APL MEDIA

APL MEDIA TUNATIMIZA NDOTO ZAKO , MFANYABIASHARA NA MTEJA NITUNU YA MAFANIKIO KWETU 🙏

Sisi ni APL MEDIA tupo hapa kwani Biashara yako kipaumbele chetu.
07/04/2026

Sisi ni APL MEDIA tupo hapa kwani Biashara yako kipaumbele chetu.

07/04/2026

SITE FM AWARDS 2025✅
Muonekano wa tuzo zetu 😋

07/04/2026

Sauti ya mamlaka kutoka kitengo cha APL MEDIA inatukumbusha tiketi zipo ni kwanzia 10,000 regular, 50,000 VIP na 100,000 VVIP
Location: Namtumbo ukumbi wa Dkt Samia Suluhu Hasani Girls Sec School kwanzia majira ya saa kumi na mbili jioni.

Lile tukio la kihistoria limefika mezani APL MEDIA  natumelipokea🤲Tarehe 11 jumamosi mwezi April 2026 tunakutana Namtumb...
07/04/2026

Lile tukio la kihistoria limefika mezani APL MEDIA natumelipokea🤲
Tarehe 11 jumamosi mwezi April 2026 tunakutana Namtumbo kukamilisha historia iliyo anza kuandikwa 2025 katika tuzo za Huku mgeni Rasmi ni W/katiba na sheria Mh Juma Zuberi Homera na burudani kutoka kwa wasani wa Nyumbani Songea huku Dogo Pateni akikamilisha heshima ya burudani 💥

07/04/2026

THE NIGHT OF EMPOWERMENT PRAISE AND WORSHIP,
Tukutane tarehe 8/5/2026 Ukumbi wa Bombambili Songea mjini🙏 vijana watashibishwa neno la uzima pia njia za kupita ili kufanikiwa katika maisha👍

Tunayo furaha kutangaza ushirikiano wetu na kanisa la CCG lililopo chini ya Pastor philipo Mollel , katika kufanikisha t...
07/04/2026

Tunayo furaha kutangaza ushirikiano wetu na kanisa la CCG lililopo chini ya Pastor philipo Mollel , katika kufanikisha tamasha la The night of Empowerment praise and worship, litakalo fanyika tarehe 8may2026 Mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa kanisa katoliki Bombambili kwanzia majira ya saa mbili usiku mpaka baadae sana 🙏 Aplmedia tupo nayo hii💥

Address

Songea

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when APL MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share