Sambaza Ufahamu, Tanzania

Sambaza Ufahamu, Tanzania Asasi ya kiraia inayojishughulisha na uhifadhi wa historia, utamaduni na maarifa ya Afrika kupitia media na elimu ya jamii.

09/09/2026
09/09/2026

TWENDE TUIDURUSU KUMBUKUMBU YA MNARA WA VITA
Ukitembea karibu na Bandari ya Lindi, utakutana na mnara umesimama tangu miaka ya 1920.

Ulijengwa kuwakumbuka waliopoteza maisha katika Vita vya Kwanza vya Dunia. Kila Novemba 11, watu walikusanyika kwa Armistice Day, wakiwa na maua ya poppy k**a ishara ya kumbukumbu.

Miongoni mwa walioweka mashada ya maua alikuwa Fazal Ladha Dinani, kielelezo cha ushiriki wa jamii mbalimbali katika historia ya Lindi kwa wakati huo.

Leo, mnara huu bado unasimama kimya pembezoni mwa fukwe ukishuhudia vizazi, biashara na mabadiliko ya mji. Ni ukumbusho kwamba historia haipo tu vitabuni, bali pia kwenye maeneo tunayopitia kila siku.

Hizi ni durusu durusu

Abdulrasul Muhibu
Mchambuzi masuala ya jamii kazi za sanaa na mhifadhi wa utamaduni wa kiafrika.
Lindi,Tanzania.

16/08/2026

LINDI: MJI UMEKUFA AU TUMESHINDWA KUIELEWA HISTORIA YAKE?

28/06/2026

Uwekezaji si kutafuta fedha za haraka ni kujenga thamani itakayokuletea matunda kwa miaka mingi ijayo.

23/06/2026

Kijana anayejifunza kila siku anajenga kesho ambayo wengine wataisoma kwenye vitabu.

07/06/2026

Wafanyabiashara wakubwa waliwahi kuonekana k**a watu wa kawaida wenye ndoto zisizoeleweka.

Kijana mwenye maarifa na nidhamu huwa ni tishio kwa umasikini.
31/05/2026

Kijana mwenye maarifa na nidhamu huwa ni tishio kwa umasikini.

30/05/2026

Kila kijana ana nafasi ya kuwa mfano bora wa mabadiliko kwenye jamii yake.

Address

Uhurustreet
Lindi
023

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sambaza Ufahamu, Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sambaza Ufahamu, Tanzania:

Shortcuts

Share