BerrY Product

BerrY Product Berry Charles ni Wakala Wa Kampuni Ya NEOLIFE Nauza Bidhaa Nyingi Za Magonjwa Sugu K**a Kusukari, Pressure, Magonjwa ya Moyo, U. T.

I Sugu, Minyoo Aina zote,Maumivu Ya Viungo, Kutopata Mtoto, Uvimbe, Tezi Dume, CD4,Nguvu za KIUME Na Za K**E

INATIBU:  U.T.I, Fungus, MiwashO, Mapunye Watoto Kwa Wakubwa, Vipele baada Ya KUSHAVE, Utangotango, Vidonda Unaoshea Vin...
02/02/2021

INATIBU: U.T.I, Fungus, MiwashO, Mapunye Watoto Kwa Wakubwa, Vipele baada Ya KUSHAVE, Utangotango, Vidonda Unaoshea Vinapona Ni Nzuri Sana Nina Ushuhuda NayO

Karibu Nikuhudumie🙏🤝

UNAWEZA KUWA TAJILI WA MALI ILA MASIKINI WA AFYA NJOO UJIPATIE BIDHAA NZURI KWA:-  MOYO, GANZI, STROCK, UTE KATIKA JOINT...
17/07/2020

UNAWEZA KUWA TAJILI WA MALI ILA MASIKINI WA AFYA NJOO UJIPATIE BIDHAA NZURI KWA:- MOYO, GANZI, STROCK, UTE KATIKA JOINT, KUSAHAU SAHAU, MACHO N.K Karibu Nikuhudumie

KIBOKO YA MIKUNYANZI USONI UNAKOSAJE KWA MFANO ACHA KUZEESHA USO WAKO NJOO UJIPATIE KIBOKO YA MIKUNYANZI
17/07/2020

KIBOKO YA MIKUNYANZI USONI UNAKOSAJE KWA MFANO ACHA KUZEESHA USO WAKO NJOO UJIPATIE KIBOKO YA MIKUNYANZI

Usiopgope Kuanza!!!Kuna ndoto nyingi sana zinaozea mioyoni mwa watu.Kuna watu ambao kinachowakwamisha sio kukosa uwezo a...
03/06/2020

Usiopgope Kuanza!!!
Kuna ndoto nyingi sana zinaozea mioyoni mwa watu.

Kuna watu ambao kinachowakwamisha sio kukosa uwezo au kuwa na mtaji mdogo, ni hofu ya kuanza.

Kuna ambao wana hofu ya kuanzia chini.

Wanaona watajidhalilisha, wanaona watu watawashangaa na pengine kuwacheka.

Hivyo ili kuepuka yote hayo, wameamua bora wasianze kabisa.

Kuna watu wanaogopa kuanza kwa sababu wanajiona hawajakamilika kabisa.

Wanaona k**a kuna vitu wanatakiwa wawe navyo kwanza ndipo waanze.

Watu hawa huwa kila siku wanajiona wamepungukiwa kitu fulani.

Wana tatizo la “Scarcity Mentality”, Kila siku kujiona wamepungukiwa kitu.

Watu wa namna hii hata wakipata kile ambacho wanasema wanakikosa, huwa hawaanzi na wanatafuta kingine wasichonacho ili kukitumia k**a kisingizo cha kutokuanza kwao.

Wewe mwenyewe unajua, mara ngapi ulisema utaanza na kila siku unaghairisha na kupeleka mbele?

Kumbuka UKITAFUTA VISINGIZIO vya KUTOKUANZA, Kila siku UTAVITAPA.

Leo tafuta SABABU ZA KUANZA.

