DRAC unit

DRAC unit Funny page 😂😂

🟥 Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake 😂"...
25/11/2024

🟥 Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake 😂

"Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo" Sead Ramovic


🟥 Unaambiwa kocha mpya wa YYoung Africans Sports Clubni kocha pekee kwenye ligi ya NBC  ambaye anaweza kucheza nafasi yo...
25/11/2024

🟥 Unaambiwa kocha mpya wa YYoung Africans Sports Clubni kocha pekee kwenye ligi ya NBC ambaye anaweza kucheza nafasi yoyote dimbani....

FFollowers

Address

Mbeya
Kyela

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DRAC unit posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DRAC unit:

Share