AB Creative Media & Design Centre.

AB Creative Media & Design Centre. AB Creative Media & Design Centre ni Taasisi iliyochini ya Kanisa la T.A.G-Global Mission Centre Luchelele Mwanza Tanzania.

Tunatoa mafunzo ya ICT & Multimedia. Pia Taasisi inatoa huduma za mafunzo ya Muziki wa Injili.

04/09/2022
Kikao kazi cha Viongozi wa Taasisi ya AB Creative Media & Design Centre Mwanza na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Klabu ya...
29/12/2020

Kikao kazi cha Viongozi wa Taasisi ya AB Creative Media & Design Centre Mwanza na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club) kilichofanyika jana tarehe 28/12/2020 kwaajili ya kuandaa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MOU) inayolenga kusainiwa mapema mwezi januari 2021.

Kikao hicho kilichofunguliwa na Mwenyekiti wa Mwanza Press Club ndugu Edwin Soko aliyeudhulia kwa njia ya mtandao, kiliudhuliwa na Mratibu wa Mwanza Press Club Rose Mwanga na kamati yake Tendaji. Kwa upande wa Taasisi ya AB Creative Media waliwakilishwa na Mkurugenzi wa Utawala wa Taasisi hiyo ndugu. Boniphace S. Nyabweta na ndugu. Jactan Nziku Mkurugenzi wa Program ambaye alimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa AB Creative Media madame Anitha Sixbert ambaye hakuudhulia kutokana na kuwa na dharula ya kikazi.

AB Creative Media & Design Centre Mwanza Tanzania wishing you Merry Christmas and Happy New Year 2021.
25/12/2020

AB Creative Media & Design Centre Mwanza Tanzania wishing you Merry Christmas and Happy New Year 2021.

Taasisi ya AB Creative Media & Design Centre ya Jijini Mwanza tarehe 27/11/2020 imeendesha Mafunzo ya Utambuzi wa Msanii...
28/11/2020

Taasisi ya AB Creative Media & Design Centre ya Jijini Mwanza tarehe 27/11/2020 imeendesha Mafunzo ya Utambuzi wa Msanii na Sanaa kwa Wasanii wa Jiji la Mwanza kwa lengo la kiwajengea uelewa na kuongeza ufanisi katika Kazi zao za Muziki na Filamu. Mafunzo hayo yamefanyika kupitia Mradi wa Serengeti Music Film Project ulioanza kutekelezwa na Taasisi ya AB Creative kwa lengo la Kujenga Kituo cha Uendelezaji na Ukuzaji wa Sanaa ya Muziki, Filamu na Uchoraji Jijini Mwanza ili kusaidia vijana wenye vipaji kupata elimu na kuendesha shughuli zao kitaalamu tofauti na hivi sasa.

Mwanza Artist Proficiency Training Workshop at AB Creative Media & Design Centre 27th November, 2020.
27/11/2020

Mwanza Artist Proficiency Training Workshop at AB Creative Media & Design Centre 27th November, 2020.

Taasisi ya AB Creative Media & Design Centre, tarehe 27/11/2020 itaendesha mafunzo ya Utambuzi wa Msanii na Sanaa kwa Wa...
24/11/2020

Taasisi ya AB Creative Media & Design Centre, tarehe 27/11/2020 itaendesha mafunzo ya Utambuzi wa Msanii na Sanaa kwa Wasanii Muziki na Uigizaji wa Jiji la Mwanza.

Katika kuimarisha urafiki na mataifa ya nje ili kuleta ufanisi, katika uendeshaji wa miradi yetu, tumepokea Volunteer ku...
08/09/2020

Katika kuimarisha urafiki na mataifa ya nje ili kuleta ufanisi, katika uendeshaji wa miradi yetu, tumepokea Volunteer kutoka Israel Madame Zoe, ambae nimtaalamu katika nyanja za Teknolojia ya Computer, Kilimo, n.k, ambaye tutakuwa nae kwa muda wa miezi mnne akisaidia ufundishaji wa vijana katika maeneo mbalimbali.

Israel

Afisa Utawala wa AB Creative Media & Design Centre, Mr. Boniphace S. Nyabweta, katika picha ya Pamoja na Mkuu wa Chuo ch...
08/09/2020

Afisa Utawala wa AB Creative Media & Design Centre, Mr. Boniphace S. Nyabweta, katika picha ya Pamoja na Mkuu wa Chuo cha COYETA, alipotembea chuoni hapo kwaajili ya mazungumzo ya kudumisha ushirikiano.

cooperation

Mkurugenzi wanUtawala wa AB Creative Media & Design Centre Boniphace S. Nyabweta katika picha ya pamoja na Mr. Emmanuel ...
05/09/2020

Mkurugenzi wanUtawala wa AB Creative Media & Design Centre Boniphace S. Nyabweta katika picha ya pamoja na Mr. Emmanuel Mamno Mkuu wa Chuo cha CoYETA Mwanza na Madame Georgia Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Shahada ya Sayansi ya Jamii Chuo Kikuu SAUT Mwanza. Walipo kutana kwaajili ya mazungumzo ya maendeleo.

Creative Media

Programu ya Mafunzo ya muda mfupi ya Kompyuta kwa mwezi September 2020 Jijini Mwanza.
27/08/2020

Programu ya Mafunzo ya muda mfupi ya Kompyuta kwa mwezi September 2020 Jijini Mwanza.

Vijana wamehitimu kozi yao ya Kompyuta  kwenye Taasisi yetu ya AB Creative Media & Design Centre Jijini Mwanza.
19/08/2020

Vijana wamehitimu kozi yao ya Kompyuta kwenye Taasisi yetu ya AB Creative Media & Design Centre Jijini Mwanza.

Address

Nganza Luchelele
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AB Creative Media & Design Centre. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category