Afrohoodstz Community Media Group yenye makazi mkoani mwanza nchini Tanzania kwa sasa.Lengo lkubwa ni kutoa huduma bora ya uzalishaji na usambazaji wa kazi mbalimbali za wasanii wa mkoani Mwanza na nchi nzima kwa ujumla, pamoja na kuinua na kundeleza vipaji mbalimbali vya wasanii vilivyomo ndani ya jamii yetu.na kuwaunganisha pamoja, kwa mfano wasanii wengi katika jamii yetu wana malengo mengi kat
ika kuisaidia jamii yao kupitia kazi zao lakini wanakosa msaada/wadau wakuweza kuzifikisha ndoto zao,lakini kupitia Afrohoodstz Community Media Group tutaweza kufanya hayo yote. Tutatoa huduma mbalimbali k**a vile uandaaji na uhariri kwa njia ya sauti na televisioni wa filamu,kwaya,mziki,harusi(sherehe mbalimbali),vipindi vya television, matangazo ya televisheni,usimamizi wa shuguli mbalimbali,kusimamia na kutangaza biashara au kazi za wasanii,upigaji wa picha,kuandika na kuandaa stori za wasanii,udhamini kwa kazi za wasanii,uzalishaji wa vitambulisho mbalimbali mfano biashara,shule,ofisi/kampuni,kadi za shughuli mbalimbali mfano harusi n.k.Uchapishaji na uandaaji wa nembo mbalimbali katika T-shert,mabango n.k.pamoja na utoaji wa elimu ya ujasiliamali kwa wasanii na jamii kwa ujumla. Hivi vyote vitafanywa na Afrohoodstz Community Media kwa ustadi wa hali ya juu ili kufanikisha malengo iliyojiwekea. IMETOLEWA NA:
UONGOZI WA Afrohoodstz Community Media Group,
+255713795928
+255715387322