Bariki Mlawa

Bariki Mlawa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bariki Mlawa, Advertising/Marketing, Mbeya.

28/12/2025
18/11/2025

English Swahili. Luke 19:41
[41]And when he was come near, he beheld the city, and wept over it,
Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,
YESU TUSAIDIE KUTUPA UTULUVU WA NDANI KABISA. KUJUA MAPENZI YAKO YA SASA

Biblia. Ayubu 19:18[18]Hata watoto wadogo hunidharau; Nikiondoka, huninena. Yea, young children despised me; I arose, an...
12/12/2024

Biblia. Ayubu 19:18
[18]Hata watoto wadogo hunidharau;
Nikiondoka, huninena.
Yea, young children despised me; I arose, and they spake against me.
NAKUSIHI HATA UKIDHARAULIKA KIASI GANI USIKATE TAMAA.

FURAHA YA KWELI NDANI YAKO ITOKANE MA KUWA NA YESU. ITAKUSAIDIA. HAKIKISHA HUJAKOSANA NA YESU.
08/10/2024

FURAHA YA KWELI NDANI YAKO ITOKANE MA KUWA NA YESU. ITAKUSAIDIA. HAKIKISHA HUJAKOSANA NA YESU.

MUNGU NI  MKUU SANAA.Usichoke kumtegemea
09/07/2024

MUNGU NI MKUU SANAA.
Usichoke kumtegemea

Kumbukumbu 18:18 mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani ...
16/11/2022

Kumbukumbu 18:18 mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake naye atawambia yote nitakayo mwamuru.

HALLELUJAH MPENDWA WA KRISTO YESU.
NAkuombea masikio yako yafunguke upate kusikia kile Mungu anataka usikie sio kile wanadamu tunakiongea. MUNGU hulitazama NENO lililobebwa na maandiko yake apate kulitimiza. Si kila andiko litakufaa kila wakati ila NENO ANALOLITUMA KWA WAKATI ULIOPO HILO LITAKUSAIDIA. Sikiliza NENO lililo ndani ya andiko la KRISTO. Mungu akubariki.

01/11/2022

BWANA YESU ASIFIWE.
Mungu anataka Neno lake likae kwa wingi ndani yako na sio Elimu wala misingi ya dhehebu lako. COLOSAI 3: 16
NI vema kulifahamu Kanisa lako, ni vema kumtii kiongozi wako wa Kanisa, ni vema kwenda sawa na hekima za viongozi wako ila Nakukumbusha. HAYO YOTE YASICHUKUE NAFASI YA NENO LA KRISTO YESU.
kwanini nimesema hivi.
1. Tumekuwa na kanisa Ambalo linatafsiri mambo Mengi kwa mtazamo wa kiongozi, dhehebu na mapokeo. Hivyo kukosa utii hata kwa yale KRISTO anaelekeza yafanyike.
2. Tumekuwa na kanisa linaloanza kutoka kwenye msingi wa kumwabudu KRISTO YESU badala yake wanaabudiwa watu na madhehebu pamoja na mapokeo yake.
3. Mungu anazungumza sana kipindi hiki watu wengi hatusikii ni kwasababu ya ufahamu tulio nao juu ya Mungu hivyo msingi wetu haujajengwa kwenye kumtii Mungu bali hayo mengine. NAKUOMBEA MUNGU AKUPE NEEMA YA KUMJUA YEYE KULIKO KINGINE CHOCHOTE.

Zaburi 46. 10Acheni, mjue ya kuwa mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, Nitatukuzwa katika Nchi.hakuna wakati mzuri k...
20/09/2021

Zaburi 46. 10
Acheni, mjue ya kuwa mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, Nitatukuzwa katika Nchi.
hakuna wakati mzuri k**a kujua kuwa Mungu yupo kazini kukutetea kwa ajili ya kulitukuza jina lake kupitia maisha yako.

AMINI NENO LA KRISTO LIKUTENGENEZEE MSINGI WA KUAMINI KUWA MUNGU NI MKUBWA KULIKO CHANGAMOTO TULIZO NAZO. MPE MUNGU NAFASI. NAKUTAKIA USIKU MWEMA

IMAN KATIKA DHAMBI VS IMAN KWA YESU.WARUMI 5:12-16.Ni hakika kwamba sisi wanadamu bila kujali dini na makabila wote tuna...
22/06/2021

IMAN KATIKA DHAMBI VS IMAN KWA YESU.
WARUMI 5:12-16.
Ni hakika kwamba sisi wanadamu bila kujali dini na makabila wote tunaamini kuwa kuna DHAMBI na hii dhambi tunaifahamu kuwa nikuwa kinyume na MUNGU na hata hivyo tunamini kuwa ilianzia kwa ADAM NA EVA japo tunatofautiana kutafsiri hiyo dhambi ILA KUBWA NI KUWA DHAMBI ILIANZIA HAPO.
SWALI LANGU KWANN UNAAMINI DHAMBI IPO NA UNAPOAMBIWA NJIA YA KUISHINDA DHAMBI YAAN YESU KRISTO UNABISHA MPAKA UNAKAZA VISIGINO KWANN?

😜😜😜😜
01/06/2021

😜😜😜😜

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bariki Mlawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share