09/05/2025
Nafasi ya ajira
---
π₯ NAFASI YA UWAKALA | Jiunge Nasi leo Upate Kipato Mtandaoni
Unapenda kutumia mitandao ya kijamii? Je, ungependa kupata kipato kwa kuuza huduma za followers, likes, views na subscribers? Jiunge nasi k**a WAKALA WA HUDUMA ZA KUKUZA MITANDAO YA KIJAMII na uanze kupata faida papo hapo!
πΌ Kazi Yako Itakuwa:
- Kuleta wateja wapya wanaohitaji huduma za kukuza Instagram, TikTok, YouTube, Facebook n.k.
- Kuuza followers, likes, views, subscribers na huduma nyingine kupitia link yako au akaunti yako.
- Kutangaza huduma zetu kupitia WhatsApp, Instagram, TikTok au mitandao mingine.
β
Tunachokupa:
- Bei ya wakala (discount maalum ili upate faida kwa kila mteja)
- Mafunzo mafupi ya namna ya kuuza kwa mafanikio
- Malipo kwa kila mteja unayempata (komisheni nzuri)
- Support ya timu yetu kila siku
π Sifa za Muombaji:
- Uwe na simu yenye intaneti
- Umri miaka 18 na kuendelea
- Uwezo wa kuwasiliana vizuri na wateja
- Nidhamu, uwajibikaji na uaminifu
π€ Fursa ya Kipato:
- Hakuna kikomo cha kipato! Kadri unavyouza zaidi, ndivyo unavyopata zaidi.
π© Jinsi ya Kujiunga:
1. Tuma ujumbe wa "NATAKA KUWA WAKALA" kupitia WhatsApp: [ 0698 247 052 ]
2. Au kajiandikishe moja kwa moja kupitia link hii: [ sunnyboost.co.tz ]
---
Sunny booster store
Bofya chini hapo kwenye whatsapp ili kuanza safari yako ya mafanikio