AFY TIPS

AFY TIPS Tunatoa tiba na usahuri kwa magonjwa mbalimbali 0762518040

Bei ya chupa Moja ni elfu 25000 tu Piga / WhatsApp 0676718040Tunapatikana mbeya mbalizi mikoani tuna mawakala
31/01/2025

Bei ya chupa Moja ni elfu 25000 tu
Piga / WhatsApp 0676718040
Tunapatikana mbeya mbalizi mikoani tuna mawakala

JE HUNA AMANI NA MUONEKANO WA NGOZI YAKO???Kuna Namna Mtu Unajichukia au Unajikatia Tamaa na kuona wewe huna bahati k**a...
08/10/2024

JE HUNA AMANI NA MUONEKANO WA NGOZI YAKO???

Kuna Namna Mtu Unajichukia au Unajikatia Tamaa na kuona wewe huna bahati k**a watu wengine kwenye swala la urembo.
Umekuwa mtu wa kusumbuliwa na chunusi sugu, weusi kwenye mikono kope viwiko na madoa meusi usoni.
Inawezekana kabisa Chunusi zako hazitokani na matumizi ya vipodozi vikali au lotion fulani ulipaka ikakukataa.

Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha Chunusi k**a:

1. Kubalehe (puberty)- wadada wengi kipindi cha kupevuka kutoka utoto kwenda utu uzima wanapata chunusi. Na hii haitokei tu kwa wasichana hata wavulana pia inawatokea kwahiyo usijilaumu kwani hayo ni mabadiliko ya kimaumbile na hiyo hali tutaidhibiti.

2. Sababu kuu ya pili ni kula chakula kisicho na faida mwilini mfano;

- junk food au vyakula vyenye mafuta na sukari kwa wingi.

- kutokunywa maji ya kutosha kwa siku. Mwanamke unapaswa kunywa lita 3 kwa siku.

- kuruhusu stress, kutolala usingizi wa kutosha na kukosa mazoezi ya mwili.

3. Matumizi ya sunscreen ambayo hupenya mpaka tabaka la pili la ngozi (Dermis) ambapo zile kemikali zinaenda kuingia kwenye mzunguko wa damu na kuvuruga Homoni matokeo yake kunakuwa na mvurugiko wa homoni unaopelekea kupata chunusi.

4. Sababu ya nne - Usafi wa ngozi.

Uso unakutana na vumbi, moshi mionzi n.k Hivi vinasababisha chembe hai za uso kuathirika na hata kufa (dead cells) Uchafu huo unaziba yale matundu ya hewa ndio zinatokea chunusi.

Ni nia yetu njema kuona wewe unaondokana na hili tatizo la Chunusi kabisa, ibaki kuwa stori na uwezo huo tunao.
Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0762518040
Au
Tembelea clinic yetu iliyopo mbalizi mbeya

Watsup 0762518040
08/10/2024

Watsup 0762518040

28/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Manyus Classic, Joshua Bwire, Bin Yahya, Mtume Paul, Barton Lesilwa, Ayoub Mwakalibwa, Nehemia Mwasimba, Rajabu Salumu, Mary Ngoty, Kwaysa Melody, Baracka Patroba, Sumai Masanja Zubeli, Kwa Mwarabu, Adriano Nicholaus, Peter Elibarick, Nassor Mateleka, Daniel Jumanne, Ennocent James, Mosana Bejameni, Leah Mwambola, Yonah Wanila, Nyamwiza Mbogo, Godwin Tillya, Daud Mgala, Thomas Malechela, Athuman Nawaw, Ringo Efuraimu, Salim Ally, Saidi Mwangauno, Majalii Mttabo, Amina Komba, Loti Abasi, Hemed Salum, Ndaki Sung'hwa, Cleiface Ulisir

