Makambako Nyumbani

Makambako Nyumbani Tunapenda kuwa Sehemu ya Mafanikio Ya Biashara Yako Kwa kuipa Muonekano Mpya kwa Utengenezaji Nembo Na Uchapishaji kwenye bidhaa mbalimbali.
(330)

24/05/2026
24/05/2026

UZINDUZI NI LEO PALE KIPAGAMO

Haya Wale Bubu Party, Wale Wa Weddings, Wale Wa Family Vacation.. Mwekezaji Kijana Ameliona Hilo KARIBUNI SANA TUZINDUE PAMOJA D APPARTMENTS

19/05/2026

Kusikiliza ngoma, kupokea simu, au kuingia kwenye movie bila bugudha ya kelele za nje? We got you!

๐ŸŒŸ Hizi ni Soundcore R50i NCโ€”the ultimate upgrade ya masikio yako. Muundo classic, chaji haitupatii tabu, na sauti ipo safi k**a maji ya mtungi. ๐Ÿ’ง๐ŸŽต

โ€‹DM au fika dukani sasa hivi tujue jinsi ya kukufikia! ๐Ÿ˜‰

โ€‹

19/05/2026

Gamers & Movie Lovers, Huu Hapa Ushindi Wenu! ๐ŸŽฎ๐Ÿฟ

โ€‹PS5, Xbox, au Gaming PC yako haiwezi kukupa picha safi na ya haraka k**a unatumia kebo ya kawaida. Hii Anker Ultra High-Definition HDMI 2.1 ndio siri ya kucheza game bila lag yoyote!

โ€‹๐Ÿ”ฅ Inasupport 8K saa 60Hz na 4K saa 120Hz
๐Ÿ”ฅ Urefu wa Futi 6 โ€“ Inakupa nafasi ya kutosha kuunganisha kifaa chako.
๐Ÿ”ฅ Ni "Ultra Certified" โ€“ Ubora wa hali ya juu kutoka Anker.

โ€‹Pata picha yenye ukweli wa hali ya juu (Ultra High-Definition) sasa. Bidhaa ni chache, wahi yako! ๐Ÿ‘‡

18/05/2026

Sema Kichekesho Ni Kununua Simu Milioni+ Kutumia Chaji Ya 15k๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Leo Ofisini Tuna -:
โšก๏ธ Anker 20W & 30W Wall Chargers: Fast charging ya ukweli inayolinda simu isipate moto. Inafaa kwa iPhone na Android zote mpya.

๐Ÿ”Œ Anker C to C Cable (2M): Ina kasi ya ajabu ya 240W Power Delivery. Ni ndefu (Mita 2) na imetengenezwa kwa nyuzi ngumu zinazodumu milele (No breaking!).

KARIBUNI SANA KWA KUTUNZA UBORA WA SIMU ZENU

SOLD OUT! ๐Ÿšซ๐Ÿฟโ€‹Tiketi za kawaida zimeisha kabisa! Lakini subiri... bado una nafasi moja ya mwisho kabisa ya kutokosa hii m...
16/05/2026

SOLD OUT! ๐Ÿšซ๐Ÿฟ

โ€‹Tiketi za kawaida zimeisha kabisa! Lakini subiri... bado una nafasi moja ya mwisho kabisa ya kutokosa hii mambo! ๐Ÿคฉ

โ€‹Uki-book Room + Tiketi kwa pamoja, nafasi yako bado ipo. Ofa hii ni maalum kwa wale wanaotaka ku-enjoy usiku mzima bila presha ya kurudi nyumbani usiku.

โ€‹Wahi sasa hivi kabla hizi chache zilizobaki nazo hazijajaa!
๐Ÿ“ž Mawasiliano: 0656 682 812 (Joe MK Movie)

15/05/2026

YOOOO MEEEN! Movie Night au Game Night?! ๐Ÿค“๐Ÿฟ๐ŸŽฎ

โ€‹Tiketi ndio k**a zote zimeisha, zimebaki chache kinoma! But bado hujachelewa kabisa. Mk Movies Store tunakukaribisha sana kwenye vibe! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ

โ€‹MOVIE NIGHT BY THE POOL ni yetu sote! ๐ŸŒŠ๐ŸŽฌ

โ€‹Amsha washkaji zako, chukua tiketi yako sasa hivi kabla hazijajipa "Sold Out"! ๐ŸŽŸ๏ธ๐Ÿ’จ

14/05/2026

Sio Diamond Wala Alikiba, Ni Movienight ya Mk Movies Store Ndani Ya KAS Hotel, Maandalizi Ya mapema Ndo Siri ya Events Zinazofanikiwa, We are Ready,

Few Seats Remain... Karibu Tufurahi Pamoja

13/05/2026

Maandalizi yamekamilika, kilichobaki ni wewe na washkaji zako kutokelezea. Movie Night inakaribia na hatutaki mtu abaki nyumbani.

โ€‹๐Ÿ“ Location: [KAS CLASSIC HOTEL]
๐Ÿ—“ Siku: [16.05.2026]

โ€‹Tag mshkaji wako mmoja hapa ambaye hawezi kukosa hii! ๐Ÿ‘‡

โ€‹

Address

Makambako

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makambako Nyumbani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Makambako Nyumbani:

Share