Sency health and wealth project

Sency health and wealth project Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sency health and wealth project, Advertising/Marketing, P. Box 261, Morogoro.

17/03/2020

JINSI DAMU YAKO INAVYOWEZA KUSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA

(sehemu ya kwanza)
kuharibika kwa mimba limekuwa jambo la kawaida kwani husababishwa na mambo mbalimbali yakiwemo matumizi ya madawa ya kemikali,kazi mzito,ajari,n.k

Lakini kwa baadhi ya wanawake limekuwa ni jambo linalotokea kila anapobeba mimba hali inayopelekea kukata tamaa na hata kusingizia mambo ya kishirikina, kumbe ni changamoto inayosababishwa na aina ya damu kati ya mume na mke.

leo imekuandalia somo ili uweze kujua na uchukue hatua!
Kwa kawaida binadamu hutofautiana makundi ya damu, na kwa kawaida makundi ya damu yamegawanyika katika makundi manne (4)
Group A,
Group B,
Group AB,
Group O
Hayo ni ma group ya damu,lkn kuna binadamu wenye protini katika damu zao na binadamu wasio na protini katika damu zao, protini hii huitwa Rhesus kwa lugha ya Kitaalamu,
Hivyo licha ya kuwa na kundi flani la damu unaweza kuwa na protini kwenye damu ( Rhesus ) au usiwe nayo.
K**a una protini kwenye damu yamu ukienda kupimwa utaandikiwa alama ya + mbele ya aina ya kundi la damu yako, mfano
Group A+,
Group B+,
Group AB+,
Group O+
Wakati wasio na protini kwenye damu zao huandikiwa bila alama hiyo, mfano
Group A, Group B, Group AB, Group O
Kitendo cha kuwa na protini kwenye damu au kutokuwa nayo hakina madhara yoyote kwa mtu husika isipokuwa kwa mtu mwingine, yaani mtu asie na protini kwenye damu yake hawezi kuwekewa damu yenye protini hata k**a ni group moja na ikitokea inaweza kusababisha kifo mfano, mtu mwenye damu group A+ hawezi kumuongezea damu mwenye group A japokuwa ni group moja wote lkn utofauti ni kutokana na mmoja ana protini na mwingine hana,lkn kwa mtu mwenye protini anaweza kuwekewa damu ya mtu asie na protini ilimradi tu wawe group moja la damu kwake haina madhara maana tayari kwenye damu yake kuna protini na damu anayowekewa haina protin

30/05/2019

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic

Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

PID husababishwa na nini?

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke huambukizwaje PID?

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na
Kufanya ngono isiyo salama
Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)
Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango, na
Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID ,ukishakutana na tatizo hili Mara nyingi hupoteza hamu ya tendo la ndoa, miwasho, harufu mbaya sehem za Siri, kukosa au kushindwa kubeba mimba,hormones in balance, fibroid, tafadhali K**a tayari muathirika au kinga upesi tumia Femine wash, au liven coffee au C24 /7/Complete phytoenegerzer, Piga simu /0756891757;0718198768🙏

My Choco ni bidhaa bora kimataifa kwa Afya ya mtoto.Ina virutubisho zaidi ya 16000 vinavyomlinda mtoto mdogo na mgonjwa ...
27/05/2019

My Choco ni bidhaa bora kimataifa kwa Afya ya mtoto.Ina virutubisho zaidi ya 16000 vinavyomlinda mtoto mdogo na mgonjwa mbalimbali.My choco imetengenezwa na kuwekwa ktk mfumo wa unga ambapo mtoto anaweza akalamba ,ukamwekea kwenye maziwa,uji,maziwa,au ukamwekea kwenye maji ya uvuguvugu na ukampa mtoto.My choco pia ina mafuta asili ya samaki na DHA.Faida za My Choco
1.Humpatia mtoto hamu ya kula pia kwa watu wazima wasio na hamu ya kula

2.Humpa mtoto kinga dhabiti zidi ya magonjwa
3.Hukuza ubongo wa mtoto na kumfanya awe na uwezo mkubwa wa kufikiri
4.Huongeza damu kwa wale watoto wenye shida ya upungufu wa damu mara kwa mara pia huongeza damu kwa watu wazima
5.Huimarisha ngozi ya mtoto na kuifanya iwe nzuri na nyororo

Jipatie my choco kwa bei ya 30000 kwa box.Dar tunafanya delivery kwa bei ya 2000 na mikoani bia tunatuma kwa gharama ya 5000.
Kwa mawasiliano zaidi 0756891757 /
0718198768

NB:Mtoto chini ya umri wa miezi sita haruhusiwi kutumia

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKEKuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uum...
26/05/2019

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE

Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.
Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka siku had I siku. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wengi wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea ndio wanaosumbuliwa na tatizo hili kwa kiasi kikubwa.

Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana.

Kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza pia kuwa kumetokana na mambo ya kihisia, kwa kiingereza ‘emotional causes’. Vitu vingine vinavyoweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume ni pamoja na magonjwa k**a vile ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la juu la damu.

Asilimia 51 mpaka 61 ya wanaume wanaosumbuliwa na kisukari wanapatwa na tatizo la uume kushindwa kusimama vizuri. Kadharika wagonjwa wa kiharusi na wale waliotekwa na ulevi nao ni miongoni mwa watu wanaoweza kupatwa kirahisi na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Walevi wengi wa pombe kwa mfano wanakabiliwa na tatizo la uzalishaji mchache wa mbegu za kiume (manii).

Wengine wenye hatari ya kupatwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni pamoja na wanaume wenye shinikizo la juu la damu, wenye matatizo ya tezi, waliowahi kufanya upasuaji katika viungo vya uzazi wakabaki na majeraha, watu wanaotumia dawa zenye kemikali kiholela bila kushauriwa na wataalamu na wale wanaougua maradhi yanayodhoofisha msukumo wa damu kwenda katika mishipa ya uume.
Pamoja na hayo, tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kutibika kwa watu wa rika zote.

* Nini Sababu ya uume kushindwa kusimama?

Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika k**a kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na mwenza wake. Pamoja na ukweli kuwa mara zote Mwanaume lazima atafika kileleni, hali huweza kuwa tofauti kwa upande wa pili kwani mwanamke anahitaji mwanaume akawie zaidi ili na yeye (mwanamke) aweze kutosheka.
Mkeo hupendelea ukawie na ikiwezekana ukawie zaidi. K**a utakuwa unawahi kumaliza, basi mkeo anakuwa hapati raha kamili.

Ingawa, k**a una tatizo la kuwahi kufika kileleni hauko peke yako. Asilimia 30 hadi 40 ya wanaume wa rika zote wanakabiliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni au kupungukiwa kwa nguvu za kiume. Hata hivyo kutambuwa tu kwamba wanaume wengine pia wana tatizo k**a lako siyo sababu ya wewe kukaa tu bila kutafuta suluhisho la tatizo lako.
Habari njema ni kuwa zipo njia zinazoweza kuleta matokeo mazuri na hatimaye kulimaliza tatizo hili bila madhara mabaya hapo baadaye.

Wakati mwingine uume kushindwa kusimama inaweza kuwa si tatizo, lakiini jambo hilo linapojitokeza kila mara na kwa kipindi kirefu inaweza kuleta msongo wa mawazo kwa mume na hata kwa mke. Sababu nyingine amabzo zinaweza kupelekea uume usisimame vizuri ni pamoja na matatizo ya mhemko k**a;
- Wasiwasi
- Hasira
- Msongo wa mawazo (Stress)
- Huzuni
- Hofu na mashaka
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa n.k

Ili uume usimame vizuri ni lazima:
Mfumo wako wa neva uwe na afya nzuri inayopelekea mpwito neva (nerve impulses) katika ubongo, uti wa mgongo na uume.
Mishipa ya ateri iliyo na afya ya ndani na iliyo karibu na corpora cavernosa
Misuli laini yenye afya na tishu za ufumwele (fibrous tissues) ndani ya corpora cavernosa
Kiwango sahihi cha oksidi nitriki (nitric oxide) ndani ya uume.

