Amua Rush*ta

Amua Rush*ta Radio Portal Trainer (TZ & Uganda)
IT & Sound Expert
Community Radio Expert
Social Media operator

  Azam FC wanaanza kwa ushindi ugenini…!!!FT: El Merreikh Bentiu 0-2 Azam FC Simba SC na Singida BS ni saa 2:00 usiku LI...
20/09/2025

Azam FC wanaanza kwa ushindi ugenini…!!!

FT: El Merreikh Bentiu 0-2 Azam FC

Simba SC na Singida BS ni saa 2:00 usiku LIVE

 TRA United 2️⃣-2️⃣ Dodoma Jiji
20/09/2025


TRA United 2️⃣-2️⃣ Dodoma Jiji

 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏰⏱️| Wiliete SC 0🆚 3 Young Africans SC
19/09/2025



𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏰⏱️| Wiliete SC 0🆚 3 Young Africans SC


𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰🏆  🆚 Wiliete SC🗓️ 19 September 2025🏟️ The Estádio 11 de Novembro⏱️ 4:00PM🇦🇴 | 6:00PM🇹🇿
19/09/2025

𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰

🏆
🆚 Wiliete SC
🗓️ 19 September 2025
🏟️ The Estádio 11 de Novembro
⏱️ 4:00PM🇦🇴 | 6:00PM🇹🇿


Msimamo
18/09/2025

Msimamo

Singida BS wameweka kambi jijini Kigali, nchini Rwanda. Heva ya milima na baridi la Kigali imewakaribisha, huku wakipumu...
18/09/2025

Singida BS wameweka kambi jijini Kigali, nchini Rwanda. Heva ya milima na baridi la Kigali imewakaribisha, huku wakipumua ari ya ushindani wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Jumamosi hii, macho ya mashabiki yataelekezwa katika dimba la Pele Stadium, ambako Singida BS watavaana na wenyeji wao, Rayon Sports, katika pambano la awali lililopangwa kuwa na msisimko wa pekee.

Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 12:00 jioni, na kwa wale waliobaki nyumbani, tukio lote litarushwa mubashara kupitia AzamSports3HD. Ni safari ya matumaini na heshima kwa vijana wa Singida BS.

18/09/2025
Mnyama ameshatua nchini Botswana. Safari yao imewapeleka moja kwa moja mjini Francistown, wakijiandaa kwa vita ya kandan...
18/09/2025

Mnyama ameshatua nchini Botswana. Safari yao imewapeleka moja kwa moja mjini Francistown, wakijiandaa kwa vita ya kandanda yenye joto la ushindani.

Jumamosi hii, dimba la Francistown litakuwa mwenyeji wa pambano la awali la Ligi ya Mabingwa Afrika, pale Simba SC watakapovaana na Gaborone United.

Kikapu cha matumaini na shauku kipo mikononi mwa mashabiki, kwani mchezo huu wa kusisimua unatarajiwa kuanza saa 2:00 usiku, na utarushwa mubashara kupitia AzamSports1HD.

Matajiri wa Jiji, Azam FC, wametua salama jijini Juba, nchini Sudan Kusini. Hewa ya kijiji cha mpira imewakaribisha, wak...
18/09/2025

Matajiri wa Jiji, Azam FC, wametua salama jijini Juba, nchini Sudan Kusini. Hewa ya kijiji cha mpira imewakaribisha, wakijiandaa kwa mtihani wao wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Jumamosi hii, macho yote yatageukia Uwanja wa Taifa wa Juba, ambako Azam FC watapambana na El Merreikh Bentiu katika mechi ya kusisimua inayosubiriwa kwa hamu.

Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 11:00 jioni, na kwa mashabiki waliobaki nyumbani, kila tukio litarushwa mubashara kupitia AzamSports4HD. Ni pambano la heshima, ni safari ya matumaini kwa Matajiri wa Jiji.

Address

1050
Mtwara
63104

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amua Rush*ta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Amua Rush*ta:

Share