.

Kwa sababu huenda hatua moja tu mbele ndiyo inayokutenganisha na kile ulichoomba kwa muda mrefu. ❤️‍🔥

SEPTEMBER — WE KEEP MOVING FORWARD. 🚀

31/08/2026

Simu yako imejaa picha nzuri… lakini ni picha ngapi umeziweka kuwa kumbukumbu ya kweli? ❤️

Usiache picha zako zibaki kwenye gallery tu.
Zichapishe kwenye Picha Mbao na uzifanye sehemu ya mapambo ya nyumba yako au zawadi ya mtu muhimu kwako. ✨🖼️

Kumbukumbu nzuri zinastahili kuonekana. ❤️

📲 0787 794 793 / 0716 251 719
Munah Design & Printing
Change your ideas into reality.

PrintingTanzania

27/08/2026

Kuna watu wanapenda timu yao… mpaka kwenye kikombe cha chai 😂❤️⚽

Arsenal ❤️
Simba 🦁
Manchester City 💙
Au wewe una timu yako tofauti? 👀

Tunaprint picha, majina, ujumbe maalum, logos na designs zako kwenye vikombe kwa ajili ya matumizi binafsi, zawadi au branding ya biashara. 🎁✨

Wewe leta idea, sisi tunaiweka kwenye kikombe. 🔥

📲 0787 794 793 / 0716 251 719
Munah Design & Printing
Change your ideas into reality.

PrintingTanzania Kigamboni DarEsSalaam

26/08/2026

Roll Up Banner inayovutia huanza na design nzuri na print quality. 🔥

Hii ni kazi tuliyomwandalia Mustahabu Pre & Primary School kwa ajili ya event yao ya Jointly Breakfast.

Kuanzia design, color mpaka printing — tunahakikisha brand yako inaonekana professional na yenye mvuto. 💯

🎨 Designing
🖨️ Printing
📢 Branding

Unahitaji Roll Up Banner kwa event, shule, biashara, exhibition au promotion?

📲 0787 794 793 / 0716 251 719
Munah Design & Printing
Change your ideas into reality.

EventBranding Kigamboni DarEsSalaam

25/08/2026

🔥 JEZI YA KAWAIDA? HAPANA!

Tunaiweka level nyingine. 💯🔥
Majina, namba, logo au design ya timu yako — tunachapa kwa umakini, usafi na finishing kali.

👕 Jezi za timu
👕 Jezi za events
👕 Custom jerseys
🔥 DTF Printing

Tuma design yako, TUACHE KAZI IONGEE!

📲 WhatsApp/Call: 0787 794 793 / 0716 251 719
📍 Munah Design & Printing

Kigamboni DarEsSalaam

Wiki mpya, nguvu mpya, na nafasi mpya za kufanya biashara yako ionekane zaidi. 🚀Ukiwa na idea, sisi tunaigeuza kuwa kitu...
24/08/2026

Wiki mpya, nguvu mpya, na nafasi mpya za kufanya biashara yako ionekane zaidi. 🚀

Ukiwa na idea, sisi tunaigeuza kuwa kitu kinachoonekana na kukumbukwa.

🎨 Designing
🖨️ Printing
📢 Branding

Munah Design & Printing
Change your ideas into reality.

📲 0787 794 793 / 0716 251 719

TanzaniaBusiness Kigamboni

23/08/2026

Tunafanya biashara yako ionekane professional kwa kukutengenezea mabango ya uhakika ya 3D na 2D mabango ya backlight na kufanya biashara yako ionekane ya kisasa zaid 💪 Mabango katika ofisi yako ni sehem ya market amabyo inatangaza biashara yako usiku na mchana tofauti na kutoka siku ukiumwa hutoki kwa hiyo ni njia bora sana katika kutangaza na kukuza biashara yako🙌 tupo kukusaidia kukuza biashara yako karibu sana Munah design & Printing

Address

Kigamboni Ferry
Kigamboni

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MUNAH Designer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MUNAH Designer:

Shortcuts

Share