Uume kshindwa kusimama vizuri kunaweza kusababishwa pia k**a kipengele kimojawapo hapo juu hakifanyi kazi vizuri. Mambo mengine yanayopelekea kupunguwa kwa nguvu za kiume, uume kushindwa kusimama vizuri na kuwahi kufika kileleni ni:
- Uzee
- Kisukari
- Kujichua/Punyeto
- Uzinzi
- Kukosa Elimu ya vyakula
- Kutokujishughulisha na mazoezi
- Shinikizo la juu la damu
- Ugonjwa wa moyo
- Uvutaji sigara/tumbaku
- Utumiaji uliozidi wa kafeina.
- Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo
- Madawa ya kulevya
- Kupungua kwa homoni ya testerone
- Athari kutoka kwa baadhi ya dawa
- Pombe

Nguvu za kiume na mzunguko wa damu:
Kitu gani husababisha uume usimame?
Unaweza kujibu ni msisimko. Ni kweli, Jibu lako linaweza kuwa sahihi. Hata hivyo msisimko ni matokeo. Kipo kinachosababisha kutokea huo msisimko. Bila hicho, hakuna msisimko unaoweza kutokea.

Kila mwanaume anatakiwa kujuwa jibu sahihi la swali hili ili atakapopatwa na tatizo atambuwe wapi pa kuanzia na pa kuishia. Siyo lazima uwe daktari, Elimu ya kutambua mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na si kwa madaktari pekee k**a watu wengi mnavyodhani.
Kutokusoma soma lolote kuhusu miili yetu inavyofanya kazi ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuparamia dawa kiholela na hivyo kujikuta tunapata madhara zaidi badala ya kujitibu.
Mzunguko wa damu ndicho kitu kinachofanya uume USIMAME. Na kabla hujaendelea kusoma tambua jambo moja mhimu; ‘’Asilimia 94 ya damu ni maji’’. Hii ni kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwa kifupi maji ndiyo kila kitu mwilini, nakushauri upendelee Kunywa maji bila KUSUBIRI KIU.
Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri k**a inavyotakiwa na usio na hitilafu yeyote ni kipengele mhimu sana katika afya ya mwili, mishipa na kusimama kwa uume wako.

TIBA YAKE

Tibalishe zetu za C24/7 zimetengenezwa na kampuni namba moja duniani ya tibalishe kutokea marekani inayojulikana k**a Nature's Way, ambayo ina zaidi ya Madaktari 200 ambao ni wataalamu wa mimea tiba, matunda na mboga mboga.

TIBALISHE ZETU ZINA ZAIDI YA VIRUTUBISHO 22,000 AMBAVYO NI
MCHANGANYIKO WA
- Vitamini/Madini 29
- Amino Acid 18
- Vyakula vyenye kijani 14
- Mchanganyiko wa matunda aina 12
- Mchanganyiko wa mbogamboga aina 12
- Mchanganyiko wa uyoga aina 12
- Enzyme zinazohusika na umeng’enyaji wa chakula 12
- Mimea na viruubisho Maalum 12
-Tindikali muhimu za mafuta 10
- Virutubisho vya kuongeza kuishi
- Virutubisho vya kuondoa uzee.
Mtu yeyote mwenye tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume akitumia tibalishe zetu anapona kabisa 100%, ndani ya muda mfupi tu.

K**a wewe, ndugu yako au jirani yako ndiye anayesumbuliwa tafadhali msaidie kwa kumpa habari hizi.Kwa watu wa mikoani tunatuma pia. Tunafanya Home Delivery pia.
Tunapatikana Dar es salaam, Waweza kutupata kwa mawasiliano haya 0718198768 simu/whatsapp

Je? Unasumbuka na kisukari na magonjwa ya moyo?Magonjwa ya Mifupa na Uvimbe wa kizazi?Njoo tukusaidie kwa haraka .Tuna T...
25/05/2019

Je? Unasumbuka na kisukari na magonjwa ya moyo?
Magonjwa ya Mifupa na Uvimbe wa kizazi?
Njoo tukusaidie kwa haraka .
Tuna Tiba za uhakika matokeo mazuri kwa muda Mfupi.
Tumesaidia wengi.

TUPIGIE
0718198768

Mikoani kote Tunasafirisha.
Acha kuteseka agiza dozi yako..

