MBEYA stand-up comedy

MBEYA stand-up comedy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MBEYA stand-up comedy, Social Media Agency, Mbeya.

MLISEMA SHOW  LINI… 😂Sasa jiandae kusikia jibu. 😌Kuna kitu kinakuja MBEYA.
30/08/2026

MLISEMA SHOW LINI… 😂
Sasa jiandae kusikia jibu. 😌

Kuna kitu kinakuja MBEYA.

Na wengi mmekuwa mashahidi wa hili. 🙌🏾Kwa miaka yote, Mbeya Stand Up Comedy imekuwa moja ya platforms zinazowapa vijana ...
29/08/2026

Na wengi mmekuwa mashahidi wa hili. 🙌🏾

Kwa miaka yote, Mbeya Stand Up Comedy imekuwa moja ya platforms zinazowapa vijana wa Nyanda za Juu Kusini nafasi ya kuonyesha vipaji vyao, kujifunza na kukua.

Kicheko Kimerudi. Na safari ya vipaji inaendelea. 🎤

Ila Mwanaume wa waleo …😂😂😂Haya Hakikisha umefollow Page yetu MBEYA STAND UP COMEDY something Big is comming 😉😂
27/08/2026

Ila Mwanaume wa waleo …😂😂😂

Haya Hakikisha umefollow Page yetu MBEYA STAND UP COMEDY

something Big is comming 😉😂

Heshima ibaki heshima. Kumbukumbu nzuri zibaki kuwa nzuri.Mbeya Stand Up Comedy tunawakumbuka kwa mazuri. 🤝🏾 🚨
27/08/2026

Heshima ibaki heshima. Kumbukumbu nzuri zibaki kuwa nzuri.
Mbeya Stand Up Comedy tunawakumbuka kwa mazuri. 🤝🏾

🚨

GIZA LILITOSHA. MWANGA UNAKUJA. 👀🚶‍♂️ …😉 😆
26/08/2026

GIZA LILITOSHA. MWANGA UNAKUJA. 👀🚶‍♂️

…😉
😆

Tulicheka.Tuliungana.Tukaunda kumbukumbuya Pamoja 🎤Hizi si picha tu, ni ushahidi kwamba Mbeya Stand Up Comedy ina watu w...
22/08/2026

Tulicheka.Tuliungana.Tukaunda kumbukumbuya Pamoja 🎤

Hizi si picha tu, ni ushahidi kwamba Mbeya Stand Up Comedy ina watu wake.
Na k**a mlituuliza, “mnarudi lini?”…
Subirini kidogo. 👀

Mnaweza msijue, lakini kila simu yenu, kila DM na kila ujumbe wa “tunarudi lini?” unaingia moyoni.  😭🫡Endeleeni kutuamin...
21/08/2026

Mnaweza msijue, lakini kila simu yenu, kila DM na kila ujumbe wa “tunarudi lini?”

unaingia moyoni. 😭🫡

Endeleeni kutuamini.
Mungu Ametupa Kicheko. Na bado tutacheka pamoja. 🎤

MTAG MTU WA UYOLE…. 🤣🤣Tunaenda Kucheka tena WanaMbeya…🙌🏻 😂
20/08/2026

MTAG MTU WA UYOLE…. 🤣🤣

Tunaenda Kucheka tena WanaMbeya…🙌🏻
😂

Waliopo Dar es Salaam, hii ni yenu! 🙌🎤Karibuni Makumbusho ya Taifa (Posta) Ijumaa hii kuanzia saa 1:30 jioni mshuhudie v...
05/08/2026

Waliopo Dar es Salaam, hii ni yenu! 🙌🎤

Karibuni Makumbusho ya Taifa (Posta) Ijumaa hii kuanzia saa 1:30 jioni mshuhudie vipaji vipya vya comedy.

Twendeni tukavipe moyo vipaji vya kesho! 😂

Wengine wataikumbuka safari, wengine wataisahau. Lakini sisi hatutaacha kuwa daraja la ndoto za wengine.Kwa wote wanaotu...
26/07/2026

Wengine wataikumbuka safari, wengine wataisahau. Lakini sisi hatutaacha kuwa daraja la ndoto za wengine.

Kwa wote wanaotutumia ujumbe wakituuliza, “Mbeya Stand Up Comedy inarudi lini?” — asanteni kwa upendo wenu. Mnatupa sababu ya kuendelea kupambana.

Tunakuja tukiwa imara zaidi kuliko jana. Bado kuna vipaji vingi vinasubiri nafasi, na kwa neema ya Mungu tutaendelea kuwa jukwaa la kuviibua.

Mbeya Stand Up Comedy bado ipo. Na safari ndiyo inaanza. 🤍🎤

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MBEYA stand-up comedy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MBEYA stand-up comedy:

Shortcuts

Share