09/05/2022
September 1, 1969 , Gaddafi aliingia madarakani baada ya kumpindua Mfalme Idris wa kwanza , ambaye utawala wake nchini Libya ulidumu kwa takribani miaka 18. (1951-1969)
utawala mpya wa Gaddafi nchini Libya ulikuwa na sura mbili tofauti, sura moja ilikuwa ya tabasamu iliyojaa upendo na huruma kwa raia wa Libya na Afrika kwa ujumla, kwani unaambiwa enzi za utawala Gaddafi , Libya ilikuwa k**a peponi , Wananchi wa Libya waliyafurahia maisha pia raia wengi wa nchi za jirani na Libya walienda Libya kutafuta maisha na waliporudi katika nchi zao , walikuwa matajiri wakubwa.
-Pia Gaddafi aliamini Afrika inaweza kusimama bila hata ya msaada wa watu weupe na kwa kulithibitishia hili , Gaddafi katika utawala wake uliodumu kwa muda wa miaka 42 , hakuwahi kukopa hata senti 5 kutoka IMF wala benki ya Dunia.. GADDAFI ALIIACHA LIBYA HAINA DENI..
kuna mengi tumekuandalia kuhusu mzalendo huyu kupitia makala hii fupi ambayo itakupa taarifa kamili kuhusu kuhusu utawala wake nchini Libya na namna alivyouawa kinyama, tumekuekea pale You Tube.
Gusa maandishi ya bluu hapa chini ukaitazame.
https://youtu.be/n1UO02MQypk
https://youtu.be/n1UO02MQypk
https://youtu.be/n1UO02MQypk