*Pelvic Inflammatory Diseases ‘PID.’* Ugonjwa huu hushambulia viungo vya ndani vyote vya uzazi vya mwanamke na kusababis...
25/05/2019

*Pelvic Inflammatory Diseases ‘PID.’*
Ugonjwa huu hushambulia viungo vya ndani vyote vya uzazi vya mwanamke na kusababisha mwanamke apate maumivu chini ya kitovu na maumivu wakati wa kujamiiana kwa muda mrefu.
Maambukizi katika tabaka la ndani la kizazi huitwa ‘Endometritis’, maambukizi ya mirija ya uzazi huitwa ‘Salpngitis’ na pia mwanamke anaweza kupata uvimbe ndani ya kizazi ambao unakuwa umejaa usaha uitwao ‘Tubo-ovarian abscess’ na maumivu makali ya muda mrefu ya tumbo kuanzia usawa wa kitovu kushuka chini ‘Pelvic Peritonitis’.
Ugonjwa huu zaidi huenezwa kwa njia ya kujamiiana na husababishwa na bakteria ‘Neisseria Gonorrhoea’ na ‘Chlamydia Trachomatis’. Wengine wanaoweza kusababisha ni ‘Gardnella Vaginalis’, Haemophilus Influenza’, ‘Enteric gram negative rods’ na ‘Streptococcus agalactiae.’
Pia wapo wengine wengi inabidi kufanya uchunguzi ili kuthibitisha.
*USHAURI*
Ni k**a ilivyo katika maambukizi mengine ambayo tumekwishaona. Vipimo ni vilevile vya ukeni na ambavyo daktari ataona vinafaa.
*FANGASI UKENI*
Tatizo hili pia huitwa ‘Vaginal Candidiasis’. Mwanamke hulalamika muwasho mkali ukeni, uke huvimba au huumuka, uchafu hutoka mweupe na mzito k**a maziwa ya mgando na kuhisi moto ukeni, mkojo pia huwa wa moto na kuchomachoma njia ya mkojo.
Maumivu wakati wa kukojoa huwa makali endapo utajikuna sana ukeni na kupata michubuko. Mashavu ya ndani ya uke huwa mekundu na maumivu.
Ugonjwa huu hufanana na ugonjwa wa malengelenge ukeni ‘Genital herpes’ na husababisha ugonjwa wa kubana mlango wa uke kwa kuvimba na maumivu ya uke ‘Vulvodynia’.
*USHAURI*
Ugonjwa huu huchunguzwa k**a yale mengine ili kupata uhakika.
*NINI CHA KUFANYA* ?
Magonjwa haya ya ukeni hushabihiana na saratani za ukeni na shingo ya uzazi. Kwa kuwa vyanzo vikuu ni ngono basi ni vema ukapima magonjwa yote ya zinaa na Ukimwi.
Athari za magonjwa haya ni katika mfumo wa uzazi, hayo nayo uchunguzwa kwa makini na uchunguzi hufanyika kwa mwanaume na mwanamke, pia athari ziangaliwe na kwa mwanaume kwani mfumo wake wa uzazi pia huathirika.
Vipimo vya awali kwa mwanamke ni mkojo, vipimo vya ukeni na shingo ya kizazi, vipimo vya damu na Ultrasound na hata kupima mirija ya uzazi.
Mwanaume atapimwa mkojo, damu na manii zake kuangalia ubora na uwezo wa mbegu za kiume. Muone daktari katika hospitali ya mkoa kwa uchunguzi wa kina na tiba.
*KWA MATIBABU ZAIDI*
WhatsApp +255718198768

25/05/2019

UGUMBA KWA MWANAMKE*
SABABU,DALILI NA TIBA ZAKE

-Tulisema ugumba ni kile kitendo au ni ile hali ya mwanamme na mwanamke kujamiiana kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kinga yoyte na bado mwanamke hakuweza kupata ujauzito.
-Tukasema hali hii inachangiwa na jinsia zote na si mwanamke peke yake k**a ilivyozooleka kuamini.
-Theluthi moja ya nyumba zenye tatizo hili huwa imeathirika kutokana na mapungufu ya mwanamme,theluthi nyingine kutokana na mwanamke na inayobakia inaathiriwa na matatizo au ya wote wawili au yale ambayo hayaeleweki.
-linapotokea tatizo hili, wote wawili wanatakiwa wapimwe ili kujua ni nani kati yao ndiye chanzo cha tatizo.

