vipodoz_og

vipodoz_og Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from vipodoz_og, Advertising/Marketing, Mbagala.

10/10/2025
l
17/09/2024

l

asante sana mteja wetu kwa kutuamini kalibu tena dukani kwetu
27/08/2024

asante sana mteja wetu kwa kutuamini kalibu tena dukani kwetu

TIBA YA STROKE (MWILI KUPOOZA)Habari wapendwa wangu tunamshukuru mola kwa wale tulioamka salama na wale walioamka wagonj...
17/07/2024

TIBA YA STROKE (MWILI KUPOOZA)

Habari wapendwa wangu tunamshukuru mola kwa wale tulioamka salama na wale walioamka wagonjwa pia.

57 minutes ago

✔ wengi wetu tuna wagonjwa au tunauguza wagonjwa wenye kiharusi (stroke) na ningependa nizungumzie leo.

✔ stroke ni hali ya kupooza upande mmoja au mwili mzima na kufanya mtu yule kushindwa kufanya baadhi ya movement ikiwemo kunyanyua mguu au hata mkono au hata mwili mzima

sababu zinazopelekea stroke

✓ presha kupanda au kushuka

✔shambulio la moyo(heart attack)

✔ sumu za vyakula

* leo nitatoa tiba ambayo itawasaidia hao wote kwenye tatizo ka kupooza lililosababbishwa na sababu hizo hapo juu

kwanza kabisa mtu aliepooza lishe yake inatakiwa ipunguzwe mafuta na chumvi na sukari hasa kwa wale wenye presha ya kupanda pia apewe sana samaki na kuku kwa wingi asipewe nyama yekundu

INGREDIENTS:

olive oil (mafuta halisi ya mzaituni) jitahidi upate mafuta halisi ya mzaituni na sio haya wanayofanya ujanja ujanja wanachanganya na mafuta ya kula

foundation nzuri sana kwa wale ambao sura zao zinashida na poda ukitumia foundation hii faida zake >inazuia kuungua uso ...
16/07/2024

foundation nzuri sana kwa wale ambao sura zao zinashida na poda ukitumia foundation hii faida zake
>inazuia kuungua uso
>inasaidia kutokuungua na jua
bei yake ni 15000 kalibu ujipatie foundation iliyo bora kwa uso wako rangu zote zipi

bei ni nzuri sana kalibuni sana bei ni 35000
10/07/2024

bei ni nzuri sana kalibuni sana bei ni 35000

Address

Mbagala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when vipodoz_og posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share