homeboy_uyole

homeboy_uyole Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from homeboy_uyole, Social Media Agency, Mbeya.

"Waiting does not means giving up"           Easy Sunday
20/11/2022

"Waiting does not means giving up"

Easy Sunday

Kijanisha Mbeya yetu 😎pale zahanati ya kata ya Itezi campaign ishazinduliwa,,
19/11/2022

Kijanisha Mbeya yetu 😎pale zahanati ya kata ya Itezi campaign ishazinduliwa,,

Kijanisha Mbeya Kila kata ,,,,!!!! Mbunge wetu Kashafanya Kwa kishindo,,!!!Iziwa, itende ,Itezi 🀝
19/11/2022

Kijanisha Mbeya Kila kata ,,,,!!!! Mbunge wetu Kashafanya Kwa kishindo,,!!!

Iziwa, itende ,Itezi 🀝

Vijana wa Jiji na kijana waoπŸ’š Vijana wa  Jiji la Spika,Asante mh makamu wa Rais  karibu tena Jiji la Mbeya ,Jiji Tamu Mu...
16/11/2022

Vijana wa Jiji na kijana waoπŸ’š
Vijana wa Jiji la Spika,

Asante mh makamu wa Rais karibu tena Jiji la Mbeya ,Jiji Tamu Muno, Jiji zuri ,Jiji la Tabasamu, k**a ulivyosema πŸ’š

Assnteni SanaπŸ…

Chama Tawala πŸ’š
16/11/2022

Chama Tawala πŸ’š

"" Asante Mama Mh Rais Mama  historia  imeandikwa kata ya Itezi ,Tumezindua rasmi Zahanati ya kata ya ITEZI serikali ya ...
14/11/2022

"" Asante Mama Mh Rais Mama historia imeandikwa kata ya Itezi ,Tumezindua rasmi Zahanati ya kata ya ITEZI

serikali ya mama kazini

Utekelezaji wa ilani ya Kwa vitendo,πŸ’š

14/11/2022

Mwenye Jiji lake ,,.ackson ,,!!!

Itezi Moja πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’š

Tumezindua zahanati yetu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tupo Duniani kwa sababu maalumu, Tuendelee kufurahia uwepo wa Mungu ,Kwa kuwa yote yanafanyika Kwa mapenzi yake,πŸ‡ΉπŸ‡ΏSunday...
13/11/2022

Tupo Duniani kwa sababu maalumu, Tuendelee kufurahia uwepo wa Mungu ,Kwa kuwa yote yanafanyika Kwa mapenzi yake,πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Sunday na Tabasamu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

"Kuna wakati wangu ,lakin Kuna wakati sahihi ule wa Mungu, tuendelee kupambana ,Majaliwa anatukumbusha kwamba, tuendelee...
11/11/2022

"Kuna wakati wangu ,lakin Kuna wakati sahihi ule wa Mungu, tuendelee kupambana ,

Majaliwa anatukumbusha kwamba, tuendelee kujitolea na kusaidia watu pasipo kujali utapata nn,,,!!!!

Majaliwa ukiachana na kuokoa watanzania wenzetu ,Bhado anabaki kuwa shujaa wa namna kijana inabidi uwe katika jamii, Amekuwa nembo ya Kila Mtaa Leo ,!!

Wale Wana ambao tunaamini katika juhudi zetu binafsi, juhudi zetu ndizo zitutangaze ,Tunatoka familia ambazo mwenyezi Mungu ametubariki , Afya na vipaji lakin tunategemea juhudi zetu ndizo zitufikishe mahala ,japo tunaona Giza , Mungu hachelewi kujibu, tuendeleee kupambana ,IPO siku ,na muda wa Mungu ,Tutakuwa juu,,,!!!

Hongera Majaliwa ,umetupa heshima vijana wa mtaani, Mwenyezi Mungu ametupa Nguvu kupitia majaliwa ,ametukumbusha, kwamba tuendelee kupambana ,,bila kuchoka

Majaliwa , amekuwa na atabaki kuwa kitabu Cha Wana wa Mtaa ,,,kule chini

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi zaidi

Him β€οΈπŸ…  Kijana wa Jiji,la Mbeya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
05/11/2022

Him β€οΈπŸ…



Kijana wa Jiji,la Mbeya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

05/11/2022

Green city ,,,,!!! Mazoezi kwa Afya, πŸ…

Gabasamu linaongezwa na Mazoezi πŸ…

Bila kuchoka ,Bila kusita,kwa kutabasamu ,πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

""Bango kubwa muno ,,,!!! Vijana na Fulsa,,!!!!  πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tupo hapo !!!!
03/11/2022

""Bango kubwa muno ,,,!!! Vijana na Fulsa,,!!!! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
tupo hapo !!!!

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when homeboy_uyole posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share