*Tuangalie dosari kwanza za mwanzo za ugumba kwa Mwanamke*

>>Ili mwanamke apate mimba,sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa.

*_Hatua katika utengenezaji wa mimba ni k**a zifuatazo:_*

1.
-Moja kati ya ovari mbili za mwanamke lazima iyachie yai lililokomaa

2.
-Yai hili lazima lisafirishwe na mrija wa uzazi _(fallopian tube)_

3.
-Mbegu za mwanamme lazima zisafiri hadi kwenye _cervix_, kupitia tumbo la uzazi _(uterus)_ hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.

4.
-Yai lililopevushwa lazima lisafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi _uterus_

5.
-Yai hilo lazima linate kwenye ukuta wa uterus na kuanza kukua

i} Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yoyote katika hizo tulizozitaja na mara nyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.

ii} Pamoja na kuwa kuna sababu nyingi za mwanamke kutopata mimba, lakini sababu kuu tatu ndizo zinazohusika zaidi,

*Sababu hizo ni;*

1.
Kushindwa Kuzalisha Mayai _(Anovulation)_

-Hili ndilo tatizo ambalo linachangia ugumba kwa wanawake kwa 30% lakini kwa bahati nzuri 70% ya wanawake wenye tatizo hili hupata tiba na kufanikiwa kupata watoto.

-Mwanamke mwenye tatizo hili hutoa mayai mara chache au hatoi mayai kabisa.

-Chanzo cha tatizo hili huwa ni moja ya yafuatayo:

1.
_Matatizo Ya Homoni_

-Matatizo ya homoni ndiyo yenye mchango mkubwa zaidi kwenye kumfanya mwanamke ashindwe kuzalisha mayai.
-Uzalishwaji wa mayai hutegemea mchanganyiko wa homoni utakaofanya kazi kwa kuhusiana bila kuvurugwa katika utendaji wake wa kazi.

-Kuna matatizo ya aina kuu tatu yanayoweza kuvuruga mpangilio huu.

i} Kuzalisha Mayai Yasiyokomaa:

ii}Matatizo Ya *Hypothalamus;*

*Hypothalamus* ni sehemu ya ubongo inayohusika na kutoa ishara kwa tezi ya pituitary _(pituitary gland)_ ambayo nayo huamsha homoni za ovari zinazoruhusu yai kukomaa.
- *Hypothalamus* isipofanya kazi yake, mayai hushindwa kufika ukomavu.
-Asilimia 20 ya dosari za ukomavu wa mayai husababishwa na matatizo ya *hypothalamus*.

iii} Matatizo Ya *Pituitary Gland:*

-Tumeona hapo juu kuwa tezi ya *pituitary* inavyohusika katika kukomaza mayai.
-Endapo *pituitary* itatoa homoni kwa kiwango kidogo au kikubwa kupita kiasi, ovari zitashindwa kuzalisha na kutoa mayai ipaswavyo.
-Hali hii hutokea pale tezi hii inapoharibiwa kwa ajali,
-Kunapotokea uvimbe ndani yake au kunapokosekana ulingano wa kikemikali ndani ya tezi hiyo.

2.
*Makovu Kwenye Ovari*

i} Uharibifu kwenye ovari unaweza kusababisha ovari hizi kushindwa kuzalisha mayai.
ii}Operesheni za mara kwa mara hujenga makovu kwenye ovari hizo na kuzifanya zishindwe kuzalisha mayai.
iii} Maambukizi ya magonjwa huweza pia kusababisha ovari kushindwa kuzalisha na kutoa mayai.

3.
*Kukoma Hedhi Mapema*

i} Kukoma hedhi mapema ni tatizo ambalo halijaeleweka vizuri kisayansi.
-Baadhi ya wanawake wanaacha kupata siku zao za
kawaida kwenye umri usiotegemewa.

ii} Dhana moja ni kuwa hifadhi yao ya mayai imekwisha au nyingine ni kuwa inatokana na wanawake hawa kuwa wenye historia ya kuwa wanariadha waliokuwa na miili yenye uzito mdogo na waliofanya mazoezi
ya nguvu kwa muda mrefu.

iii} Kuna uwezekano pia kukoma hedhi mapema ni suala la urithi.

