Mysol muleba 1

Mysol muleba 1 mysol muleba wauzaji solar ,za kulipia kidogokidogo au cash tupigie 0767964852
maelezo

21/03/2026

Eid mubarak

Follow my channel for more information
14/03/2026

Follow my channel for more information

Follow Mysol Muleba's WhatsApp Channel. Karibu mysol wauzaji wa solar za kulipia kidogo kidogo na cash pia solar zetu zipo za aina nne
w10 na redio
W55 tv24
W80 tv24
W120 tv32
W200 tv43
Unapewa na warrant miaka minne. Join 12 followers for the latest updates.

MySol Tanznia tunasherekea wanawake wanaochochea maendeleo, na wanaounda mustakabali bora kwa jamii.Tunapoadhimisha Siku...
08/03/2026

MySol Tanznia tunasherekea wanawake wanaochochea maendeleo, na wanaounda mustakabali bora kwa jamii.
Tunapoadhimisha Siku ya wanawake Duniani 2026 tunakumbushwa kwamba tunapowainua, kuwaunga mkono, na kuwekeza kwa wanawake, tunajenga jamii imara zaidi na mustakabali wenye mwanga kwa kila mmoja.

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote

TANGAZO la kazi
07/03/2026

TANGAZO la kazi

Kazi nzuri sana ya umeme mkubwa  nyumbn kwako karibu mysol utapata vyote ivi
05/03/2026

Kazi nzuri sana ya umeme mkubwa nyumbn kwako karibu mysol utapata vyote ivi

05/03/2026

OFFER YA TEEVO KWA KIPINDI CHA RAMADHAN NA KWARESMA

IANGAZE RAMADHAN ๐ŸŒ™ & KWARESMA โœ๏ธ NA TEEVO

MUDA: Kuanzia tarehe 04 March Mpaka tarehe 20 March.

Pata Punguzo la 238,800/= kwa mtambo wa Teevo ukinunua kwa Cash.

Punguzo hili linamuwezesha Mteja wa Teevo kupata punguzo kwa Mkopo k**a ifuatavyo:

Mkopo mwaka 1

Kianzio: 100,800/= badala ya 139,500/

Rejesho: 112,405/= badala ya 133,200/

Mkopo miaka 2

Kianzio: 100,800/= badala ya 139,500/

Rejesho: 66,900/= badala ya 77,250/
Wasiliana na afisa wetu gisera +255760899843

Ramadhan Kareem๐Ÿ™๐Ÿฟ

02/03/2026

wateja wetu kwa kwa ushauri wa mfumo wa ufungaji wa solar na umeme unaweza kutupigia sisi tupo solar za kukopa kununua zote tunakuuzia

01/03/2026

Yanga mmetuhujumu jamn Simba SC Tanzania lile lilikua bao

Tutumie mysol tv kuona mazuri ya mpira
01/03/2026

Tutumie mysol tv kuona mazuri ya mpira

Bet with Bangbet for best odds. Bang for the bucks!

Asante sana kwa uongozi wako, maono yako na mchango wako mkubwa katika mafanikio ya kampuni. Tunakutakia kila la heri ka...
26/02/2026

Asante sana kwa uongozi wako, maono yako na mchango wako mkubwa katika mafanikio ya kampuni. Tunakutakia kila la heri katika hatua yako mpya ya maisha.

*Offer ya kianzio kuanzio kwa WATEJA**MITAMBO BASIC*80W Bila TV  84,630/=120W Bila TV  99,400/=200W Bila TV   158,900/=*...
23/02/2026

*Offer ya kianzio kuanzio kwa WATEJA*

*MITAMBO BASIC*
80W Bila TV 84,630/=
120W Bila TV 99,400/=
200W Bila TV 158,900/=

*MITAMBO PREMIUM*
80W TV 24" - 129,500/=
120W TV 32" - 156,450/=
200w TV 43โ€ - 247,800/=

SLS-15,000/=
TEEVO-111,600/=
Tupige number zetu 0767964852

Mama ni kila kitu.Leo tunasherehekea nguvu na upendo wa mama wenye mwanga kwenye maisha yetu.MySol inawatakia Heri ya Si...
11/05/2025

Mama ni kila kitu.
Leo tunasherehekea nguvu na upendo wa mama wenye mwanga kwenye maisha yetu.

MySol inawatakia Heri ya Siku ya Mama Duniani!

Address

Muleba Mjini
Muleba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mysol muleba 1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share