29/05/2026
UTUNZAJI WA SUNGURA KIBIASHARA
SUNGURA WA MWEZI MMMOJA ADI MITATU (1-3)
-Hutenganishwa na mama yao mwezi mmoja
-Baada ya Kutenganishwa na mama yao wanatakiwa kupewa dawa ya kualisha (amprollium).
-Hutenganishwa majike kwa madume miezi 3 baadae.
Karibu tukuweke mradi wa ufugaji wa sungura kibiashara tunakufikia popote ulipo tanzania nzima.
Kwa mawasiliano zaidi
+255655752854
+255749069399(whatsapp)
Follow