4.
*Matatizo Ya Follicle*

i} Kuna tatizo lisilo na maelezo ya kisayansi “unruptured follicle syndrome” ambapo mwanamke hutengeneza mfuko wa kawaida wa yai wenye yai ndani yake kila mwezi lakini mfuko huo hugoma kupasuka na kuachia yai.
ii} Hivyo kwamba, yai hubaki ndai ya ovari na utolewaji wa yai nje ya ovari kutotokea.

5.
*Mirija Ya Uzazi*
i} Fallopian Tubes_ Kushindwa Kufanya Kazi Vizuri
-Magonjwa katika mirija ya uzazi huathiri 25% ya wanafamilia ambapo tatizo laweza kuwa dogo la kunata kwa yai au kubwa la mirija kuzibwa kabisa.
ii} Tiba kwa matatizo ya mirija ya uzazi mara nyingi ni upasuaji.

>>> _Matatizo yanayopelekea kuziba kwa mirija ya uzazi ni k**a yafuatayo:_

i} _Maambukizi Ya Wadudu_

-Maambukizi ya virusi na bacteria yanayoenezwa kwa ngono husababisha makovu na uharibifu, kwa mfano k**a umesha wahi kupima na ukaambiwa una *Hydrosalpnix* hii inasababisha mirija ya uzazi kuziba pande zote na kujaa maji.

ii} _Magonjwa ya Tumbo_
-Magonjwa ya _*appendicitis na colitis*_ huleta madhara kwenye tumbo ambayo yanaweza kuiathiri mirija ya uzazi kwa kujenga makovu au kuiziba.

iii} _Upasuaji_
-Hii ni sababu kubwa ya magonjwa na uharibifu wa mirija ya uzazi,kivipi
-Upasuaji wa kwenye maeneo ya kinena na tumbo huweza kusababisha uharibifu utakao zuia upitaji wa yai.

iv} _Mimba Ndani Ya Mirija Ya Uzazi _(Ectopic Pregnancy)_
-Mimba zinazotunga ndani ya mirija ya kizazi huweza kuleta uharibifu kwenye mirija hiyo hata k**a tahadhali ya juu
itachukuliwa kuziondoa.

v} _Matatizo Ya Kuzaliwa Nayo_
-Mara chache huweza kutokea kuwa mwanamke akazaliwa akiwa na dosari katika mirija yake ya uzazi.
*Endometriosis*

- *Endometriosis* ni kuota kwa seli *(endometrial cells)* zinazofanana na zile zinazotanda ndani na nje ya mfuko wa uzazi _(uterus)_ kwenye eneo nje ya mfuko wa uzazi. *Endometrial cells* ndizo zinazoufunika mfuko wa uzazi na seli hizi hubadilishwa kila mwezi wakati wa hedhi.
-Seli hizi huweza kuota kwenye maeneo mengine yaliyo nje kabisa ya mfuko wa uzazi na huitwa *endometriosis implants*.
-Maeneo ambayo seli huweza kuota ni kwenye _ovari, mirija ya uzazi (fallopian tubes), kuta za nje za nyumba ya uzazi, utumbo, pelvis, uke, cervix, kibofu na mara chache kwenye maini, mapafu na ubongo_.

-Endometriosis imegundulika zaidi kwenye kundi la wanawake wenye umri kati miaka 22 na 35, ingawa mara chache
imeonekana kwa wasichana wadogo wa miaka11.
-Endometriosis ni nadra kuonekana kwa wanawake waliokoma hedhi.
-Wanawake warefu , wembamba wenye uzito mdogo huonekana zaidi na tatizo hili.
-Kupata ujauzito katika umri mkubwa sana, kutozaa na kukoma siku mapema huongeza uwezekano wa kutokea *endometriosis*.

-Kuota kwa seli hizi za ziada –na tendo la kuziondoa kwa operesheni –huweza kusababisha makovu ambayo huweza kuzuia yai la mwanamke lisiungane na mbegu ya mwanamme.
-Kuathirika kwa utando huu juu ya _uterus_ huweza kuzuia kutungwa kwa yai lililopevushwa.

_Sababu Nyinginezo_

1.
*Sababu Za Kitabia*

i} Baadhi ya tabia zetu huathiri afya zetu ikiwa ni pamoja na afya ya viungo vya uzazi na kupunguza au kuondoa uwezo wetu wa kuzaa watoto.
ii}Bahati nzuri tabia hizi zinaweza kudhibitika.

