USAMS

USAMS Sales and marketing |Boosting business to thrive |Your success is Our business |Connect with us today

What are your thoughts on this??
19/10/2024

What are your thoughts on this??

Happy weekend to you all
19/10/2024

Happy weekend to you all

17/10/2024
ARUSHAAAAAAAAAAAAAAAAAπŸ”₯ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯LET'S GOOOOOOOOOO
17/10/2024

ARUSHAAAAAAAAAAAAAAAAA
πŸ”₯ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

LET'S GOOOOOOOOOO

We are excited to officially announce our new partnership with  Together, we are ready to expand their market reach and ...
22/09/2024

We are excited to officially announce our new partnership with Together, we are ready to expand their market reach and bring their amazing products to more customers. This collaboration marks a new chapter of growth and success for both of us. Stay tuned for great things ahead

Tunayo furaha kutangaza rasmi ushirikiano wetu mpya na Pamoja, tuko tayari kupanua soko lao na kuwafikia wateja wengi zaidi na bidhaa zao bora. Ushirikiano huu ni hatua mpya kuelekea ukuaji na mafanikio kwa pande zote. Endelea kufuatilia mambo mazuri yanayokuja

Fursa imefunguliwa tena! πŸ“’Umburi01 Sales and Marketing Solutions tunakaribisha maombi ya vijana wenye uwezo wa kuwa mawa...
21/09/2024

Fursa imefunguliwa tena! πŸ“’

Umburi01 Sales and Marketing Solutions tunakaribisha maombi ya vijana wenye uwezo wa kuwa mawakala wa mauzo ya moja kwa moja (DOAS) kwa CRDB Bank katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

πŸ‘‰ Sifa zinazohitajika:
- Uwepo wakati wa saa za kazi.
- Uwezo mzuri wa mawasiliano.
- Malengo na bidii ya kufanikisha mauzo.
- Mkazi wa Kilimanjaro au Arusha.

Tuma CV yako kupitia WhatsApp: +255629848024. Tuma mapema kabla ya tarehe ya mwisho 30 Septemba 2024

Jiunge na timu yetu ya mafanikio sasa! 🌟

Fursa imefunguliwa tena! πŸ“’Umburi01 Sales and Marketing Solutions tunakaribisha maombi ya vijana wenye uwezo wa kuwa mawa...
13/09/2024

Fursa imefunguliwa tena! πŸ“’

Umburi01 Sales and Marketing Solutions tunakaribisha maombi ya vijana wenye uwezo wa kuwa mawakala wa mauzo ya moja kwa moja (DOAS) kwa CRDB Bank katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

πŸ‘‰ Sifa zinazohitajika:
- Uwepo wakati wa saa za kazi.
- Uwezo mzuri wa mawasiliano.
- Malengo na bidii ya kufanikisha mauzo.
- Mkazi wa Kilimanjaro au Arusha.

Tuma CV yako kupitia WhatsApp: +255629848024. Tuma mapema kabla ya tarehe ya mwisho 30 Septemba 2024

Jiunge na timu yetu ya mafanikio sasa! 🌟

Timu yetu iko tayari kwa mapambano kwa lengo la kuleta matokeo chanya na kuketa mabadiliko katika uwanda wa masoko na ma...
12/09/2024

Timu yetu iko tayari kwa mapambano kwa lengo la kuleta matokeo chanya na kuketa mabadiliko katika uwanda wa masoko na mauzo.

Je unahitaji biashara yako ikue au una bidhaa yako unatamani iwafikie wateja kwa wingi zaidi

Jibu lako ni sisi
Wasiliana nasi Leo πŸ€™ 0629848024

Your success is our business

Congratulations on being officially selected as part of the USAMS team! You are now direct sales and marketing agents, r...
10/09/2024

Congratulations on being officially selected as part of the USAMS team! You are now direct sales and marketing agents, ready to serve our customers with excellence.

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa vijana wote na washiriki walioweza kuhudhuria semina ya mafunzo ya wakala wa ...
08/09/2024

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa vijana wote na washiriki walioweza kuhudhuria semina ya mafunzo ya wakala wa mauzo ya moja kwa moja (DOAS) mkoani Kilimanjaro. Ushirikiano wenu na ari yenu ya kujifunza imetupa motisha na matumaini makubwa kwa maendeleo ya sekta ya mauzo na masoko nchini.

Tunapenda kuwatangazia wateja wetu na wadau wote kwamba sasa tumefungua ofisi yetu mpya Moshi Mjini, katika Jengo la Kib...
06/09/2024

Tunapenda kuwatangazia wateja wetu na wadau wote kwamba sasa tumefungua ofisi yetu mpya Moshi Mjini, katika Jengo la Kibo Tower, ghorofa ya kwanza, chumba namba 18.

We are excited to announce to all our clients and partners that we have opened our new office in Moshi Town, at Kibo Tower, 1st floor, room number 18.

You are all welcome!

Maombi yaliyopokelewa ya nafasi za wakala wa mauzo ya moja kwa moja (DOAS) katika bank ya CRDB:1. Arusha: 152. Kilimanja...
04/09/2024

Maombi yaliyopokelewa ya nafasi za wakala wa mauzo ya moja kwa moja (DOAS) katika bank ya CRDB:
1. Arusha: 15
2. Kilimanjaro: 50
3. Tanga: 10

Tunashukuru kwa wote waliojitokeza kuomba nafasi hizi

Address

Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 18:00

Telephone

+255629848024

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when USAMS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to USAMS:

Share