28/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Manyus Classic, Joshua Bwire, Bin Yahya, Mtume Paul, Barton Lesilwa, Ayoub Mwakalibwa, Nehemia Mwasimba, Rajabu Salumu, Mary Ngoty, Kwaysa Melody, Baracka Patroba, Sumai Masanja Zubeli, Kwa Mwarabu, Adriano Nicholaus, Peter Elibarick, Nassor Mateleka, Daniel Jumanne, Ennocent James, Mosana Bejameni, Leah Mwambola, Yonah Wanila, Nyamwiza Mbogo, Godwin Tillya, Daud Mgala, Thomas Malechela, Athuman Nawaw, Ringo Efuraimu, Salim Ally, Saidi Mwangauno, Majalii Mttabo, Amina Komba, Loti Abasi, Hemed Salum, Ndaki Sung'hwa, Cleiface Ulisir

Karibuni wageni wetu hapa ni afya tu

23/08/2024

Subira una bando huko nataka kurequest mapenzi

Inaweza una changamoto mojawapo kati ya hizi inakusumbua lakini Bado hujaipatia suluhisho...Leo Niko free Kwa ajili Yako...
21/08/2024

Inaweza una changamoto mojawapo kati ya hizi inakusumbua lakini Bado hujaipatia suluhisho...
Leo Niko free Kwa ajili Yako
Niulize kuhusu
Matatizo ya Uzazi
Vidonda vya tumbo na gesi kujaa tumboni
Magonjwa ya sehemu za siri
Mimba kuharibika
P I S & U T.I sugu
Maumivu wakati wa tendo
Uvimbe kwenye kizazi nk
Kupitia WhatsApp tu 0762518040
Usipige tuma ujumbe WhatsApp tu nitakujibu haraka

Unasumbuliwa na matatizo ya ngozi na hujui nini ufanye kuepukana nayo?Usijali swaiba Niko hapa Leo kukusaidia wewe unaek...
21/08/2024

Unasumbuliwa na matatizo ya ngozi na hujui nini ufanye kuepukana nayo?
Usijali swaiba Niko hapa Leo kukusaidia wewe unaekuwa na chunusi sugu zisizo sikia mafuta, wewe mwenye rangi tofauti usoni, wewe mwenye weusi mikononi na usoni, wewe mwenye ngozi ya mafuta inayokupa taabu sana, na wewe uliyepata madhara Kwa kutumia vipodozi vikali sana..
Au una tatizo lingine la ngozi niandikie nitakusaidia

Tuma ujumbe wenye Kueleza tatizo lako WhatsApp tu nami nitakujibu 0762518040 naitwa Dr mayila.

Ikiwa una mojawapo ya changamoto hizo kwenye picha basi, naweza kuwa msaaa wako niandikie ujumbe wenye Kueleza tatizo la...
21/08/2024

Ikiwa una mojawapo ya changamoto hizo kwenye picha basi, naweza kuwa msaaa wako niandikie ujumbe wenye Kueleza tatizo lako Kisha nitumie WhatsApp kupitia 0762518040 nami nitakujibu na kukupigia simu ili kupata malezo zaidi juu ya tatizo lako .

Na wiki hii naanda darasa la Bure Kwa watu wenye kisukari, presha, bawasili na Vidonda vya tumbo ili kuwapa mbinu mbalimbali za kukabiliana na matatizo haya bila kuhangaika na madawa ya mara Kwa mara.

Ikiwa unatamani kujumuika nami Katika darasa hilo tuma ujumbe wenye neno darasa what's up namba 0762518040 ili niweze kukuandalia darasa wewe pamoja na wengine.

Baada ya kutuma ujumbe Mimi nitakupigia simu kujua hali ya tatizo lako na kujua nikuandalie somo la aina Gani...

Naitwa Dr mayila

Inaweza Kuna changamoto Fulani inakusumbua lakini Bado hujaipatia suluhisho...Leo Niko free Kwa ajili Yako Niulize kuhus...
21/08/2024

Inaweza Kuna changamoto Fulani inakusumbua lakini Bado hujaipatia suluhisho...
Leo Niko free Kwa ajili Yako
Niulize kuhusu
Matatizo ya Uzazi
Vidonda vya tumbo
Magonjwa ya sehemu za siri
Mimba kuharibika
Uvimbe kwenye kizazi nk
Kupitia WhatsApp tu 0762518040
Usipige ya ujumbe WhatsApp tu nitakujibu haraka

Address

Mbalizi
Mbeya

Website

https://youtube.com/@asiliatv?si=OssWAKjoOaCfSeXR

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFY TIPS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share