Dj kessy360

Dj kessy360 Online PR|Music and Video Promotion|Entertainmant News|Events|Ticketing|Promoting Upcaming Artist Phone:065711902 EMAIL: [email protected]

02/01/2023

15/10/2021
New video on trending Morgan_Heritage ft Diamond platnumz , Stone Bwoy - Africa X jamaicaclick link below/ apo chini uwe...
20/10/2018

New video on trending Morgan_Heritage ft Diamond platnumz , Stone Bwoy - Africa X jamaica

click link below/ apo chini uweze kuicheki

https://youtu.be/tcSWo_E4Fe0

TCRA: Nyimbo za Diamond Platnumz, Wa Mitego, Jux na wanamuziki wengine zafungiwa na serikali TanzaniaSaa 4 zilizopitaSam...
28/02/2018

TCRA: Nyimbo za Diamond Platnumz, Wa Mitego, Jux na wanamuziki wengine zafungiwa na serikali Tanzania
Saa 4 zilizopita
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako
DIAMOND
Nyimbo mbili za Diamond Platnamz ni miongoni mwa nyimbo zaidi ya 10 zilizopigwa marufuku kupigwa katika radio nchini Tanzania.
Nyimbo kadha za wanamuziki Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki, Jux na Barnaba pia zimefungiwa.
Nyimbo za Diamond, ambaye jina lake halsii ni Nasib Abdul, zilizofungiwa ni Hallelujah (uliomshirikisha Morgan Heritage ) na Waka Waka (uliomshirikisha Rick Ross).
Barua kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania kuelekea Radio moja mjini Dodoma imesema nyimbo hizo zimefungiwa kwa ushauri kutoka kwa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata).

Basata wamewasilisha kwa TCRA orodha ya nyimbo hizo ambazo zimedaiwa kuwa "zisizokuwa na maadili."
"Nyimbo hizo zilitolewa na wasanii na kusambazwa katika vyombo mbalimbali vya utangazaji na mitandao ya kijamii," taarifa a TCRA imesema.
"Nyimbo hizo zina maudhui ambayo ni kinyume na maadili na Kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) 2005."
Nyimbo mbili za Ney wa Mitego, jina lake halisi Emmanuel Elibariki - Pale kati Patamu na Maku Makuz - pia zimefungiwa.
Mwanamuziki Roma Mkatoliki ambaye jina lake halisi ni Abernego Damiani naye amefungiwa wimbo wa Kibamia.
Wimbo wa Amani Hamisi maarufu k**a Manifango wa Hainaga Ushemeji pia umefungiwa, sawa na I am Sorry JK wake Nikki Mbishi ambaye jina lake halisi ni Nicas John Mchuche.

Wimbo Chura wake Snura ulifungiwa mara ya kwanza 2016
Snura Mushi ambaye jina lake la usanii ni Snura amefungiwa nyimbo mbili - Chura na Nimevurugwa.

Nyimbo nyingine ni Tema mate tumchape (Hamad Ali maarufu Madee), Uzuri Wako (Juma M***a Mpolopoto maarufu Jux), Nampa Papa (Gift Stanford maarufu Gigy Money) na Nampaga (Barnaba Elias maarufu Barnaba).
Mwana 2016, TCRA walikuwa wameufungia wimbo wa Chura wake Snura.
Baadaye aliomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali.
Hata hivyo, bado ametetea video zilizotolewa za wimbo huo akisema zilitolewa tu kwa ajili ya YouTube.

Ali Kiba Kufunga Ndoa Siku ya Ijumaa na Mrembo Kutoka KenyaFebruary 27, 2018 at 12:44Mwanamuziki wa Bongo fleva Ali Kiba...
27/02/2018

Ali Kiba Kufunga Ndoa Siku ya Ijumaa na Mrembo Kutoka Kenya
February 27, 2018 at 12:44

Mwanamuziki wa Bongo fleva Ali Kiba anadaiwa kajipanga Kusaga ukapera Ijumaa hii kwani anategemea kumuoa mchumba wake ambaye anasemekana kuwa ni Mkenya.

Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na tetesi za Alikiba kuoa na siku ya leo mtandao wa Bongo 5 unaripoti kuwa Ali Kiba atafunga ndoa siku ya Ijumaa tarehe 2/3.

Kumekuwa na taarifa kuwa Ali Kiba amekuwa na uhusiano na binti Kutoka Mombasa Kenya anayejulikana kwa jina moja tu la Amina kwa kipindi kirefu imesemekana Kiba amekuwa na uhusiano na binti huyo.

Tetesi za Kiba kuoa zilianza wiki chache zilizopita baada ya mdogo wa Ali Kiba Abdu Kiba kuliambia gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa kaka yake anatarajiwa kufunga ndoa mwezi marchi mwaka huu.

Ali Kiba pia anadaiwa kuonekana Moombasa mara kwa mara kwa ajili ya kukicheki jiko lake lakini pia ametajwa kuwa na urafiki wa karibu na gavana wa mji huo, Joho

SEMA CHOCHOTE KUMUHUSYLU

VALENTINE’S DAY: ZARI ATANGAZA KUACHANA NA DIAMOND NA KUTOA SABABUBURUDANI, UDAKUFEBRUARY 14, 2018Share thisZarinah Hass...
15/02/2018

VALENTINE’S DAY: ZARI ATANGAZA KUACHANA NA DIAMOND NA KUTOA SABABU
BURUDANI, UDAKUFEBRUARY 14, 2018

Share this
Zarinah Hassan maarufu k**a Zari ama Zari The Boss Lady ametangaza kuachana na mzazi mwenzake, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kufuatia kuwapo kwa tuhuma nyingi kuhusu mwanamuziki huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wasichana wengine.

Zari ametangaza uamuzi huo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema kuwa kumekuwapo na tuhuma na wakati mwingine kuna uthibitisho katika mitandao kuhusu tabia ya mara kwa mara ya Diamond kuchepuka, na hivyo ameamua kuachana na kwa sababu heshima yake, utu wake haviwezi kuharibiwa.

Zairi amesema kwamba anaachana na Diamond k**a mpenzi wake lakini wataendeleaa kuwa wazazi wenza.

Aidha, katika waraka wake, Boss Lady amesema kuwa, tukio hilo halitapunguza namna anavyowajali wanae, na Zari ambaye amekuwa akifahamika kwa kujituma siku zote.

Zari ametangaza uamuzi wa kuachana na Diamond wakati watu wakisherehea siku ya wapendanao, ambapo wengi wameigeuza na kuwa siku ya wapenzi ambapo kila mmoja anajaribu kumuonyesha mwenzake namna anavyompenda kwa kufanya mambo mbalimbali.

Hapa chini ni waraka wa Zari aliouandika;

Zarithebosslady-instagram
Comment
Save
76,484 likes
zarithebossladyUnderstand that this is very difficult for me to do. There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised. We are separating as partners but not as parents. This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know. I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too. I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means. Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters. HAPPY VALENTINE'S
view all 14,186 comments

diamond platnumz(simba) new audio
01/12/2017

diamond platnumz(simba) new audio

Diamond Platnumz – Sikomi Download Mp3

17/11/2017

Afande Sele aliandika kwa kirefu sana jana baada ya hukumu ya Lulu na kuonyesha kumlaumu Marehemu Steven Kanumba kwa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Lulu wakati akiwa na umri mdogo kabisa. Baada ya Mrisho Mpoto kuona hicho alichoandika Mfalme huyo wa Rhymes leo amemuandikia yafuatayo “Wewe n...

Navy Kenzo ft partoranking -bajaji
19/08/2017

Navy Kenzo ft partoranking -bajaji

Navy Kenzo presents the video for 'Bajaji', taken from their debut album 'AIM (Above Inna Minute)': Available Worldwide via: iTunes: http://smarturl.it/Above...

G nako. -luck me
19/08/2017

G nako. -luck me

LUCKY ME by G NAKO ( Official Music Video ) To download from iTunes click here - https://goo.gl/zNheVy Click here to play the full audio on Spotify - https:/...

Address

Moshi, Kilimanjaro
Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj kessy360 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj kessy360:

Share