New Muleba Generation

New Muleba Generation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from New Muleba Generation, Social Media Agency, Muleba.

NEW MULEBA GENERATION NI UKURASA AMBAO UNAWAKUTANISHA VIJANA WA MULEBA DUNIANI KOTE KWA AJIRI YA SHUGHULI ZA KIJAMII KAMA (CHARITY) PIA INAJIKITA KWENYE MASWALA YA KIMICHEZO NA KUTOA ELIMU KUHUSIANA NA AFYA, SHERIA, NDOA NA MAHUSIANO.

02/09/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

πŸŽ‰ NEW MULEBA GENERATION β€” MIAKA 2 YA UMOJA, MSHIK**ANO NA MAFANIKIO! πŸŽ‰Miaka miwili ya safari yenye historia, changamoto,...
01/09/2026

πŸŽ‰ NEW MULEBA GENERATION β€” MIAKA 2 YA UMOJA, MSHIK**ANO NA MAFANIKIO! πŸŽ‰

Miaka miwili ya safari yenye historia, changamoto, kujifunza na zaidi ya yote mafanikio yanayothibitisha nguvu ya umoja wetu. ❀️

Katika kipindi hiki, New Muleba Generation (NMG) imeendelea kuwa familia yenye moyo wa kusaidiana na kushirikiana. Tumefanya na kushiriki katika shughuli mbalimbali za charity, tukigusa maisha ya wenye uhitaji na kuonyesha kwamba tunapokuwa pamoja tunaweza kufanya tofauti kubwa. 🀝❀️

⚽ Michezo imeendelea kuwa sehemu muhimu ya safari yetu, huku tukitumia michezo kujenga afya, vipaji, urafiki na mshik**ano.
πŸƒβ€β™‚οΈ Jogging imekuwa sehemu ya kujenga afya bora, nidhamu na kuimarisha mahusiano miongoni mwa wanachama.
🀝 Na kupitia matukio mbalimbali, tumeendelea kujenga umoja na mshik**ano unaotufanya kuwa zaidi ya kikundi β€” tunakuwa familia.

Katika misiba, tunasimama pamoja.
Katika harusi, tunasherehekea pamoja.
Katika tafrija na matukio mbalimbali, tunakuwa pamoja.

Kwa sababu kwetu, furaha ya mmoja ni furaha ya wote, na changamoto ya mmoja ni changamoto ya wote. ❀️

Miaka miwili imepita, lakini safari bado ni ndefu. Tunaendelea kujenga NMG yenye umoja imara, mshik**ano wa kweli na mafanikio yenye kugusa jamii.

🎊 Happy 2nd Anniversary, New Muleba Generation! 🎊
Miaka 2 ya historia.
Miaka 2 ya umoja.
Miaka 2 ya mshik**ano.
Miaka 2 ya kujitolea.
Miaka 2 ya mafanikio.
Na bado tuna safari ndefu ya kufanya makubwa zaidi! πŸš€

β€œUMOJA WETU, NGUVU YETU, MAENDELEO YETU.” ❀️🀝






**ano

TUKUTANE NMG CHARITY 2026.
09/03/2026

TUKUTANE NMG CHARITY 2026.

09/03/2026
NEW MULEBA GENERATIONNi muda sasa wa kuanza maandalizi rasmi kuelekea CHARITY WALK itakayofanyika mwishoni mwa mwaka huu...
09/10/2025

NEW MULEBA GENERATION
Ni muda sasa wa kuanza maandalizi rasmi kuelekea CHARITY WALK itakayofanyika mwishoni mwa mwaka huu. Tukio hili litakuwa ni sehemu ya kusherehekea kukutana pamoja k**a vijana wa NMG, tukionyesha umoja, upendo na kujitolea kwa jamii.

Kupitia CHARITY WALK hii, tutalenga kutoa tabasamu kwa wale wenye uhitaji, tukisisitiza dhamira yetu ya kuwa vijana wanaoleta mabadiliko chanya katika jamii.

Tunaanza sasa kuandaa Mkeka wa ushiriki na michango kwa wale wote watakaokuwa sehemu ya tukio hili muhimu.

πŸ—“οΈ Muda: Mwisho wa mwaka 2025
πŸ“ Mahali: Taarifa kamili itatolewa hivi karibuni
🎯 Lengo: Kusaidia wenye uhitaji na kuimarisha mshik**ano wa vijana wa NMG

Kila mwanachama anahimizwa kushiriki kikamilifu katika maandalizi na kuchangia kwa uwezo wake.
Pamoja tunaweza (Together we rise! πŸ’ͺ)

25/06/2025

NEW MULEBA GENERATION JOGGING CLUB KILA JUMAMOSI YA WEEK KM 12.

SIO DEAL
KWA AFYA YA AKILI

Address

Muleba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Muleba Generation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share