Davies Davie

Davies Davie mshaul wa mahusiano na ndoa

Soma mpka mwisho   Mchoro huu unahadith ya m2 mmoja maskin aliyeishi enz za mfalume louis 14 wa ufaransa  Maskin uyo ali...
13/06/2020

Soma mpka mwisho
Mchoro huu unahadith ya m2 mmoja maskin aliyeishi enz za mfalume louis 14 wa ufaransa

Maskin uyo alihukumiwa kifo kwa kosa la kuiba mkate tu

ilitakiwa afungiwe ndan kwa siku kadhaa bila kula chochote kile ili afe kwa njaa hyo ndio hukum iliyotolew juu yake hivo akafungwa jela pasipokua na chakula wala maji ili afe kw njaa na kiu

Lakin bint yake na m2 uyo aliomba ruhusa yakua anaenda kila cku kumtembelea baba yake kifungon aliruhusiwa kwa shart lakutokumpelekea k2 chochote cha kula ili mzee afe kwa njaa
Huyo bint akawa anaenda kila sk kumuona baba ake na katika kipind cha miez minne maaskar wakashangaa sana kumuona muhukumiwa hajafa kwa njaa

Walinz wamagereza wakaamua kuanza kupeleleza kwa siri wapate kujua nn kinamfanya yule mzee aweze kustahimili
njaa kwa miez minne wakapeleleza na mwisho wa sku wakaja kumfuma yule bint wa muhukumiwa akiwa anamnyonyesha baba ake k**a inavyoonyesha picha hapa chin

Kumbe wakati wote alipokua akienda kumtembekea baba ake alikua hawez kumletea k2 chochote lakin alikua akimnyonyesha ili asife kwa kukosa chakula mawakili walipoipata habar hii walishndwa kukasilika wenye mioyo miepes walimwaga machoz na wengne wakaomba hukum ya kufa kwa njaa ifutwe juu ya baba yule

HADITHI HII INANIFANYA NIJIULIZE JE KWEL WANAWAKE NI DHAIFU K**A WANAVYODAI BAADHI YA WATU

CKU ZOTE CTOKAA NIKASAHAU UJITOAJ WA MWANAMKE KATIKA KUHAKIKISHA USALAM WA UHAI WETU

WANAWAKE WOTE POPOTE MUNGU AWABARIK SANA

Ucsahau kulike na kushere

06/06/2020

hatr

04/06/2020
kumnunia mwanamke nawakat pesa huna nisawa nakuogopa kifo wakat kufa nilazma utakufa 2
02/06/2020

kumnunia mwanamke nawakat pesa huna nisawa nakuogopa kifo wakat kufa nilazma utakufa 2

31/05/2020

ucsahau kulike na kucoment

Address

Ilemela
Mwanza

Telephone

+255718089829

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Davies Davie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Davies Davie:

Share