Mwandandila Catering Services

Mwandandila Catering Services Tuna toa huduma ya chakula kwenye shughuri mbalimbali kama vile SHEREHE,WARSHA,MIKUTANO,SEMINA,KONGA

Tuna toa huduma mbalimbali ,kama vile kutoa huduma ya chakula kwenye shughuri mbalimbali kama vile SHEREHE,WARSHA,MIKUTANO,SEMINA,KONGAMANO nk.

14/03/2026

MWANAMKE SHUJAA NDANI YA EDEN HALL JIJINI MBEYA

26/02/2026
04/02/2026

Ubarikiwe Mc:Mwakasinga kwa kutusemea watoa huduma hasa chakula na vinywaji.....
Watenda kazi wenzetu huwa hamtutendei haki watendakazi wenzenu kiukweli. Mpaka wakati mwingine mnatuharibia kazi tunaonekana hatukuzingatia idadi ya watu tuliyopewa.

Kumbe ni watendakazi wenzetu mmeleta watu wasiokuwepo kwenye bajeti tena bila kuwashikilisha waliotupatia kazi.
Ujumbe huu wa Mc:Mwakasinga uwafikieni watendakazi wenzetu woote ili tusiharibiane ajira.

05/09/2025

TEAM MWANDANDILA CATERING SERVICES WAKIFURAHIA KUWAHUDUMIA WATEJA WAO NDANI YA TUGHIMBE HALL JIJINI MBEYA TUKIMHUDUMIA ENG VERONICA MWASUMBI.

01/09/2025
01/09/2025

Tupe kazi tukufunyie kazi huto jutia kutupatia kazi sisi ni *MWANDANDILA CATERING SERVICES*

17/07/2025 Ulikuwa usiku mzuri sana kwa Binti MWASAPILI alietuamini na kutupatia jukumu la kumhudumia....
22/07/2025

17/07/2025 Ulikuwa usiku mzuri sana kwa Binti MWASAPILI alietuamini na kutupatia jukumu la kumhudumia....

Address

Ghana
Mbeya

Telephone

+255765 813 699

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwandandila Catering Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share