_Chakula Na Mazoezi:_

i} Ili tuwe na uwezo mzuri wa kuzaa watoto tunahitaji kupata chakula kizuri na kuipa miili yetu mazoezi ya kutosha.
ii}Wanawake wenye unene wa kupindukia,uzito mdogo na mkubwa sana au tumbo kubwa wanakuwa miongoni mwa wenye matatizo haya

iii} _Uvutaji Wa Sigara_

-Uvutaji wa sigara unapunguza kiwango cha mbegu _(low s***m count)_ kwa wanaume, kuongeza uwezekano wa mimba kutoka,kuzaa mtoto mwenye uzito mdogo au kabla ya wakati _(njiti)_ kwa wanawake.

iv} _Pombe:_
-Unywaji wa pombe huongeza uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye matatizo na unywaji uliozidi huweza kuleta ugonjwa, _Fetal Alcohol Syndrome_.
-Kwa mwanaume,pombe hupunguza kiwango chake cha mbegu.

v} _Madawa:_
-Madawa k**a bangi _(ma*****na)_ hupunguza kiwango cha mbegu kwa wanaume.
-Utumiaji wa co***ne kwa wanawake huathiri figo za watoto watakaozaliwa.

2.
*Sababu Za Kimazingira*

-Uwezo wa mwanamke kutunga mimba unaweza kuathiriwa na uwepo wake kwenye mazingira yenye sumu au kemikali.
-Hii inaweza kuwa kwenye mazingira ya kazi au sehemu anayoishi.

-Baadhi ya kemikali zilizobainika kupunguza uwezo wa mwanamke kupata mimba ni:

1.
*_Lead_*
–husababisha mimba kutoka.
2.
*Tiba*
-tiba ya mionzi ya mara kwa mara na *chemotherapy* huathiri uzalishaji wa mbegu za kiume na matatizo ya ovari.

3
*_Ethylene Oxide_*
-kemikali inayotumika kuua wadudu kwenye vifaa vya upasuaji na kutengenza dawa za kuulia wadudu huleta dosari kwenye mimba changa na kusababisha mimba kutoka.

4
_*Dibromochloropropane (DBCP)*_
– Kemikali inayopatikana kwenye dawa za kuulia wadudu husababisha mwanamke kukoma hedhi mapema.

*DALILI ZA UGUMBA NA MATIBABU HUWA ZINAJULIKANA*

*DALILI K**A*
-Hedhi kupishana,
-Hedhi kutoka kidogo sana,
-Hedhi kutoka nyingi sana,
-Maumivu makali ya tumbo wakati/kabla au baada ya hedhi
-maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
-Kutokupata hedhi au hedhi kuruka miezi au kujirudia ndani ya mwezi ×2
-kuhisi mara kwa mara hali ya ujauzito na kila ukipima ni negative
-kutopata hamasa ya tendo la ndoa {si wote}

*MATIBABU*
-utatibiwa ugumba wewe mwanamke kulingana na chanzo cha tatizo k**a tulivyo ona vyanzo kuwa ni vingi,
-unashauriwa kutumia vyakula au virutubisho vya kusaidia hormon zako ziweze kubalance mara kwa mara
-K**a una matatizo mojawapo kati ya hayo tulio jifunza iwe ni maumivu wakati wa hedhi,hedhi kupishana,hedhi kutoka kidogo,hedhi kutoka nyingi,hedhi kutoka chafu,maumivu wakati wa tendo unashauriwa kutafta ufumbuzi kabla,

*USHAURI*

-kumbuka kuna *primary infertility* na *secondary infertility* Nikimaanisha hata k**a ulisha wahi kuwa na mtoto 1 au 2 nyuma bado unaweza ukapatwa na ugumba,cha muhimu niwewe kushughulikia dalili ulizo nazo.

MASWALI,MAONI,USHAURI NA MUGUMBA KWA MWANAMKE*

MASWALI,MAONI,USHAURI NA MATIBABU TUMIA NO what 0718198768

Address

P. Box 261
Morogoro

Telephone

0718198768

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sency health and wealth project posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share