Usiogope Kuanza!!!
Je,wewe unaanza nini?
P.S: Muda wowote ukiwa tayari kujiongezea maarifa

Au Tuma ujumbe kwenda

Whatsapp

0767738252

SUPER GRO NI MKOMBOZI WA WAKULIMANi Kirutubisho/Lishe ya asili ya mimea aina zote. Ni kirutubisho rafiki kwa mazingira m...
28/04/2020

SUPER GRO NI MKOMBOZI WA WAKULIMA

Ni Kirutubisho/Lishe ya asili ya mimea aina zote. Ni kirutubisho rafiki kwa mazingira mazingira( udongo) na kwa mtumiaji pia

KAZI ZA SUPER GRO
1:Kusaidia udongo kutunza unyevunyevu kwa muda mrefu(wetting agent) kwani Super Gro huvunjavunja uzio wa maji na kuruhusu kupenya hadi tabaka la 3 la udongo
2:Kuongeza uzalishaji kwa maana ya wingi na ubora wa mazao.
3:Husaidia mimea kufyonza virutubisho vilivyomo ktk udongo hasa ktk tabaka la 3 la udongo kwani hufanya mizizi ya mimea kupenya ktk tabaka hilo na kufyoza virutubisho vyote muhimu hivyo mimea kuwa imara na yenye afya
4: Kusaidia dawa za kuulia wadudu zisitiririke (Sticker)na zifanye kazi ipasavyo, hivyo kupunguza garama za dawa na pembejeo zingine za kilimo
5:Kupunguza garama za mbolea(hadi kufikia nusu) kwani kwa kutumia Super Gro utatakiwa kutumia kiac kidogo sana cha mbolea
6: Kufanya mimea iwe na rangi halisi ya ukijani kwani ukijani huo ndio unasaidia mmea kujitengenezea chakula chake
7: Sio sumu na haiharibu udongo kabisa (unaweza kupuliza ktk mmea asubuh na baadae jioni ukaweza kula bila athari yoyote

JINSI NA MUDA WA KUPULIZA
Tunapuliza ktk majani ya mmea pamoja na shina la mmea pia

Tunapuliza Mara 1 baada ya cku 7 kwa kipindi cha Kiangazi
Na Mara 1 baada ya cku 14 kwa kipindi cha Masika.

VIPIMO
1cc/ml ya Super Gro utachanganya na 1litre ya maji

10cc za Super Gro utachanganya na 10litres za maji

** Dumu moja la Lita 5 utatumia kwa eneo la Hekari 10
**Lita 1 ya Super Gro utatumia kwa eneo la heka 1-2

UPATIKANAJI

Dumu la Lita 5 utapata

Lita 1 utapata

%%Pata Super Gro original moja kwa moja kutoka kwenye kampuni. ** Wasiliana kwa namba 0767738252.

Ni bidhaa Nzuri Ya Usafi inatumika Katika mazingira yote ya Nyumbani Inafanya Kazi ngumu kuwa rahisi -Hung'arisha tiles ...
10/04/2020

Ni bidhaa Nzuri Ya Usafi inatumika Katika mazingira yote ya Nyumbani Inafanya Kazi ngumu kuwa rahisi

-Hung'arisha tiles zilizofubaa
-Huondoa madoa magumu katika nguo
-Huondoa madoa na ramani kwenye kuta
-Husafisha vigae vilivyofubaa kwa uchafu (chooni & bafuni)
-Huondoa madoa na uchafu katika mazuria

:.Usafi ni Nyumbani KARIBUNI🙏

Mwili unahitaji sukari( glucose) kwaajili ya kuupa nguvu mwili.Lakini sukari hiyo inabidi iwe kwenye kiwango husika.Hivy...
10/04/2020

Mwili unahitaji sukari( glucose) kwaajili ya kuupa nguvu mwili.

Lakini sukari hiyo inabidi iwe kwenye kiwango husika.

Hivyo kuna tezi inaitwa kongosho( pancrease) ambayo kazi yake ni kuzalisha insulini..

Kazi ya insulini ni kubadilisha glucose( sukari) kuwa glucagon .

Glucagon ni sukari iliyobadilishwa ili itunzwe kwaajili ya matumizi ya baadae..

Hivyo basi insulini isipozalishwa hufanya sukari kuwa nyingi mwilini na kusababisha kisukari( diabetics Melitus) au diabetics 2..

Hivyo botanical suplement kazi yake ni kuhakiki kiwango cha sukari kipo sahihi.

Hivyo mgonjwa wa kisukari unapompa botanical suplement unamsaidia kongosho lake kuweza kufanya kazi kwa uhakika ili kuweza kuzuia kiwango cha sukari kisizidi wala kupungua.

Msaidie botanical product ili asahau sindano za insulini🙏

Address

Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BerrY Product posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share