Shagycobra

Shagycobra I am Shagy Cobra, deals with the provision of Websites Development and Mobile Apps Development and graphics design services.

08/08/2026
"To Cut a long story, short ni kwamba hizo akili unazohisi uko nazo, huo u smartness huo unaohisi uko nao, hautakupa Pes...
07/08/2026

"To Cut a long story, short ni kwamba hizo akili unazohisi uko nazo, huo u smartness huo unaohisi uko nao, hautakupa Pesa mwanetu"

Utalipia Kodi, utaishi maisha ya kawaida tu k**a Mimi, utakuwa una madeni mengi ya washkaji kuliko benki. Hautakuwa na Pesa na mwanetu.

Learn Skills then Get Money. Ndo maana unashangaa Bakhresa anauza p**i and still ana make a lot of money daily. Wewe unaona kujifunza kuwa na kiwanda Cha p**i ni k**a ufala tu. Hautakuwa na Pesa mwanetu.

Yaani wewe utakuwa k**a Mimi tupoteze muda hapa Kwa social media, no customers check on us just we entertain how people like our contents and nothing in a pocket. HATUTAKUWA NA HELA TUKITUMIA AKILI MWANETU.

Jamii inayokuzunguka inaweza kukuzunguka ikiwa utakubali kusifiwa sifiwa kuwa wewe ni IT Bora sana kuliko mtu yeyote.......
02/08/2026

Jamii inayokuzunguka inaweza kukuzunguka ikiwa utakubali kusifiwa sifiwa kuwa wewe ni IT Bora sana kuliko mtu yeyote.
...Utanielewa, twende taratibu!

Sasa, inaweza kutokea hivi wewe ni mtaalam wa software, graphics designer or whatever, Kuna watu wanaweza kukutumia kuwafanyia kazi Bure ukiamini utapata kazi nyingi kupitia wao!.

Usikubali kutumika Kwa sababu ya kusifiwa na kuamini kuwa Kuna siku hali itabadilika, wenzako utawarahisishia kazi lakini wewe hautarahisisha maisha yako!

Shwari! Lakini 😁

Nikiwa pinterest kuna muda naona k**a hakuna kitu nafanya hasa kwenye graphics.Kuna watu wanafanya vitu mpaka wanakukera...
02/08/2026

Nikiwa pinterest kuna muda naona k**a hakuna kitu nafanya hasa kwenye graphics.
Kuna watu wanafanya vitu mpaka wanakukera yaani.

Watalaam wa masuala ya financial huko wanakuambia Ili utoboe hata kidogo tu, Moja ya kitu Cha kukiacha ni COMPARISON, ku...
01/08/2026

Watalaam wa masuala ya financial huko wanakuambia Ili utoboe hata kidogo tu, Moja ya kitu Cha kukiacha ni COMPARISON, kujishindisha wewe na watu wengine. Lakini Mimi huko sijui kitu chochote , Wacha nikusogeze kwenye masuala ya Teknolojia.

Kwenye Teknolojia hupaswi kuwa na COMPARISON Ili ufanye kitu Kwa ajili ya kiwanda hiki, mfano Umeona apps zinazofanya kazi China, ukataka ku-apply na Tanzania, kinaweza kukulamba vizuri tu.

Unaweza ukawa na Wazo la kidunia lakini sehemu unayoliwasilisha ni very local, hapo washkaji hatutoboi. Nimeona baadhi ya apps hapa bongo ambazo kweli ni za miaka ya mbele Kwa Tanzania na ni za miaka ya Sasa Kwa duniani lakini Marketing Inaanzia Tanzania, hapo inakuwa uongo mazee.

Unaweza kutengeneza app/mfumo Kwa ajili ya Dunia basi hakikisha unai target Dunia na sio sehemu iliyopo, k**a unai target Tanzania basi Fanya utafiti juu ya namba za watu ambao wako involved na Teknolojia.

Si kwamba tusifanye innovation lakini tufanye kutokana na mazingira yaliyopo.

Shwari Lakini😁

Ukiacha CRDB kuwa na BONGE LA WAKALA na wewe unaweza kuwa BONGE LA MTEJA ikiwa utahitaji posters, flyers, logo na vitu v...
01/08/2026

Ukiacha CRDB kuwa na BONGE LA WAKALA na wewe unaweza kuwa BONGE LA MTEJA ikiwa utahitaji posters, flyers, logo na vitu vingi kabisa kuhusu DIGITAL MARKETING.

SHAGY COBRA is here: +255621609698

Nowadays labda sisi k**a vijana Kwa KIPINDI hiki  tuchague kufeli wenyewe lakini Kwa asilimia kubwa teknolojia imetupa f...
31/07/2026

Nowadays labda sisi k**a vijana Kwa KIPINDI hiki tuchague kufeli wenyewe lakini Kwa asilimia kubwa teknolojia imetupa fursa ya kujijenga kiuchumi Kwa namna TOFAUTI.

Kwa Sasa unaweza kuwa dereva wa magari tu lakini ukabadilisha mtindo kutoka KUENDESHA gari na kutengeneza maudhui kuhusu udereva na "imagine" ukabadilisha kabisa mfumo wa maisha kuwa mzuri.

Yaani Dereva anaweza akawa anatoa elimu ya udereva huku akiwa ni Dereva na akiwa mtengenezaji wa maudhui na hapa anaweza kupiga mpunga zaidi akiwa Mtengenezaji wa maudhui, Kwa sababu wanaomtizama ni madereva na wale wenye kuvutiwa na maudhui yake, lakini akiwa anaendesha tu anayemtizama ni boss wake tu😁

Kuna mifano mingi zaidi tunaweza kuitoa kuhusu hili. Japo usiwe na asilimia zote kuwa unaweza ukatoboa pia kwenye teknolojia lakini inaweza kukubadilisha pia

Shwari lakini?😁

Poster nilizotengeneza kwa ajili ya Nad Insurance Agency kwa mwezi Julai 2026
31/07/2026

Poster nilizotengeneza kwa ajili ya Nad Insurance Agency kwa mwezi Julai 2026

Poster kwa ajili ya UVIKANJO - PAROKIA YA MAKAMBAKO ilitengenezwa Julai 20226 na Shagy CObra
30/07/2026

Poster kwa ajili ya UVIKANJO - PAROKIA YA MAKAMBAKO ilitengenezwa Julai 20226 na Shagy CObra

Poster kutoka Nad Insurance Agency kwa ajili ya kuanza mwezi Julai, zilitengenezwa na Shagy Cobra
29/07/2026

Poster kutoka Nad Insurance Agency kwa ajili ya kuanza mwezi Julai, zilitengenezwa na Shagy Cobra

Address

Nyegezi, Mwanza
Nyegezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shagycobra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category